Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Ingekuwa ni hivyo ndoa za watu wanaoishi vijijini zingekuwa salama, maana asilimia kubwa wanaoolewa vijijini ni la saba na wengine hawajaenda shule kabisa, lakini utakuta mwanaume anatafuta mwanamke mwingine kisa wameshindwana na huyo mke wa ujana.
Hivyo tatizo sio degree, wala IV,la VII tatizo ni wote wawili na haswa mwanaume kumfanya mtoto wa mwanaume mwenzio kama sio binadamu, kila siku unamuimbia wimbo ooh unajua mimi nikichwa cha familia,ni kweli wewe ni kichwa anajua ndio maana kaolewa na wewe kwani hajaolewa na mwanamke.Huko ni kutojiamini

Utakoma na kadigirii kako.....
 
Halafu kitu kingine kinaaniogopesha ni kwamba wengi wenye kazi maofisini lazma waliwe kwanza na maboss zao eti kweli ??
 
shule ya nini wewe?
sina dhiki wewe unashida ya mume nimekwambia kuwa mchepuko wangu achana na mambo ya tambo nyuma ya keyboard
kama hujaolewa ni vema ukatuliza kichwa sio kishankupe

wanawake wazuri nitawaita mashemeji sawa ila sio kama wewe watu kama nyie tunawaita wewe ----- kuja hapa na unakuja ndio si unataka kuolewa dereva wa bodaboda hapa

uwiiii we kivulana bado in unashoboka tu?.... unatia kinyaa ....ptuuuuuu!! basi vaa sketi tujue moja. mie siwez kuwa mchepuko wa JOGOO WA KUCHORA.
 
Mke wa kuoa si yule mwenye elimu ya darasa la saba au form 4 bali anayetambua jukumu lake ndani ya nyumba na amepata malezi mazuri huko nyumbani kwao alipotoka, mwanamke anaweza akawa na elimu ya darasa ya saba afu asifae kuwa mke wa mtu hata kidogo wakati mwingine mwenye digrii akawa ana sifa za kuwa mke wa mtu.Tatizo ninaloliona hapa ni kwamba baadhi ya wanaume wana wasiwasi na uwezo wao wa kuwa na nguvu katika nyumba lakini mwanamke hata kama ana digrii lakini akiwa amekulia katika mafundisho na malezi mazuri ya wazazi wake atakuheshimu wewe mwanaume.
 
Mimi wala kadegree kangu hakata uhusiana na ndoa yangu, hata magoti nitampigia mbona ili mradi tu anipende na asiniache, wanaume adimu ati

Thubutuuuuu..... navokuona wewe huchelewi kumpangia ratiba ya kupika.
 
Ukioa hao uliowataja ujue umeoa hot-pot na chupa ya chai.maana kila siku utakuta hot pot na ujumbe juu
''baby nimewahi kwenye washa''
mara chai kwenye thermos.Habari ya kuandaliwa msosi na mke unasahau.
Ukiwa na mke wa aina hii jifunze kupiga busu hot pot.
 
Mie nimeishia form two D lakini mpaka leo sijaolewa.So kuolewa ni zaidi ya unachofikiria wewe
 
Mimi wala kadegree kangu hakata uhusiana na ndoa yangu, hata magoti nitampigia mbona ili mradi tu anipende na asiniache, wanaume adimu ati

wewe bora umesema ukweli hawa wengine wanaigiza hawajui kwamba tunaishi nao
 
Ukioa hao uliowataja ujue umeoa hot-pot na chupa ya chai.maana kila siku utakuta hot pot na ujumbe juu
''baby nimewahi kwenye washa''
mara chai kwenye thermos.Habari ya kuandaliwa msosi na mke unasahau.
Ukiwa na mke wa aina hii jifunze kupiga busu hot pot.

ndio hii ambayo hatutaki
 
kelele kibao za nn??Wanawake wa digrii wwngi wao n janga la kitaifa nasisiriza sio WOTE lakini kwakiwango kikubwa ukitaka aman ktk nyumba u have to marry a standard 7/form 4,wanaume wanahitaji Aman zaidi haina maana wanawake hawahitaji la hasha!!bali wengi wenye digrii hawafai kuoa mara kaliwa na bosi mara mchepuko mara tamaa za hovyo khaaa!!mambo ya sapu,carry yananihusu nn mimi ndani wa ndoa??Utter nonsence!!
 
Back
Top Bottom