Wanaochelewa kurudi nyumbani sio wajinga

Sasa wengine watumishi wauma tuna kuwaga zamu kazini tunalala uko uko nayo ni vibaya uzuri wa mimi mke wangu ashanizoea mda mwingine narudi saa 10 jioni saa 8 mchana. Saa 12 saa 6 usiku siku saa 8 usiku siku nyingine zinapita sikymu 3 sirudi home na sio kwamba niko kwa mchepuko nakuwa busy na kazi zangu private za shamba njee na utumishi wa uma sasa mzee kurudi home ni makubaliano ya wawili mwansume kuchelewa kurudi home aimanishi ni muhuni uzuri mm mke wangu amenielewa tokea tukiwa wachumba 2001 nilikuwa nachelewa kurudi home.

Pia mm kwangu sikaaagi mara kwa mara nashinda sana shambani na job kuna siku nilirudi home saa 7 usiku siku iyo walifunga geti nikampigia sana simu binti yangu apokei mama ake apokei wote wamelala ikabidi niruke ukuta kumbe bhana walifungulia mbwa kuna mbwa watoto walizaliwa mpaka wanakua cwajui awanijui aisee nilishambuliwa na wale mbwa sina hamu nilipiga ukunga uwo wife wote wakamka mbwa hawajanizoea wale wadogo mana sishindi home...
 
Watumishi wa umma mna tabu sana, chagua Lissu ili ubadilishe maisha yako
Ona sasa mpaka mbea wako hakutambui
 
Sasa wengine watumishi wauma tuna kuwaga zamu kazini tunalala uko uko nayo ni vibaya uzuri wa mimi mke wangu ashanizoea mda mwingine narudi saa 10 jioni saa 8 mchana. Saa 12 saa 6 usiku siku saa 8 usiku siku nyingine zinapita sikymu 3 sirudi home na sio kwamba niko kwa mchepuko nakuwa busy na kazi zangu private za shamba njee na utumishi wa uma sasa mzee kurudi home ni makubaliano ya wawili mwansume kuchelewa kurudi home aimanishi ni muhuni uzuri mm mke wangu amenielewa tokea tukiwa wachumba 2001 nilikuwa nachelewa kurudi home.

Pia mm kwangu sikaaagi mara kwa mara nashinda sana shambani na job kuna siku nilirudi home saa 7 usiku siku iyo walifunga geti nikampigia sana simu binti yangu apokei mama ake apokei wote wamelala ikabidi niruke ukuta kumbe bhana walifungulia mbwa kuna mbwa watoto walizaliwa mpaka wanakua cwajui awanijui aisee nilishambuliwa na wale mbwa sina hamu nilipiga ukunga uwo wife wote wakamka mbwa hawajanizoea wale wadogo mana sishindi home...
Yani hushindi home mpaka mbwa wako hawakujui[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu utagongewaa kwakooo
 
  • Kicheko
Reactions: BAK

Kugongewa ni tabia ya mtu.
Kama ni wa kudinywa atadinywa tu hata kama unawahi sa kumi upo nyumbani.
Halafu mwanaume lazima ujiamini kuhusu juu ya mkeo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa mkuuu...!!
 
Nadhani hapa inategemeana na wana ndoa nyie mna tabia gani' mimi nyumbani kwetu Baba alikua anarudi saa9 toka kazini na alikua afisa wa serikali anabadili na kutoka tena ni mnywaji saa11 yuko home anakula na kutulia tu akifanya vitu vyake toka nnasoma primary mpaka namaliza High School na sikuwahi kuona Mama anampa kazi zake za nyumbani Mzee hata kwenda dukan kununua chumvi au soda sikuwahi kuona.

Hapa inategemea na kuzoeshana kwenu na pia kila mtu afahamu majukumu yake ndani ya ndoa yaan hata kama mwanamke ni mfanyakazi lazima pia atambue majukumu yake kama mwanamke ndani ya nyumba na pia mwanaume lazima afahamu majukumu yake ndani ya nyumba' angalizo kusaidiana ndani ya nyumba ni muhimu kwani pia upendo huongezeka baina ya wanandoa na pia ni namna ya kupeana unafuu na mapumziko baina yenu.
Acha kulinganisha mama zetu wa zamani na vitu vya kijinga
 
Mwanaume hakikisha unafika nyumbani kwako angalau kuanzia saa moja na nusu kwenda juu lakini usichelewe sana. Kimsingi mwanaume aliyeoa anatakiwa kuwa nyumbani kati ya saa moja na nusu na saa tatu japo wengine mpaka saa tano au saa sita. Hiyo sio nzuri

Ila ni kosa namba moja kwa mwanaume kurudi nyumbani saa kumi sijui saa kumi na moja, ukiwahi kurudi nyumbani na umekaa tu mke wako ataanza kukupa kazi zake umfanyie. Wewe kama mwanaume utaona anazingua, usipofanya ataona humpendi na ukizifanya atazifanya kuwa majukumu yako na inaweza kufika hatua atataka mpangiane mpaka zamu ya kudeki nyumba.

HASARA ZA MWANAUME KUWAHI KURUDI NYUMBANI NI PAMOJA NA....
1. " Sijisikii vizuri, nisaidie kuosha nyombo...."
2. " Sisi tunapika, we kanunue chumvi na nyanya..."
3. "Unapoangalia TV hapo nikuletee mchele uuchambue...."
4. " Kumbe ulifika mapema, mbona hujapika sasa...."
5.
6.
7.
8. Malizieni nyingine......

Hawa ndugu zetu ukiwafulia nguo leo basi atataka kila siku ufue, ukiosha vyombo leo atataka kila siku uoshe. Sasa wewe endelea kujifanya unawahi kurudi nyumbani mapema ukaona kwamba ni baba bora kumbe unabomoa nyumba yako, "UKIONA WANAUME WANACHELEWA KURUDI NYUMBANI UJUE SIO WAJINGA"
Acha upotoshaji, Kama kwako Kuna Waka Moto shauri yako, wenzio wanarudi wanacheki watoto wao, mazingira mke ful tabasamu mpo wote, visupu supu vya hapa na pale, karanga na is chai ka jion au beer kidogo. Mapema mnaenda bedroom unapata mzigo freshhhh
 
Mi siwezi pambana na mwanamke ati nisirudi mapema skani labda sio Mimi Mr kuharibu!.. kupika ntapika ila kitakachotoka hapo nauhakika hautakuja kuniambia Tena kupika..[emoji23]
Nyombo ntaosha ila ntavunja na kutoboa masufuria hutaniambia tena nioshe nyombo..[emoji23]

Sawima mama sema nikapike nini mke wangu..?[emoji23]
Italian pizza si unajua venye unapatia hili pishi[emoji3]
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nadhani hapa inategemeana na wana ndoa nyie mna tabia gani' mimi nyumbani kwetu Baba alikua anarudi saa9 toka kazini na alikua afisa wa serikali anabadili na kutoka tena ni mnywaji saa11 yuko home anakula na kutulia tu akifanya vitu vyake toka nnasoma primary mpaka namaliza High School na sikuwahi kuona Mama anampa kazi zake za nyumbani Mzee hata kwenda dukan kununua chumvi au soda sikuwahi kuona.

Hapa inategemea na kuzoeshana kwenu na pia kila mtu afahamu majukumu yake ndani ya ndoa yaan hata kama mwanamke ni mfanyakazi lazima pia atambue majukumu yake kama mwanamke ndani ya nyumba na pia mwanaume lazima afahamu majukumu yake ndani ya nyumba' angalizo kusaidiana ndani ya nyumba ni muhimu kwani pia upendo huongezeka baina ya wanandoa na pia ni namna ya kupeana unafuu na mapumziko baina yenu.
Yaan this is perfect, na wanaume wote wangekua Kama babako dunia ingekua sehemu salama sanaa
 
Mhhh inategemea na jinsi mnavyoishi na mke uliyenae. Mume wangu anarudig saa moja na nusu mpaka saa mbili na akikuta kuna baadhi ya vitu havijakaa sawa huwa anasaidia hasa upande wa mtoto kama kumlisha na kucheza nae ili mimi mke nifanye shughuli nyengine za upishi ukizingatia cna msichana wa kazi. So kusaidia mambo ya nyumbani ni hulka tu ya mtu sio wote wanaopenda kuishi kiboss kisa tu wameoa basi ndo kamaliza kila kitu mke afanye hapo ukute na mke nae anamajukumu ya kikazi au biashara.
Na ukipata mume wa hiv hamu ya sex itakua juu muda woteee,
Na Kuna wanaume wamefundishwa bwNa hapendi kutuma kutuma kabisaa na hawez kukaa vitu havijawa sawa
Mungu azidi kuwabariki
 
Acha upotoshaji, Kama kwako Kuna Waka Moto shauri yako, wenzio wanarudi wanacheki watoto wao, mazingira mke ful tabasamu mpo wote, visupu supu vya hapa na pale, karanga na is chai ka jion au beer kidogo. Mapema mnaenda bedroom unapata mzigo freshhhh
Ningekujibu lakini kwa bahati mbaya hujaolewa.
 
Acha kulinganisha mama zetu wa zamani na vitu vya kijinga
Mkuu sijuh unaposema hivyo una maana gani????? Binafsi sina tatizo kuwahi kurudi kwangu na changamoto zipo lkn sio hizo lbda za kutumwa dukani na kuombwa uchmbue mchele na mkeo' Uache utoto nawe una mchango wako ktk familia baba bora sio tu kuleta mahitaji nyumbani n pia kushiriki nyumbani' Kilaza ww mkuu na bado hujaishi na familia siku ikiwa hivyo utaona umuhimu huo.
 
Mwanaume unaogopa kuwahi kufika nyumbani kwako mapema harafu unajiita mwanaume hahahah[emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni mwanaume mwoga

Umeoa mwenyewe harafu unamwogopa mke uliyemwoa hujielewi

Mwanamke ni msaidizi wako

Mimi nafika mapema tena sana na ninakaa tuli akifika ananikut bosi wake lzm ahangaike kuhakikisha anamaliza vvitu vyote

Ukijielewa huwezi kuwa mtumwa kwako
Baba mwenye nyumba anaikimbia nyumba yake [emoji848]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom