Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,762
- 14,005
aliyemfuata mwenzie kwao kwa ngoma na maturembeta nani? Basi ndo ajue kumtunza ni wajibu wake...
Wanaume wa digital acheni kukimbia majukumu....baba ndo kichwa cha familia....!
shost wanadhan kuwa mwanaume ni kumiliki uume tu...hivi bado vitoto vikikua vitaacha