WanaJF ndani ya Tanga

WanaJF ndani ya Tanga

Kweli kabisa mshikaji wangu,

Huyu PakaJimmy hakutakii mema kabisa....

Sijui anakuwaje sasa au ndo mambo ya kuzeeka vizuri...:smile:😱hwell:

Nadhani amesahau kuwa siku zote, wanaume huteteana katika mambo ya kiutu uzima wakati wanawake hugombelezeana...

Kama akitimiza lengo lake hilo basi atakuwa amepotoka kabisa!!

Cc: Asprin na Kaizer..

Babu DC!!
Na hili ndilo neno la kiumeni.

Sifa Kwako ee Dark City.
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • nadhiri.jpg
    nadhiri.jpg
    479.6 KB · Views: 33
Ukipata hela kidogo nipe nikupe ishu la ukweli la mahusiano yaliyoendelea siku ile kati ya Filipo na Arabela jirani na geti la kuingilia Maryland!

Sidanganyiki...
Filipo asipoona wengine mie ntabweteka..Mambo madogo kama haya ndio yanarutubisha ndoa....
 
Last edited by a moderator:
Yaani wifi yangu acha Kbs, niliupiga ukunga utadhani natolewa kizinda,ila waooooo............ PakaJimmy alifanya mabo ya kunibembeleza.
si uliona eeeeeeeee...............

Yaani PakaJimmy alithibisha watu wa Arachuga walivyo wakarimu kupitiliza.......

Swali la Kizushi..

Eti Madame B, mbona uliumia mguu lakini PakaJimmy akawa anakubembeleza kwa kukuhug sana? Kwani mabega nayo yaliumia?lol
 
Last edited by a moderator:
Yaani PakaJimmy alithibisha watu wa Arachuga walivyo wakarimu kupitiliza.......

Swali la Kizushi..

Eti Madame B, mbona uliumia mguu lakini PakaJimmy akawa anakubembeleza kwa kukuhug sana? Kwani mabega nayo yaliumia?lol

Heeeeee......... marejesho jamani, yamekuwa hayo tena?????????
Si unajua tena maumivu husambaa mwili mzima!!!!!!!!
Kwa hiyo kwa uzoefu wake akalijua hilo.
 
Last edited by a moderator:
Yale hadhwarani yalikuwa vile, je, akija huku kwangu mwenyewe unafikiri takuwaje marejesho? PakaJimmy Mkare eee????
Ulitamani ungekuwa wewe.

Mie nilikuwa na wangu mguu kwa mguu, mpaka wenyewe mkaanza kuchonga eti Filipo aniache nipumue.... PakaJimmy hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.....
 
Last edited by a moderator:
Weeeeee........... ushawahi kuachwa mwezi mzima ndani ya mapango ya Amboni??????/
Basi jaribu kurusha picha.

Nikiachwa lile pango la pili (Jinsia) hakuna neno... Ntakuwa kama vile naangalia video.......
 
Mie nilikuwa na wangu mguu kwa mguu, mpaka wenyewe mkaanza kuchonga eti Filipo aniache nipumue.... PakaJimmy hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.....

Lakini mwenzangu huyo Filipo alizidi kukukaba, hata kuhema huwezi????
Cha kufia..........Akhaaaaaaaa.............
Mume kama huyo ambae hakuachii hata nafasi anaweza kukutoa roho bureeeeee...........
 
Last edited by a moderator:
Nikiachwa lile pango la pili (Jinsia) hakuna neno... Ntakuwa kama vile naangalia video.......

Afu nilikupiga jicho la pembeni pembeni nikakuona kwa jinsi unavyolitazama kwa uchu.............. weweeeeeeeeeeee............, Ngoja Filipo aje
 
Last edited by a moderator:
Haloooooo.....

Kama bado mguu unauma, tunaweza tukafanya arrangement faster PakaJimmy aje Dar kukuhu tena.....
Hayo ndo maneno!
Embu marejesho fanzafanza uhakikishe kama nahitajike ili Wing ijulishwe kwa PM niondoke na KEG ya saa 7.00 mchana!
 
Last edited by a moderator:
Hayo ndo maneno!
Embu marejesho fanzafanza uhakikishe kama
nahitajike ili Wing ijulishwe kwa PM niondoke na KEG ya saa 7.00
mchana!

he he he....watu kwa kupenda pass za kisigino.....
 
Last edited by a moderator:
hahahah....chezeya Tanga
wewe, mganga kakosea dozi kampa Preta dawa ya
kusababisha mafua

halafu wewe....nakumiss ujue....nipo Handajega kwa anko....nikirudi nitaduu zile kadhalika.....
 
Last edited by a moderator:
halafu wewe....nakumiss ujue....nipo Handajega kwa anko....nikirudi nitaduu zile kadhalika.....

mimi pia kumbuka thana wewe P
nilifurahi sana kukuona si wakumbuka lile hug la dakika kama 3 hivi hehehe....msalimie thana ankal
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom