WanaJF ndani ya Tanga

WanaJF ndani ya Tanga

Attachments

  • Pangani..jpg
    Pangani..jpg
    18.7 KB · Views: 44
  • Pangani.jpg
    Pangani.jpg
    20.6 KB · Views: 42
Last edited by a moderator:
Waambie mkubwa, watu ndo wanatoka Pangani Beach sasa hv. Ushawahi kumwona Arushaone akiogelea kwa nyumanyuma wewe!...Ushamshuhudia Madame B akipiga mbizi kwa dakika 15 wewe!
Subirini mapicha tuna Gb 20 za matukio.
Hehhehe nakuaminia mkubwa! Hapo kwa madam b hapo! Mambo ya buyonsi law hahaha
 
Last edited by a moderator:
Hehhehe nakuaminia mkubwa! Hapo kwa madam b hapo! Mambo ya buyonsi law hahaha
Pia inaaply law of floatatin inayosema 'a floating body displaces its own weight of fluid in which it floats'
Pia Bernoulli's law of pressure inahusu.
 
Pia inaaply law of floatatin inayosema 'a floating body displaces its own weight of fluid in which it floats'
Pia Bernoulli's law of pressure inahusu.

Mkubwa nakutamanije heheheh acha tu lo ! mambo ya benuliz ikwesheni hapo kwa Madam B, angaliaa na we presha ni kushuka na tanga hakuna dawa hizo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom