Hahahaha nimeshangaa sana, eti ndio ananiita "Baba Namkunda, mbadilishe Annie pampas"!!! Hahàhaahaha nitaondoka na nanihiiii
Hahahahaha acha kabisa!!Hahaha khaa unaweza hamia kwa mchepuko mwezi mzima
Wewe umeshapigwa ban tayari ee![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanawake sio wa kuwaendekezaa mkuu..!!
Hawana, madhara yao ni zero kwa ccm, unajua ccm anadeal na wale wenye madhara tu wengine kama akina hashim rungwe, sijui mrema, and pro ccm hawaenguliwi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona sijasikia kama na wao wana viti vya kuenguliwa kama maccm?
Hahaha duuh umenichekesha sana, kumbe ndio mbinu zenu eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si umbadilishe tu Mkuu kwani inachukua dakika ngapi? Hata tano hazifiki [emoji12]
At least hii ina make sense kuliko kuchambua Michele au kutumwa dukani! Mimi huwa nakagua daftari za watoto, hili halina mjadala ila ndio ananiita nikachambue dagaa hahahahaha tutakula na Mawe yakeUtasikia, we ayubu nenda kwa baba yako akakufundishe kusoma na hesabu yupo sebuleni.
Utashangaa ushaa kuwa mwalimu wa tuition.
Kesho yake na watoto wa jirani wanakuja na daftar na vitabu vya awali.!
Hahaha ila wanaume akili zenu mnazijua wenyeweUtasikia, we ayubu nenda kwa baba yako akakufundishe kusoma na hesabu yupo sebuleni.
Utashangaa ushaa kuwa mwalimu wa tuition.
Kesho yake na watoto wa jirani wanakuja na daftar na vitabu vya awali.!
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo kuchambua mchele na dagaa ndo hutak kabisa.At least hii ina make sense kuliko kuchambua Michele au kutumwa dukani! Mimi huwa nakagua daftari za watoto, hili halina mjadala ila ndio ananiita nikachambue dagaa hahahahaha tutakula na Mawe yake
We nipande kichwani uje ujue maana ya mitama..Hebu wahi kurudi huko leo zamu yako kupika cha usiku[emoji41]
Mimi ni Mwalimu kabisa kitaaluma, sifundishi ila napenda kukagua na kuuliza maswali ila sio kwa pressure ya mtu, "Baba Namkunda kawafundishe watoto"!! Aagh wapi, au nenda dukani kanunue sijui nini, labda nikanunue pombe (kidding)! Pengine kwa sababu tuna watoto wakubwa[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo kuchambua mchele na dagaa ndo hutak kabisa.
Mi kufundisha mtoto mdogo aisee hapana, labda wa form one afadhali.!!
Wapi huko??? Mbona nipo hapa mkuuWewe umeshapigwa ban tayari ee!
Habari ya mitama peleka kwa akina dula mbabe huko huku ni mambo ya kiss & hug, sawa eeh!We nipande kichwani uje ujue maana ya mitama..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikimkamata ama zake ama zanguNi vizuri maana huo mda unaochelewa mkeo nae anapata mwanya wa kuchat na soulmate wake[emoji23][emoji23][emoji3]
Nawaheshimu sana walimu wanaofundisha watoto wa awali mpaka darasa la saba.Mimi ni Mwalimu kabisa kitaaluma, sifundishi ila napenda kukagua na kuuliza maswali ila sio kwa pressure ya mtu, "Baba Namkunda kawafundishe watoto"!! Aagh wapi, au nenda dukani kanunue sijui nini, labda nikanunue pombe (kidding)! Pengine kwa sababu tuna watoto wakubwa
yani nimesoma comments za humu nimebaki hoi, hv kufanya majukumu ndani ya nyumba yenu ni kumsaidia mwanamke? unanisaidiaje kwa mfano wakati hicho chakula tunakula wote? hivyo vyombo hata wewe unatumia? usafi wa nyumba hata wewe unakuhusu mana ndimo unapoishi, sasa iweje mwanaume useme eti kufanya hayo ni kusaidia? kwani mnaoa ili mpate wafanyakazi wa ndani au partner wa maisha? yani wote tunatoka asubuhi kwenda kutafuta maisha, tunarud nyumbani jioni wote tumechoka, badala ya kusema niwahi tukasaidiane na mwenzangu eti unachelewa kisa utatumwa kazi, sasa ulitakaje? kwani punda wako huyo? Aisee nashukuru kwa mume niliyenae nyumbani anawahi kurudi vzr sana na kama kuna cha kufanya atafanya tu, sijawahi kumsikia anaongea utaopolo eti ananisaidia.
Isitoshe, mimi kwetu tumezaliwa wa4 wakike wawili na wakiume wawili, wazazi wetu walitulea kwa USAWA wote tulikuwa tunazamu za kazi za ndani kuanzia usafi hadi kupika, hakukuwa na kazi eti hii ya mwanamke hii ya mwanaume
Hahahaha huwa nambadilisha Mkuu ila sio kwa presha au kwa maelekezo ya mtu!!😂😂😂😂 si umbadilishe tu Mkuu kwani inachukua dakika ngapi? Hata tano hazifiki 😜
Hahahahaha asante kwa niaba yao!Nawaheshimu sana walimu wanaofundisha watoto wa awali mpaka darasa la saba.
Ndo maana mwalimu wa mwanangu nikikutana nae lazima anywe ka soda maana dogo nikisema nimfundishe naona ananitia stress tu.
Nasema sema hivi yeye anasema hivi.!! Aaah no! no!
Hahahaha huwa nambadilisha Mkuu ila sio kwa presha au kwa maelekezo ya mtu!!
Mi siwezi pambana na mwanamke ati nisirudi mapema skani labda sio Mimi Mr kuharibu!.. kupika ntapika ila kitakachotoka hapo nauhakika hautakuja kuniambia Tena kupika..😂Habari ya mitama peleka kwa akina dula mbabe huko huku ni mambo ya kiss & hug, sawa eeh!