WanaJF ndani ya Tanga

WanaJF ndani ya Tanga

Wa Dar vp wametua au wamepotea?
Mbona hamtuulizii sisi wenyeji wa tanga? Ebooo, mtasemeshwa na vifuu.
Mke mweee sweetlady, careful usigonganishe miamba ukawahisha mwisho wa dunia.
Husninyo nimekumiss mkwe.. Si ungeniambia nikakupa nauli jamani!
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 mambo ya kuondoka tanga bila kurudisha boxer yangu sipend,uliazima kwaajil ya x-mass tu hatujakubaliana uendenayo tanga
 
Last edited by a moderator:
Mbona hamtuulizii sisi wenyeji wa tanga? Ebooo, mtasemeshwa na vifuu.
Mke mweee sweetlady, careful usigonganishe miamba ukawahisha mwisho wa dunia.
Husninyo nimekumiss mkwe.. Si ungeniambia nikakupa nauli jamani!

hehehehe!!! mkwe nimepata mchumba mod kankataza kuja huko. lol.... hadi nammiss mwanao, uhuru mia mia.
 
Last edited by a moderator:
sijui watakuwa wanafanya nini hukoooo. mrudi salama jamani

Pole kajukuu,

Watu wako busy na huyo busy mwenyewe hataki utani.

Details ni kesho.

In short, awamu ya 3 inaanza shortly!!

Babu yuko kazini, kashika hatamu na patamu pia!
 
Hii thread imesimamishwa rasmi hadi kesho saa 11 alfajiri. Ni muhimu watu wakamilishe shughuli!
 
nyie wanajf tanga, mnafanyana nini mbona wote mmepotea ghafla!!! mnapigiana story eeeh

Biya+mbuzi choma+live band dadadaki huna bahati Husninyo! BTW kwanini mnajinyima raha hivoo? Mnatia huruma ila hamjijui.
 
Last edited by a moderator:
Hii thread imesimamishwa rasmi hadi kesho saa 11 alfajiri. Ni muhimu watu wakamilishe shughuli!

Babu Dark City acha watu waendeleze maraha. Wewe kalale kwani ushazeeka sana na huu ni muda wa vijana yaani sisi.
 
Last edited by a moderator:
Biya+mbuzi choma+live band dadadaki huna bahati Husninyo! BTW kwanini mnajinyima raha hivoo? Mnatia huruma ila hamjijui.

jamani hatukupenda kujinyima raha ila uchumi hauruhusu,mie nimeshapiga budget ya school fees na mengineyo pesa yote kwishine hakuna keep change,kama nyie zimebaki huko tuchangieni tuje walahi nakuambieni watu tutavunja miguu kuja Tanga hakuna asiependa kubebwa mgongoni kupelekwa bafuni kuoga maji yenye iriki na karafuu.
 
hivi Mtambuzi nae kaenda huko mbona nahisi mnatania,wakati namuona hapa mjini analandalanda anatafuta nguo za sikukuu za wanae ukizingatia familia imekua au kuna pacha wake ndo kaenda huko.
NB:Jamani kwa wale wanaopenda kukata kiu ugenini mkumbuke ndom hatutaki mrudi mkiwa mmekumbwa na majanga.
nawatakieni kheri.
​
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom