Wanaharakati: Ziachieni simu za VodaCom!

Wanaharakati: Ziachieni simu za VodaCom!

It is too late now but not too late enough.. kama uko kwenye mapambano dhidi ya ufisadi na hauko tayari kusalimu amri, nakushauri kuachilia namba za simu za Vodacom ASAP. As a matter of fact, hamia "kwingine" within the next 72 hours (beginning Monday). Do it or be ready to live with the consequences.

Nilikuwepo.

M.M.
Dah! Miaka 10 imeshapita ni kipi hasa ulichokiona huko Vodacom Mzee?
 
It is too late now but not too late enough.. kama uko kwenye mapambano dhidi ya ufisadi na hauko tayari kusalimu amri, nakushauri kuachilia namba za simu za Vodacom ASAP. As a matter of fact, hamia "kwingine" within the next 72 hours (beginning Monday). Do it or be ready to live with the consequences.

Nilikuwepo.

M.M.
Kumbe hawa wapuuzi voda wameanza kitambo
 
Wa TZ bwana....ina maana hadi sasa kuna ambaye hajui kosa la Voda ni lipi, haya tuendelee kujitoa akili ila yakikufika utaelewa!
 
Hichi kitu alikiandika Mzee Mwanakijiji miaka 10 iliyopita, na leo kipo wazi kwa kila mtu kuwa Vodacom ni mtandao unaoshirikiana na wale jamaa wasiojulikana kuangamiza wakosoaji wa serikali.

Ajabu moja kubwa ni hili, mwandishi wa huo unabii (Mzee Mwanakijiji) leo hii anawatetea Vodacom katika hilo hilo. Yaani anajifanya hajui kinachoendelea kuhusu harakati za watu wanaohamasisha kuisusia vodacom.

Kweli utumwa ni upofu, hadi Mzee Mwanakijiji leo hii amekuwa sehemu ya Praise team!!!
 
Wa TZ bwana....ina maana hadi sasa kuna ambaye hajui kosa la Voda ni lipi, haya tuendelee kujitoa akili ila yakikufika utaelewa!
Huu mstari wa Pascal unaeleweka vyema? Mwaikibaki
1. Kama ni simu kusikilizwa kinyume cha sheria, mitandao yote iko monitored na wenye nchi, na sio hao tuu, bali mpaka mabwana wakubwa wa wenye nchi. Rule out sababu za kiusalama.
 
Heshima mbele MMKJJ, kwanza nakushukuru kwa angalizo, ila hukutoa sababu ya angalizo hili. Mimi naamini issue sio gharama wala umiliki wa mafisadi.
ila sio tuu umetoa ushauri, bali pia umetoa tahadhari "Do it or be ready to live with the consequences". hii ikimaanisha yakishapita hayo masaa 72, yatatufika yakutufika.

Ushauri wangu ni kuwa naomba utusaidie kwanza sababu ambazo naamini ni za msingi, na pili sisi watu wa mazoea ambao hatuna mpango wowote wa kuhama voda, sio vibaya ukitujulisha yatakayo tukuta ili tuwe more prepared for the so called "be ready to live with the consequences".
Naomba na mimi niwape facts zangu,
1. Kama ni simu kusikilizwa kinyume cha sheria, mitandao yote iko monitored na wenye nchi, na sio hao tuu, bali mpaka mabwana wakubwa wa wenye nchi. Rule out sababu za kiusalama.
2. Naitumia sana voda hswa kwa mtandao, nakiri jamaa wako ghali sana, Zain wana 3.5 G wako faster, cheaper kuliko Voda, ila tatizo kwangu ni mazoea.
3.Nimesikia Zentel ndio the cheapest, hivyo kama kweli issue ni kuibiwa, watu washauriwe kujiunga Zentel.
Angalizo, wana JF lazima tuwe makini zaidi kwenye haya, tusijejikuta tunatumiwa bila sisi wenyewe kujijua katika vita vya biashara vya mafisadi, iwe ni mafisadi papa, nyangumi, ama hata visamaki vidogo mpaka vifisadi dagaa.
Hahaha hii ni 2009!!!! Ndio maana MM sipendi kumbishia kivilee ....
 
Huu uzi usome kwa utulivu ili uache unafiki wa kisiasa ...soma comments zote ...
 
Back
Top Bottom