Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Naona ni ujinga tu wa mwanaume asiyejiamini,
yaani mzazi wangu atumie pesa yake kunisomesha leo nimepata kazi nimuache aendelee kuishi kwenye tembe!!

mathayo 19:6 6 Hata wamekuwa si wawili
tena, bali mwili mmoja. Basi
aliowaunganisha Mungu,
mwanadamu asiwatenganishe.
 
shost wanadhan kuwa mwanaume ni kumiliki uume tu...hivi bado vitoto vikikua vitaacha

Hahahaaaa...wanajua mwanaume ndevu...hizo hata beberu anazo....

Mwanaume yake majukumu....msisafirie degree za watuuuu!
 
inferiority complex!!!!!.... hayo ni maneno tu ya mitandaoni, wengi wenu ndo wanakimbilia haohao wasomi wenye kazi za maana .....wewe kama wasomi wamekushinda usigeneralize vitu, acha wenye kujua maana ya hao wasomi waoe.

wakivurugwa wanakimbia huku kutoa tress zao
 
inferiority complex!!!!!.... hayo ni maneno tu ya mitandaoni, wengi wenu ndo wanakimbilia haohao wasomi wenye kazi za maana .....wewe kama wasomi wamekushinda usigeneralize vitu, acha wenye kujua maana ya hao wasomi waoe.

haya ni maneno yako ya kujipa moyo wengi wa walioolewa na wanaolewa ni 4m4 na la saba hao degree holders ni michepuko hapa mjini
 
kama ninachopanga hataki tufanyaje?
naoa 4m4 kisha anakaa nyumbani na mahitaji yake yote nitatimiza sio asubuhi tuamke wote mwisho wa mwezi maumivu kwa mmoja hiyo no big NO

Halafu hao la saba huwa hawajiamini, since anakutegemea kila kitu anajua ukinuna ye atalala na njaaa....jiandae kulishwa limbwata la kila rangiiiii
 
Hahahaaaa...wanajua mwanaume ndevu...hizo hata beberu anazo....

Mwanaume yake majukumu....msisafirie degree za watuuuu!

haa haaaa mbona majangerrr....etii wanataka ndio mzee tu. mwanaume anajiamini anazipokea na kuzifanyia kazi.
 
ni kweli wakuu japo kwa kundi ulilolilenga kamwe hawatakubali wala ila hiyo ndo hari harisi,mwanamke si degree na hili ni jambo muhimu kuliko yote kama kweli unataka kuoa 'mke' na kufurahia ndoa yako,ukiwaona wengi wanatamani kuolewa lakini hata dating hawaijuhi,badala ya kumfanya kijana avutiwe kumuoa kwa kujistiri wao ndo kwanza wanavalia kana kwamba anaenda bilicanas ...wanaume tujitume kutafuta pesa kumhudumia mkeo ila ukitaka 'eti' wa digrii ili upate unafuhu wa maisha umejiroga,hawafugiki kwa kila kumi yuko1 ama 2 tu wengine ni sumu kama cobra
 
nipe andiko linalosema mwanamke akiolewa atelekeze wazazi wake

mathayo 19:6 6 Hata wamekuwa si wawili
tena, bali mwili mmoja. Basi
aliowaunganisha Mungu,
mwanadamu asiwatenganishe.
 
Viol


Ahaaa....wewe unasema kuwa wenye darasa la 7 na form 4..??? mbona hao eimu kubwa sana hiyo mkuu.
sisi kwetu wanataka yule asiyejua kitu kabisaaa..... tunataka wale zero brain kabisa .ndo huwa stress free.
 
Last edited by a moderator:
MO11

wewe ni slow leaner kweli kweli yaani ukiwasaidia kwenu ndo unakuwa imetenganisha ndoa..no wonder unawataka wa la saba....ndio wa hadhi yako..teh teh
 
Last edited by a moderator:
Halafu hao la saba huwa hawajiamini, since anakutegemea kila kitu anajua ukinuna ye atalala na njaaa....jiandae kulishwa limbwata la kila rangiiiii

kwa kuwa nyie ndio mnaongoza kwa kututegeshea mimba ndio maana wengi wenu single moms
 
MO11
nikiwa nategesha mimba we ulinitegesha nini?
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wasomi wana mizinga sana bora uoe lasaba tu au Form 4 faliure.
 
upeo wa mwanamke wa darasa la saba/4m4 hauwezi kulingana na aliefika degree wanaume semeni mnaogopa challenge tu
 
VIOL: wenzio wanaokuja hapa na kuweka sifa za mtu anayetaka kumuoa na elimu ikizingatiwa huwa huon? hebu wa PM waulize kwa nini kigezo cha elimu anakizingatia, tabia ya mtu ni tabia yake tu, kuna wanawake wasomi wanajishusha kwa wenza wao ha raha, kama ulimtafuta msomi kabumbuluka kwasababu umegeuka tegemezi kwake unategemea atakuheshimu kweli..? maisha ni kusaidiana.

Mwanamke nisaidiz tu kwako tena pale utakapokwama na sio lazma akusaidie, maandiko yanasema ADAMU UTAKULA KWA JASHO na HAWA (EVA) UTAZAA LWA UCHUNGU, kazi yake ni kuzaa nawewe ni kuhakikisha amepata mahitaji yote

kusoma kwa mwanamke ni kulingana na maisha ya sasa kwamba ikitokea mwenzangu akatangulia itakuwaje ndo maana wanawake sasa wanapenda kujishughulisha, sasa wanaume umegeuka mchezo kwamba akuzalie na akulishe..! tobaaaaaaa
 
DEMBA

kujenga wenu kwa siri kisa umesomeshwa na wazazi wako hapo tumeshatengana kama mwili mmoja iweje kidole kiumie nisipate maumivu ?
kama baba kichwa cha familiarly kwa nini mambo mengine mnafanya kwa siri ?
acha ninaoa 4m4 tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom