WanaJF ndani ya Tanga

WanaJF ndani ya Tanga

Ha ha haa, chezeya watoto wa Tanga wewe? Tumedattisha mbaya, Arushaone dhhofu li khali, na ameanza kupiga za chini chini harudi Arusha. Arabela kazia kwa huko mi naendela kwa huku. Chezeya

1. Maji ya kuoga ya iliki,
2. Supu ya pweza
3. Maji ya ukiri.
4. Maji ya kupigia mswaki ya tui la nazi,
5. Mawaridi na uturi kitandani

Kwa nini wasidateee?
@Fillipo, PakaJimmy, watu8 kwa taarifa zaidi

hahaha yani wanatamani wabaki huwaga mambo yetu hayaongopi mpenzi Kokutona
 
Last edited by a moderator:
Uamuzi na hatima ya maisha yake Arusha au Tanga yako mikonono mwangu na Arabela, tukimwonea huruma tutamwachia aungane na familia yake, but sijui tuendeee kumdatishaa.

Time will tell

mpenzi kwakweli time will tell kama kumpa go ahead au lah
 
Last edited by a moderator:
Hakika Mungu wetu ni mwema, ataenda kuwasimamia ndugu zetu hao katika safari yao hapo kesho! Tunawaombea warudi salama! Amen
 
yaani tume-enjoy sana Hapa......
Mapango%2B011.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom