Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

U
Umefikiria vyema basi binti zako wote, dada zako wote usiwapeleke shule kabisa hao wasiposoma ndiyo waatakuwa na market nzuri zaidi katika soko la kuolewa
sina dada
 
Wenye degree hamfai na degree zenu.
Mwanaume ni kichwa cha nyumba. Wanawake wenye elimu ya darasa la saba na form 4 hawasumbui wanaume. wanajua wajibu wao kutii na kumjali Mume,ila wenye zaidi ya hapo,wachache .

Rest hawajielewi baada ya kujiona wanajua,ila hawafai kuolewa hawana sifa ya kuwa wake,ni wanaume wenzetu. Mtazalishwa,mtalea watoto,mtadanganywa na hamtaolewa. Mtaongezewa watoto na majukumu ila wataolewa wa darasa la saba na form 4.

Na hata maprofesa wake zao ni la saba na form 4 au wanaojielewa,mnaojifanya mna figure, degree,mkoo wapi? mna familia za maana na mmeolewa?.......wife material ni anayemsikiliza mme wake, uwe na elimu au vipi bila kujinyenyekeza huna heshima.

We kumbe bado hujielewi na bado hujakuwa..........sio kosa lako lkn ukikua na mawazo yako yatakuwa
 
endelea kujidanganya hvo hvyo.........!!! ila najua hujafikia umr1 wa kuoa, ukifika utabadilisha mawazo na usemi wako
 
Mmajishaua na kujishebedua baada ya kuwa magolikipa wa kudumu manungayembe mnatafuta sababu kuretaliate kwa kukosa kuolewa bibi bahati ya mwenzio usiipandie basi ukaenda mbagara wenzio wako bokoooooo
thanks much,ukweli umewafikia
 
Wanawake wengi walioko maofisini wamegeuka machangu doa, wanavaa vibaya sana leng wapate kutongozwa na kuna wengine inasemekana mida ya lunch kuchepuka. kisha akifika home anasingizia kazi kuwa kachoka kumbe kagonwa.

angalieni sana kabla ya kuowa. na ukifanya istae tu ya kuanza kumgonga kabla ya ndoa siku ukimuweka ndani kijiwe anahamishia ofisni.
 
waoaji wenyewe wapo? au longo longo tu. sasa wewe shule ilikushinda uka-disco, unataka wa degree wa nini. mambo ya kujitia ndizini na hali sio utumbo....
 
thanks kaka huo ndo ukweli
 
mimi wa darasa la saba na form 4 nn kuoa hata kuongea nae tu siwez zaid ya salam tu mana naona hata mitazamo tupo tofauti kwanza wanakuaga na uswahil mwngi sana. wengine ndio tunawapenda hao wnye degree zao. darasa la saba na form 4 wataolewa na walokataa shule wenzao na vinuka mkojo wenzao mana ndio wanaendana nao. kla mtu na chaguo lake. nani anataka kuzaa watoto vilaza! kilaza na kilaza mwenzie hata vitabu vya dini vimesema hvyo 😛uke:
 
waoaji wenyewe wapo? au longo longo tu. sasa wewe shule ilikushinda uka-disco, unataka wa degree wa nini. mambo ya kujitia ndizini na hali sio utumbo....
nani akuoe unavaa chupi tu mtaaani
 
Yani kweli kuna umuhimu wa kurudisha jando, wanaume mmesahau wajibu wenu....
Kwanza hamna kuoana, mwanaume anaoa na mwanamke anaoleawa....mwanaume ndo mtenda na ana wajibu wa kumtimizia kila kitu mkewe....

Hebu fikiria, tunaamka asubuhi tunaenda wote kazini, nirudi nikupikie, nikufanyie usafi, usiku unimong'onyoe, tena kwa kunibinua staili zote, na huku unataka mauno ya kufa mtu.....mimba nibebe mie na kwa uchungu nizae....
Mimi ndo niangalie watoto na kutunza nyumba...we ukitoka kazini unapitia baa au unarudi nyumbani uko busy na tv....
Halafu mwisho wa mwezi unausarandia mshahara wangu.....hahaaaa!

mbona unaongea kama unaigiza ?
hivi wanawake wa kufanya unayosema wewe wa elimu sio wapo wapi?
ooooh nimechoka kazi nyingi ofisini
ukichelewa kurudi foleni
kupika wengi wenu hamjui
magogo kitandani
kila kazi msaidizi hata kufua kwa mikono wengi wenu hamjui
bado mnataka kuolewa
kisha hela ya.mshahara haionekani
bora ubaki nyumbani uhudumie mume tu
 
Wenye degree hamfai na degree zenu.
Mwanaume ni kichwa cha nyumba. Wanawake wenye elimu ya darasa la saba na form 4 hawasumbui wanaume. wanajua wajibu wao kutii na kumjali Mume,ila wenye zaidi ya hapo,wachache .

Rest hawajielewi baada ya kujiona wanajua,ila hawafai kuolewa hawana sifa ya kuwa wake,ni wanaume wenzetu. Mtazalishwa,mtalea watoto,mtadanganywa na hamtaolewa. Mtaongezewa watoto na majukumu ila wataolewa wa darasa la saba na form 4.

Na hata maprofesa wake zao ni la saba na form 4 au wanaojielewa,mnaojifanya mna figure, degree,mkoo wapi? mna familia za maana na mmeolewa?.......wife material ni anayemsikiliza mme wake, uwe na elimu au vipi bila kujinyenyekeza huna heshima.

Umeandika hii thread ukiwa umejifungia chumbani na unalia kwa kuachwa nini? Hivi bado unaishi kwenye karne gani vile? Endelea na mawazo yako mgando alafu tutakuja kukumbusha siku na hii thread yako.
 
mimi wa darasa la saba na form 4 nn kuoa hata kuongea nae tu siwez zaid ya salam tu mana naona hata mitazamo tupo tofauti kwanza wanakuaga na uswahil mwngi sana. wengine ndio tunawapenda hao wnye degree zao. darasa la saba na form 4 wataolewa na walokataa shule wenzao na vinuka mkojo wenzao mana ndio wanaendana nao. kla mtu na chaguo lake. nani anataka kuzaa watoto vilaza! kilaza na kilaza mwenzie hata vitabu vya dini vimesema hvyo 😛uke:
unawaingizaje mkenge hao wenye elimu sawa na ww?
 
wanaume wenyewe wa siku hizi wavivuuuu....unaondoka kwenda kazini unamwacha amelala, unarudi unakuta ndo anaamka anakuuliza leo tunakula nini. sasa mtu na degree yako hiyo si ni headache tu, ni heri uolewe na hiyo degree au masters walau itakuletea maendeleo kuliko hao ma-looser!
 
Umeandika hii thread ukiwa umejifungia chumbani na unalia kwa kuachwa nini? Hivi bado unaishi kwenye karne gani vile? Endelea na mawazo yako mgando alafu tutakuja kukumbusha siku na hii thread yako.
ungekuwa girl ningekutongoza maana unajua akili za watu
 
Wenye degree hamfai na degree zenu.
Mwanaume ni kichwa cha nyumba. Wanawake wenye elimu ya darasa la saba na form 4 hawasumbui wanaume. wanajua wajibu wao kutii na kumjali Mume,ila wenye zaidi ya hapo,wachache .

Rest hawajielewi baada ya kujiona wanajua,ila hawafai kuolewa hawana sifa ya kuwa wake,ni wanaume wenzetu. Mtazalishwa,mtalea watoto,mtadanganywa na hamtaolewa. Mtaongezewa watoto na majukumu ila wataolewa wa darasa la saba na form 4.

Na hata maprofesa wake zao ni la saba na form 4 au wanaojielewa,mnaojifanya mna figure, degree,mkoo wapi? mna familia za maana na mmeolewa?.......wife material ni anayemsikiliza mme wake, uwe na elimu au vipi bila kujinyenyekeza huna heshima.

Huo ni uoga usiokuwa na tija. Wanawaacha dada za watu wanabaki kuchukuliwa na ma driver taxi, fundi magari, fundi umeme, fundi ujenzi nk. Mwanaume sifa ya kwanza kujiamini.
 
wanaume wenyewe wa siku hizi wavivuuuu....unaondoka kwenda kazini unamwacha amelala, unarudi unakuta ndo anaamka anakuuliza leo tunakula nini. sasa mtu na degree yako hiyo si ni headache tu, ni heri uolewe na hiyo degree au masters walau itakuletea maendeleo kuliko hao ma-looser!
but usimdharau kwa degree yako
 
heee heee unalo bibi we! bora mie mwanamke na degree yangu kuliko we mwanaume na tigo yako haina rinda..shutuuu

hivi kumbe ukweli unauma hivi ?
ha ha ha ha ha ha ha
wanaume wenyewe unawatukana mtakuwa michepuko yetu ya kudumu kwa kuwa sisi ndio tunaoa haina shida

shenzyyy kabisa wanawake wenye degree zao
 
Yani kweli kuna umuhimu wa kurudisha jando, wanaume mmesahau wajibu wenu....
Kwanza hamna kuoana, mwanaume anaoa na mwanamke anaoleawa....mwanaume ndo mtenda na ana wajibu wa kumtimizia kila kitu mkewe....

Hebu fikiria, tunaamka asubuhi tunaenda wote kazini, nirudi nikupikie, nikufanyie usafi, usiku unimong'onyoe, tena kwa kunibinua staili zote, na huku unataka mauno ya kufa mtu.....mimba nibebe mie na kwa uchungu nizae....
Mimi ndo niangalie watoto na kutunza nyumba...we ukitoka kazini unapitia baa au unarudi nyumbani uko busy na tv....
Halafu mwisho wa mwezi unausarandia mshahara wangu.....hahaaaa!

kwanza umeninukuu vibaya sijasema kuona, alafu kumbuka mwanaume ili awe mtenda ni lazima mtendewa awepo na mtendewa hakamiliki bila mtenda awepo, halafu hapo kwenye watoto ni nani amesema kwamba mwanamke tu ndio anatunza watoto? na kuhusu kupeana utamu wa kukojoa kwani anayepata utamu wa kukojoa ni mwanaume peke yake? na usilalamike sana kwenye mauno maana hata wanaume wanayapiga vizuri -eg.me mwnyw nipo vizuri, so hivyo vitu sio sababu ya ww kukimbiza mshahara kwenu, sisi wenyewe tuna wazazi vilele.
 
Back
Top Bottom