Wanaochelewa kurudi nyumbani sio wajinga

Wanaochelewa kurudi nyumbani sio wajinga

Mwanaume hakikisha unafika nyumbani kwako angalau kuanzia saa moja na nusu kwenda juu lakini usichelewe sana. Kimsingi mwanaume aliyeoa anatakiwa kuwa nyumbani kati ya saa moja na nusu na saa tatu japo wengine mpaka saa tano au saa sita. Hiyo sio nzuri

Ila ni kosa namba moja kwa mwanaume kurudi nyumbani saa kumi sijui saa kumi na moja, ukiwahi kurudi nyumbani na umekaa tu mke wako ataanza kukupa kazi zake umfanyie. Wewe kama mwanaume utaona anazingua, usipofanya ataona humpendi na ukizifanya atazifanya kuwa majukumu yako na inaweza kufika hatua atataka mpangiane mpaka zamu ya kudeki nyumba.

HASARA ZA MWANAUME KUWAHI KURUDI NYUMBANI NI PAMOJA NA....
1. " Sijisikii vizuri, nisaidie kuosha nyombo...."
2. " Sisi tunapika, we kanunue chumvi na nyanya..."
3. "Unapoangalia TV hapo nikuletee mchele uuchambue...."
4. " Kumbe ulifika mapema, mbona hujapika sasa...."
5.
6.
7.
8. Malizieni nyingine......

Hawa ndugu zetu ukiwafulia nguo leo basi atataka kila siku ufue, ukiosha vyombo leo atataka kila siku uoshe. Sasa wewe endelea kujifanya unawahi kurudi nyumbani mapema ukaona kwamba ni baba bora kumbe unabomoa nyumba yako, "UKIONA WANAUME WANACHELEWA KURUDI NYUMBANI UJUE SIO WAJINGA"

Ila wakizeeka ndio utajua ujinga wao.
 
Mi bwana huwa naamuaga kufanya makusudi naweza nikaondoka nyumbani saa 1 usiku nikarudi saa 7 ili mradi tu nioneshe mimi ni mwanaume sipashwi kupangiwa muda wa kuondoka na kurudi
 
Mi nikiwahi kurudi huwa naulizwa, "baba vipi leo unaumwa au mfuko umekauka?"
Kuna kipindi mwanamke wangu alikuwa ananiuliza we huna hata marafiki.
Nikaja kugundua kumbe navyowahi nakosea nikaanza kurudi saa4-7 nikiwa bwax nikaanza ambiwa sijali halafu hapendi mapombe yangu.
 
Kuna kipindi mwanamke wangu alikuwa ananiuliza we huna hata marafiki.
Nikaja kugundua kumbe navyowahi nakosea nikaanza kurudi saa4-7 nikiwa bwax nikaanza ambiwa sijali halafu hapendi mapombe yangu.
Hawapendi raha lazima kuwe na purukushani kidogo ndio wanachangamka
 
Kweli kabisa wanawake sio watu wa kuwasaidia Nazi kabisa yaani atamaindi kila siku ufanye na kuonekana ni kazi/majukumu yako yako ya kawaida..
Daima usikubali kumfanyia kitu chochote au kazi yoyote mwanamke nyumbani zaidi ya kumpa pesa au mahitaji yake muhimu.

Akikuletea umalkia wake kataa kama ukoma kama pesa ipo mtafutie house maid inatosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom