Wanaochelewa kurudi nyumbani sio wajinga

Mwanaume kuwai nyumbani noma sana Kwanza waweza kubambwa mana iyo mida ndo yakuongea na michepuko sasa jifanye unawai maskani kumbe unajikamatisha mwenyewe
Ni vizuri maana huo mda unaochelewa mkeo nae anapata mwanya wa kuchat na soulmate wake[emoji23][emoji23][emoji3]
 
We rudi kuanzia saa moja wakati mchepuko unazuka kwako au kushuka na mkeo GH anajilia safi kabisa bila mchecheto saa 12 mkeo yuko nyumbani kishaoga kajikausha. Kupanga ni kuchagua 😜

Mwanaume hakikisha unafika nyumbani kwako angalau kuanzia saa moja na nusu kwenda juu lakini usichelewe sana. Kimsingi mwanaume aliyeoa anatakiwa kuwa nyumbani kati ya saa moja na nusu na saa tatu japo wengine mpaka saa tano au saa sita. Hiyo sio nzuri

Ila ni kosa namba moja kwa mwanaume kurudi nyumbani saa kumi sijui saa kumi na moja, ukiwahi kurudi nyumbani na umekaa tu mke wako ataanza kukupa kazi zake umfanyie. Wewe kama mwanaume utaona anazingua, usipofanya ataona humpendi na ukizifanya atazifanya kuwa majukumu yako na inaweza kufika hatua atataka mpangiane mpaka zamu ya kudeki nyumba.

HASARA ZA MWANAUME KUWAHI KURUDI NYUMBANI NI PAMOJA NA....
1. " Sijisikii vizuri, nisaidie kuosha nyombo...."
2. " Sisi tunapika, we kanunue chumvi na nyanya..."
3. "Unapoangalia TV hapo nikuletee mchele uuchambue...."
4. " Kumbe ulifika mapema, mbona hujapika sasa...."
5.
6.
7.
8. Malizieni nyingine......

Hawa ndugu zetu ukiwafulia nguo leo basi atataka kila siku ufue, ukiosha vyombo leo atataka kila siku uoshe. Sasa wewe endelea kujifanya unawahi kurudi nyumbani mapema ukaona kwamba ni baba bora kumbe unabomoa nyumba yako, "UKIONA WANAUME WANACHELEWA KURUDI NYUMBANI UJUE SIO WAJINGA"
 
Unless umeoa mwanaume mwenzio au hujui nafasi yako nadani ya famikia, ila kama una mke, hayo yote wala huwezi kukutana nayo

Hivi kuna mtu anaweza kumwambia mumewe achambue mchele?yani umetoka kazini umechoka galafu naanza kukupa lazi za jikoni? Hii naisilia kwako. Huyo sio mke sijui umemwokota wapi,

Usiwapotoshe wanaume wenzio, waache warudi makwao mapema wakajibebishe kwa wake zao waondoe stress za kazini, wewe kwa sababu mkeo kakufanya housegirl chelewa tu huna namna
Me nimesoma nimebaki kushangaa, au Mimi ni mwanamke wa zamani , hivi unaanzaje kumwambia mwanaume nisaidie kuchambua mchele? Au kuosha vyombo!?

Sijui wanawatoa wapi aiseee
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ati nisaidie kuosha nyombo..[emoji23][emoji23]
Mkuu kwa kuosha nyombo hata mi sirudi mapema mpk nijue tafsiri ya nyombo..!
Hebu wahi kurudi huko leo zamu yako kupika cha usiku[emoji41]
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] All of me......
[emoji23][emoji23][emoji23] hivi BAK umetokea wapi sijakuona siku nyingi au umeanza kampeni
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
😂😂😂😂😂 nilitaka viti vya kuenguliwa vya Chadema lakini tumeccm imenitaarifu hivyo ni maalum kwa maccm tu 🤣🤣🤣

[emoji23][emoji23][emoji23] hivi BAK umetokea wapi sijakuona siku nyingi au umeanza kampeni
 
Hahaha inajua hawa viumbe huwa wanafanya mambo kwa kudhani wanamkomoa my wife wake kumbe maskini wife nae ana ka soul mate kake

Isipokua mimi tu, mimi ni mtu mwema sana
Tupo wawili Mimi na wewe
 
Unless umeoa mwanaume mwenzio au hujui nafasi yako nadani ya famikia, ila kama una mke, hayo yote wala huwezi kukutana nayo

Hivi kuna mtu anaweza kumwambia mumewe achambue mchele?yani umetoka kazini umechoka galafu naanza kukupa lazi za jikoni? Hii naisilia kwako. Huyo sio mke sijui umemwokota wapi,

Usiwapotoshe wanaume wenzio, waache warudi makwao mapema wakajibebishe kwa wake zao waondoe stress za kazini, wewe kwa sababu mkeo kakufanya housegirl chelewa tu huna namna
Hahahaha nimeshangaa sana, eti ndio ananiita "Baba Namkunda, mbadilishe Annie pampas"!!! Hahàhaahaha nitaondoka na nanihiiii
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilitaka viti vya kuenguliwa vya Chadema lakini tumeccm imenitaarifu hivyo ni maalum kwa maccm tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jaribu chauma, watu wanakula ubwabwa balaa
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Mwanaume hakikisha unafika nyumbani kwako angalau kuanzia saa moja na nusu kwenda juu lakini usichelewe sana. Kimsingi mwanaume aliyeoa anatakiwa kuwa nyumbani kati ya saa moja na nusu na saa tatu japo wengine mpaka saa tano au saa sita. Hiyo sio nzuri

Ila ni kosa namba moja kwa mwanaume kurudi nyumbani saa kumi sijui saa kumi na moja, ukiwahi kurudi nyumbani na umekaa tu mke wako ataanza kukupa kazi zake umfanyie. Wewe kama mwanaume utaona anazingua, usipofanya ataona humpendi na ukizifanya atazifanya kuwa majukumu yako na inaweza kufika hatua atataka mpangiane mpaka zamu ya kudeki nyumba.

HASARA ZA MWANAUME KUWAHI KURUDI NYUMBANI NI PAMOJA NA....
1. " Sijisikii vizuri, nisaidie kuosha nyombo...."
2. " Sisi tunapika, we kanunue chumvi na nyanya..."
3. "Unapoangalia TV hapo nikuletee mchele uuchambue...."
4. " Kumbe ulifika mapema, mbona hujapika sasa...."
5.
6.
7.
8. Malizieni nyingine......

Hawa ndugu zetu ukiwafulia nguo leo basi atataka kila siku ufue, ukiosha vyombo leo atataka kila siku uoshe. Sasa wewe endelea kujifanya unawahi kurudi nyumbani mapema ukaona kwamba ni baba bora kumbe unabomoa nyumba yako, "UKIONA WANAUME WANACHELEWA KURUDI NYUMBANI UJUE SIO WAJINGA"
Yameshakukuta nini mkuu[emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom