Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,653
Hayawi hayawi yamekuwa. Kama kuna watu walikuwa na mashaka basi wakuje waone wenyewe.
Karibuni sana wageni & feel at home!!
Babu DC!
Updates
Day 1 imeisha salama na sasa tunasonga mbele......
Hakuna majeruhi na taarifa zote (za maganda na risasi zimeshafika mezani kwa Babu na Bibi)!!
Ila wale wanaoweza kuruka kwa ungo au kuwahi flight tutawasubiri hadi mida ya saa 3!!
Otherwise.....Babu hatavumilia usumbufu wakati yuko busy kuhakikisha wajukuu na wageni wote wako salama!!