Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Are you serious Mungi?
Mke wako mwenyewe halafu unamtumia PM?
Au ni mbinu ya kutaka kunizuga niwafutie kesi!
I hope my Lily Flower hajasoma hii makitu
Last edited by a moderator:
Are you serious Mungi?
Mke wako mwenyewe halafu unamtumia PM?
Au ni mbinu ya kutaka kunizuga niwafutie kesi!
I hope my Lily Flower hajasoma hii makitu
Mie sibanduki kwa Paw, mambo ya kuruka mkojo kukanyaga naniliu anataka nani? Pole weeeh:cheer2:hehehehe!!! mkwe nimepata mchumba mod kankataza kuja huko. lol.... hadi nammiss mwanao, uhuru mia mia.
Sawa mkuu Mungi nimekuelewa....ni utani tu....
Kwa hiyo, ni utani pia babu akisema kuwa hawezi kutumiamo picha za wajukuu wake humu ndani....
Babu DC!!
Hivi babu unavyowabania wajukuu namna hiyo, una mpango gani nao? :confused2:
Waachie banaa wapate :mwaaah:, mbona wewe ulimpataga bibi:becky:
Bado b52
sana tu......ila dah.....
Una bahati mbaya hukuipata ile yenyewe. Poor you, kwanini lakini?
Si ndio namshangaa? Uwenyeji gani huu?
Hehehehe! Unauliza vumbi stoo? Sisi hawoooooo! Kawaida kama sheria:becky::becky::becky:
Mie sibanduki kwa Paw, mambo ya kuruka mkojo kukanyaga naniliu anataka nani? Pole weeeh:cheer2:
Nani kakwambia kutafutana, kupeana na kupata ni sehemu ya menu ya Tanga??
Halafu wewe?
Endelea na Paw wako....mambo ya Tanga ni ya wajanja...
And unfortunately, you are not qualified at all!!
Babu DC!!
Haki ya nani Tanga raha sana......
Mambo ya Chuda, kwa Minchi, Tanga Beach Resort, Nyinda, La Cassa Chica na Nyumani hotel hayo.........
Ni zaidi ya nusu kaputi a.k.a anaesthesia au nyamulunda!!
Tunakimbizana kwenda saa 2 asubuhi na hakuna mjukuu ana habari kwamba kumeshapambazuka..!!
Babu DC!!
Cc: PakaJimmy, Arushaone, Blaki Womani, Lily Flower (mshabiki wa nyuki wa mashine), Preta, Arabela, KOKUTONA, Madame B, watu8, Filipo + marejesho, Smile (umekoma kuringa...lol)!!