Wanaharakati: Ziachieni simu za VodaCom!

Wanaharakati: Ziachieni simu za VodaCom!

Afadhali mimi line yangu ya Voda nilitupa zamani. Kumuunga mkono Rostam kwa namna yoyote ile ni UHAINI.
 
quote_icon.png

kunasa maongezi ya watu huko kwa DCP, IGP "

Mkuu Kings of Kings
Kwa maelekezo yako nafikiri umeweka mambo sawa nikwa wanaharakati tu. Kama sio mwanaharakati huna haja ya kuofia kitu. Mambo mengine ya garama na unapatikanaji wa huduma ni mambo ya mtu binafsi.

Kwa mim nilivyomuelewa MM hii ni kwa wanaharakati/watu wenye mapenzi mema na Tanzania
mana Vodacom imekaa kuisadia sisim by any means kutrace watu kujua nani yuko wapi na anafanya nini
 
Kama wewe ni mwanaharakati, hebu tafakari namna ulivyoathirika iwe directly au indirect toka ushauri huu ulipotolewa mwaka jana, na ikiwa ni zaidi ya mwaka sasa.
 
anachomaanisha mwanakijiji wengi hamjakielewa hapa, ishu ni ya kiusalama zaidi kwa taarifa tu wenye namba za voda mazungumzo yenu na ujumbe mnaotuma upo tracked kwa maslahi ya kundi la watu fulani, shauri yenu wabishi...
 
It is too late now but not too late enough.. kama uko kwenye mapambano dhidi ya ufisadi na hauko tayari kusalimu amri, nakushauri kuachilia namba za simu za Vodacom ASAP. As a matter of fact, hamia "kwingine" within the next 72 hours (beginning Monday). Do it or be ready to live with the consequences.

Nilikuwepo.

M.M.
Mkuu, usinikumbushe ya wakati uleee wa akina Osama Bin Laden kuwaambia waislamu waisusie PEPSI kwavile inatengenezwa Marekani!!! It didn't work at all! It can work only if kama rivals wa Voda nao watachaji the same rate pale unapompigia mtu wa VOda( I mean, Tigo to Tigo = Tigo to Voda) !!!
 
Kwa mim nilivyomuelewa MM hii ni kwa wanaharakati/watu wenye mapenzi mema na Tanzania
mana Vodacom imekaa kuisadia sisim by any means kutrace watu kujua nani yuko wapi na anafanya nini

Kama ni hivyo siyo wanaharakati tu bali hata ndugu zao na marafiki kama wana laini za Voda. Ikiwa mtu wa laini nyingine akimpigia mtu wa Voda mazungumzo yanafuatiliwa basi posti hii ilitakiwa iguse siyo wanaharakati tu bali hata wazalendo wengine pia. MM kichwa cha habari kisomeke: Wazalendo na wanaharaki: Ziacheni simu za Vodacom.
 
Thank you Waga for the analysis. I had been toying with the idea of abandonning Vodacom for sometime but really the Shamte stuff has helped me make my mind. I am certainly going to switch asap. By the way is this Shamte the same one who is a member of NEC in CCM?
 
Naomba ujumbe huu tuwafikishie wengine juu ya hujuma hii watufanyiayo mitanado ya simu
Kila Mtanzania anayepiga simu mtandao wowote, asilimia kumi (10%) ya huo
muda wa maongezi zinakatwa, fedha hizo zinaenda kuchangia Kampeni za CCM. Kudhihirisha
hili, mtu yeyote mwenye simu, chukua simu yako, nenda kwenye sehumu ya
kuandika ujumbe mfupi (SMS); kisha andika neno "HAPANA" na tuma ujumbe huo
kwenda namba "15016." Utapokea ujumbe huu "Asante kwa ujumbe wako, utatolewa
kwenye huduma hii ya changia ushinde na CCM."Hii ni hujuma tunayofanyiwa
watumiaji wa huduma za mawasiliano bila ridhaa yetu au kujulishwa hivyo na
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Kesho yake, October 14,2010, nadhani baada ya wahusika kushtukia idadi ya
watu watu wanaojiondoa kwenye huduma hii; na nilipokuwa najiondoa kwenye
hujuma hii kwa kutumia lini yangu ya Zain & Zantel, nilipokea ujumbe huu
"Asante kwa ujumbe wako kama umeshiriki Changia ushinde utaondolewa kwenye
huduma. Kumbuka hakuna malipo kutumia mtandao wa mawasiliano wa CCM." Ujumbe
huu wa pili nauona kama ujanja wa kuwapumbaza watu kwani mantiki yake
imevurugwa kwa maksudi. Hata hivyo cha msingi hapa tusiangalie nyuma,
tumeshahujumiwa, dawa ni kujiondoa maana kujiondoa kwenye hujuma hii ni
bure. Mjulishe ndugu na rafiki yako tafadhali.

Habari ndo hiyo
 
Haya ndio tunaita maendeleo leo unawaambia wananchi wagomee huduma fulani za kampuni fulani kwa upotovu wako wa mawazo binafsi kesho unakuwa mwanaharakati wa kujaribu kuchangia maendeo na maoni , ndugu hatuwezi kufika baba dunia haiko hivi na hata hao walioendelea hawajawahi kutumia forums kuzuga watu na kuwalagai kama mwanakijiji ulivyofanya kwa post hii ulitakiwa kuchukuliwa hatua na jukwaa la jamiiforums kuomba msamaha kwa kampuni ya vodacom
 
Ya kwangu ina week moja imekuwa unreacheable yaani tangu nijue mambo ya Rashid Shamte na Voda na matusi yao kwa watu wa imani tofauti na zao
 
It is too late now but not too late enough.. kama uko kwenye mapambano dhidi ya ufisadi na hauko tayari kusalimu amri, nakushauri kuachilia namba za simu za Vodacom ASAP. As a matter of fact, hamia "kwingine" within the next 72 hours (beginning Monday). Do it or be ready to live with the consequences.

Nilikuwepo.

M.M.

Jana usiku wa manane niliamshwa na simu yangu ya Voda, nilipoangalia namba kwenye screen nikagundua kuwa inafanana sana na zile namba zilizokuwa zinatuma message za CCM wakati wa kampeni halafu katikati ya namba hiyo ilikuwa inadisplay initials mbili za majina yangu, nilipoona hivyo haraka sana nikakumbuka na kuunganisha mawazo yangu na angalizo hili la M Mwanakijiji hivyo basi nikaikata simu hiyo, haikuishia hapo kwani alirudia kuita tena nami nikaaangalia nambari ile kwa uzuri zaidi na kuhakikisha kuwa hakuna mtandao Tanzania unaotumia namba zile na nikahisi ni wajaomba wanajaribu tishatisha yao kupitia mtandao wa Rostam Vodacom ambao nafikiri unatoa anuani zetu bila ridhaa ya mteja na huenda hufatilia au kusikiliza na kutepu maongezi ya wateja bila ridhaa yetu, asubuhi nilitaka nichukue namba ile ili nije niulizie wengine mmepata kitu kama hiyo na cha ajabu ile namba ilikuwa imepotea na wala kwenye missed call haikuwepo..., msisitizo kama sio kuiacha kabisa basi tumia voda unapokaribia kufa,
 
Mimi nilishafanya hivyo siku nyingi.Kilichobaki ni kuwashawishi ndugu na jamaa zangu kufanya hivyo!!!
 
Hivi bado kuna watu wenya voda? Mie nilishaachana nayo long time.
 
.......Mwanamke Mjamzito LAZIMA Alifanya TENDO LA NDOA na Anayeona Bilioni Moja ni 'VIJISENTI' LAZIMA ni FISADI...]
hii signature yako ndo imenikamata zaidi
 
Miaka sita iliyopita ndipo niliacha kutumia vodabom.
hata mtu akiwa kwenye line hiyo huwa simpigii kabisa wala sms.
 
Miaka sita iliyopita ndipo niliacha kutumia vodabom.
hata mtu akiwa kwenye line hiyo huwa simpigii kabisa wala sms.

jamani yaliyozungumzwa humu yote ni kweli?? sasa jamani mbona wengine kila kitu ni voda tu? MODEM na line zote ni voda, hivi ni kweli? mi sijaamini kabisa.

Jamani, kwa kweli nimeamini kuna watanzania ambao ni vichwa. hata hivyo Mimi sitoiacha voda kwa kuwa huu ni mwaka takribani wa 8 natumia voda kama nikweli basi.
 
Haya ndio tunaita maendeleo leo unawaambia wananchi wagomee huduma fulani za kampuni fulani kwa upotovu wako wa mawazo binafsi kesho unakuwa mwanaharakati wa kujaribu kuchangia maendeo na maoni , ndugu hatuwezi kufika baba dunia haiko hivi na hata hao walioendelea hawajawahi kutumia forums kuzuga watu na kuwalagai kama mwanakijiji ulivyofanya kwa post hii ulitakiwa kuchukuliwa hatua na jukwaa la jamiiforums kuomba msamaha kwa kampuni ya vodacom

Mahakama ziko wazi nenda kawachukulie hatua then bring the feedback here..nonesense
 
Back
Top Bottom