Hahahahaha! Viroba? Astaghafirulah! Khaaa
Ajinyonge atajiju lol. Msalimie huyo anaetaka kujinyonga
Hahahahaha! Anatoa lock na viroba? Tehe tehewe acha tu, nimemuuliza kulikoni akanambia anajitoa 'lock' kwanza kabla hajaanza bia
Nimekula na mwanetu , haya wewe umekula na nani
Khaaa! Acha uongo, mwanetu yupi?? Mie wala sijaenda tanga!mi mbona ndio nimekula na mwanetu sasa wewe umekula na nani? kwanza Tanga umeenda na nani?

Khaaa! Acha uongo, mwanetu yupi?? Mie wala sijaenda tanga!
Ntaendaje Tanga bila ruhusa yako?please naomba usiende Tanga narudi sasa hivi home