Wanaochelewa kurudi nyumbani sio wajinga

yani nimesoma comments za humu nimebaki hoi, hv kufanya majukumu ndani ya nyumba yenu ni kumsaidia mwanamke? unanisaidiaje kwa mfano wakati hicho chakula tunakula wote? hivyo vyombo hata wewe unatumia? usafi wa nyumba hata wewe unakuhusu mana ndimo unapoishi, sasa iweje mwanaume useme eti kufanya hayo ni kusaidia? kwani mnaoa ili mpate wafanyakazi wa ndani au partner wa maisha? yani wote tunatoka asubuhi kwenda kutafuta maisha, tunarud nyumbani jioni wote tumechoka, badala ya kusema niwahi tukasaidiane na mwenzangu eti unachelewa kisa utatumwa kazi, sasa ulitakaje? kwani punda wako huyo? Aisee nashukuru kwa mume niliyenae nyumbani anawahi kurudi vzr sana na kama kuna cha kufanya atafanya tu, sijawahi kumsikia anaongea utaopolo eti ananisaidia.

Isitoshe, mimi kwetu tumezaliwa wa4 wakike wawili na wakiume wawili, wazazi wetu walitulea kwa USAWA wote tulikuwa tunazamu za kazi za ndani kuanzia usafi hadi kupika, hakukuwa na kazi eti hii ya mwanaume hii ya mwanaume
Akikufulia na kukupikia miaka 2 leta uzi humu tukupongeze
 
Baba kuwapetiti watoto kuanzia jioni baada ya kutoka kazini haisaidii kuwaandaa wajitegemee baadaye. Watch out! Kwanza ndo mwanzo wa kuwadekeza.
endelea kua kauzu tu kwa familia bt after 10 years utakua na mrejesho safi.
 
Mwanaume hakikisha unafika nyumbani kwako angalau kuanzia saa moja na nusu kwenda juu lakini usichelewe sana
Yaani unachelewaje kwako? Sinaga huo msamiati, mimi naweza kuchelwa kwenye ibada, kwenye appointment au hata kazini but sio kwangu! Unaweza hata kurudi asubuhi, it's okay si ni kwako? Acheni woga nyie!
 
Mhhh inategemea na jinsi mnavyoishi na mke uliyenae. Mume wangu anarudig saa moja na nusu mpaka saa mbili na akikuta kuna baadhi ya vitu havijakaa sawa huwa anasaidia hasa upande wa mtoto kama kumlisha na kucheza nae ili mimi mke nifanye shughuli nyengine za upishi ukizingatia cna msichana wa kazi. So kusaidia mambo ya nyumbani ni hulka tu ya mtu sio wote wanaopenda kuishi kiboss kisa tu wameoa basi ndo kamaliza kila kitu mke afanye hapo ukute na mke nae anamajukumu ya kikazi au biashara.
Nyie viumbe wa ajabu sana. Mimi nilianzisha tabia ya kuwa naweka net usiku wakati wa kulala, khee, halijageuka kuwa ndio jukumu langu, siku nisipoweka na yeye haweki tulale bila net.
 
Mwanaume hakikisha unafika nyumbani kwako angalau kuanzia saa moja na nusu kwenda juu lakini usichelewe sana. Kimsingi mwanaume aliyeoa anatakiwa kuwa nyumbani kati ya saa moja na nusu na saa tatu japo wengine mpaka saa tano au saa sita. Hiyo sio nzuri

Ila ni kosa namba moja kwa mwanaume kurudi nyumbani saa kumi sijui saa kumi na moja, ukiwahi kurudi nyumbani na umekaa tu mke wako ataanza kukupa kazi zake umfanyie. Wewe kama mwanaume utaona anazingua, usipofanya ataona humpendi na ukizifanya atazifanya kuwa majukumu yako na inaweza kufika hatua atataka mpangiane mpaka zamu ya kudeki nyumba.

HASARA ZA MWANAUME KUWAHI KURUDI NYUMBANI NI PAMOJA NA....
1. " Sijisikii vizuri, nisaidie kuosha nyombo...."
2. " Sisi tunapika, we kanunue chumvi na nyanya..."
3. "Unapoangalia TV hapo nikuletee mchele uuchambue...."
4. " Kumbe ulifika mapema, mbona hujapika sasa...."
5.
6.
7.
8. Malizieni nyingine......

Hawa ndugu zetu ukiwafulia nguo leo basi atataka kila siku ufue, ukiosha vyombo leo atataka kila siku uoshe. Sasa wewe endelea kujifanya unawahi kurudi nyumbani mapema ukaona kwamba ni baba bora kumbe unabomoa nyumba yako, "UKIONA WANAUME WANACHELEWA KURUDI NYUMBANI UJUE SIO WAJINGA"
Ukiwa na ndoa imara na uko vzr na mkeo,nyumbani kwako is the best place kurudi mapema baada ya majukumu yako hasa ukiwa na watoto. Nyumbani ndio shule ya kwanza mambo yanapoanzia kwa wanadamu yoyote....hivyo utengenezaji au ubomoaji wa familia yako unaanzia hapo,ila kama nyumbani kwako ni jehanamu ndogo,hayo uliyoandika ni sahihi. Bytheway, mwanaume hachelewi kwake,mda anaorudi ndio sahihi kwa wakati huo.
 
Nimeipokea hii "Mwanaume hachelewi kwake" hahaha
 
Mwanaume unaogopa kuwahi kufika nyumbani kwako mapema harafu unajiita mwanaume hahahah[emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni mwanaume mwoga

Umeoa mwenyewe harafu unamwogopa mke uliyemwoa hujielewi

Mwanamke ni msaidizi wako

Mimi nafika mapema tena sana na ninakaa tuli akifika ananikut bosi wake lzm ahangaike kuhakikisha anamaliza vvitu vyote

Ukijielewa huwezi kuwa mtumwa kwako
 
Huko sasa ni uoga ww wahi nyumbani mwambie hapana kama unaweza kusaidia kazi fanya.kumbeni mmeoana
 
Nyie viumbe wa ajabu sana. Mimi nilianzisha tabia ya kuwa naweka net usiku wakati wa kulala, khee, halijageuka kuwa ndio jukumu langu, siku nisipoweka na yeye haweki tulale bila net.
Nimechekaa duuh
 
Mwanaume kuwai nyumbani noma sana Kwanza waweza kubambwa mana iyo mida ndo yakuongea na michepuko sasa jifanye unawai maskani kumbe unajikamatisha mwenyewe
 
yani nimesoma comments za humu nimebaki hoi, hv kufanya majukumu ndani ya nyumba yenu ni kumsaidia mwanamke? unanisaidiaje kwa mfano wakati hicho chakula tunakula wote? hivyo vyombo hata wewe unatumia? usafi wa nyumba hata wewe unakuhusu mana ndimo unapoishi, sasa iweje mwanaume useme eti kufanya hayo ni kusaidia? kwani mnaoa ili mpate wafanyakazi wa ndani au partner wa maisha? yani wote tunatoka asubuhi kwenda kutafuta maisha, tunarud nyumbani jioni wote tumechoka, badala ya kusema niwahi tukasaidiane na mwenzangu eti unachelewa kisa utatumwa kazi, sasa ulitakaje? kwani punda wako huyo? Aisee nashukuru kwa mume niliyenae nyumbani anawahi kurudi vzr sana na kama kuna cha kufanya atafanya tu, sijawahi kumsikia anaongea utaopolo eti ananisaidia.

Isitoshe, mimi kwetu tumezaliwa wa4 wakike wawili na wakiume wawili, wazazi wetu walitulea kwa USAWA wote tulikuwa tunazamu za kazi za ndani kuanzia usafi hadi kupika, hakukuwa na kazi eti hii ya mwanamke hii ya mwanaume
Duh nawewe eti unamume
 
Yaani unachelewaje kwako? Sinaga huo msamiati, mimi naweza kuchelwa kwenye ibada, kwenye appointment au hata kazini but sio kwangu! Unaweza hata kurudi asubuhi, it's okay si ni kwako? Acheni woga nyie!
Hahahaa mimi nimekuelewa sanaaaaa
 
Mwanaume hakikisha unafika nyumbani kwako angalau kuanzia saa moja na nusu kwenda juu lakini usichelewe sana. Kimsingi mwanaume aliyeoa anatakiwa kuwa nyumbani kati ya saa moja na nusu na saa tatu japo wengine mpaka saa tano au saa sita. Hiyo sio nzuri

Ila ni kosa namba moja kwa mwanaume kurudi nyumbani saa kumi sijui saa kumi na moja, ukiwahi kurudi nyumbani na umekaa tu mke wako ataanza kukupa kazi zake umfanyie. Wewe kama mwanaume utaona anazingua, usipofanya ataona humpendi na ukizifanya atazifanya kuwa majukumu yako na inaweza kufika hatua atataka mpangiane mpaka zamu ya kudeki nyumba.

HASARA ZA MWANAUME KUWAHI KURUDI NYUMBANI NI PAMOJA NA....
1. " Sijisikii vizuri, nisaidie kuosha nyombo...."
2. " Sisi tunapika, we kanunue chumvi na nyanya..."
3. "Unapoangalia TV hapo nikuletee mchele uuchambue...."
4. " Kumbe ulifika mapema, mbona hujapika sasa...."
5.
6.
7.
8. Malizieni nyingine......

Hawa ndugu zetu ukiwafulia nguo leo basi atataka kila siku ufue, ukiosha vyombo leo atataka kila siku uoshe. Sasa wewe endelea kujifanya unawahi kurudi nyumbani mapema ukaona kwamba ni baba bora kumbe unabomoa nyumba yako, "UKIONA WANAUME WANACHELEWA KURUDI NYUMBANI UJUE SIO WAJINGA"
Unless umeoa mwanaume mwenzio au hujui nafasi yako nadani ya famikia, ila kama una mke, hayo yote wala huwezi kukutana nayo

Hivi kuna mtu anaweza kumwambia mumewe achambue mchele?yani umetoka kazini umechoka galafu naanza kukupa lazi za jikoni? Hii naisilia kwako. Huyo sio mke sijui umemwokota wapi,

Usiwapotoshe wanaume wenzio, waache warudi makwao mapema wakajibebishe kwa wake zao waondoe stress za kazini, wewe kwa sababu mkeo kakufanya housegirl chelewa tu huna namna
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom