Nashukuru sana kwa hii post-nazani voda kwa sasa basi tena-enough is enough...
Sure, Msanii na wenzake wa Zain si ndio walitumiwa zile SMS fulani?Mkuu ukisimuliwa uhuni wa Zain, utaona nafuu ya Voda.
Mkuu ukisimuliwa uhuni wa Zain, utaona nafuu ya Voda.
juzi kati zain walinizingua nikavunjilia mbali line yao
It is too late now but not too late enough.. kama uko kwenye mapambano dhidi ya ufisadi na hauko tayari kusalimu amri, nakushauri kuachilia namba za simu za Vodacom ASAP. As a matter of fact, hamia "kwingine" within the next 72 hours (beginning Monday). Do it or be ready to live with the consequences.
Nilikuwepo.
M.M.
Nachomoa line. Now.
Mimi sitaki kabisa Vodai think isue here must be a reason why should'nt. tutafika mahali kila kampuni itakuwa ya kifisadi. mbona mnakunywa bia. have you asked yourself who is the owner?
Mimi sitaki kabisa Voda
Kutumia Voda ni kuendelea kumuongeze fisadi RA utajiri, ambapo utajiri huo anautumia kuinflunce wachache wenye mamlaka ili aweze kuwanyonya wanyonge kama sisi (tu wengi kweli kweli) !!!!!
Mimi nikiwa kama mnyonge ninasusa kununua chochete kile kutoka kampuni ambazo RA, EL na Chenge ni shareholders
VODACOM ni mojawapo , to hell with their services
Hii ndo njia yangu ya kupinga ufisadi , wewe je ?
Nina hasira sana agrrrrrrr mhhhhhhhh
Ahsante Ndugu yanguBasi Usilie Jikaze mpaka 2015 kura yako mpe Dr. Slaa :bowl:
hii kwa watu wote mpaka sisi kajamba nani au wanasiasa na watu maarufu?