Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,081
Mkuu Mkjj naomba ufafanuzi ni wanaharakati gani unaozungumzia? Wanaharakati is a broad term. Mimi ambao ni mwanaharakati wa mazingira kwanini nitupe line? Na wale ambao ni wanaharakati wa haki za binadamu je?
Ikiwezekana pia,maana kama anaweza kuwekea tundiko lake hapa na kuwaambia watu wasusie mtandao flani pia ana paswa kutuambia tuhamie mtandao upi ambao yeye anaona utatufaha.
it is too late now but not too late enough.. Kama uko kwenye mapambano dhidi ya ufisadi na hauko tayari kusalimu amri, nakushauri kuachilia namba za simu za vodacom asap. As a matter of fact, hamia "kwingine" within the next 72 hours (beginning monday). Do it or be ready to live with the consequences.
Nilikuwepo.
M.m.
usingoje sana ndugu yangu; yawezekana "usione" chochote kwani si vyote vinaonekana.
Ali Choki alijisemea "Chuki binafsi"
Kwenye msafara wa mamba, kenge hawakosekani.
Hii topic tuliijadili hapa kwa kirefu mwaka jana.
Kwa wale walioanza kutumia mitandao jana jana na wale ndugu na marafiki wa wakina RA hawa hawajui machungu ya mitandao kama ya Voda.
Mimi nilishajitoa voda siku nyingi pamoja na kujidai kwamba wao ndio wako kila sehemu nchi hii. Hili lilikuwapo miaka mingi imepita. Sasa hivi mitandao yote imejizatiti huko vijijini. Ukweli na sim kadi mbili za voda nilizowahi kuzimiliki hata namba zake sizikumbuki maana waliniboa kwanza kwa rates kubwa kupita kiasi.
Niliamua kubaki na line ya tigo na zain tu. Wengine hao ni fisadis including Zain .Hizo zingine nilishaachana nazo zamani. Wanaoendelea kubaki nazo nawahurumia. Nawashangaa hata kwa utetezi wao usiokuwa na maana. Una maana kama ni sehemu ya ufisadi huo. Na kwa taarifa yao kugomea bidhaa ni silaha iliyowahi kufanikiwa duniani hapa dhidi ya madhalimu. VodaCom Afrika kusini ni moja ya walioonja joto hiyo.
Jamani tugomee bidhaa zote zitokanazo na mafisadi.
zamani mtu akifanya kitu cha kukuboa au akifanya kitu ambacho unaona kabisa kwanini hakufikiria.. tulikuwa tunasema "mijitu mingine".. sasa sijaelewa kimalizio cha hiyo kauli huwa ni nini maana karibu mara zote huachwa inaning'inia...
tehe tehe tehe! mi voda yangu kazi yake ni kubeep na kupokea msgs tu...
usingoje sana ndugu yangu; yawezekana "usione" chochote kwani si vyote vinaonekana.
Nilichomwelewa Mwanakijiji hapa kama nitakosea anikosoe ni kwamba, anawaonya wanaharakati walio katika mapambano dhidi ya ufisadi juu ya kutumia mtandao wa Vodacom huenda kuna namna imetengenezwa kuwanasa na kuna mkuu mmoja hapa amedokeza kuwa kuna mitambo ya kunasa maongezi ya watu huko kwa DCP, IGP n.k. Sasa hapa sijaelewa kama hivyo vinasa maongezi ni kwa ajili ya mtandao wa Vodacom tu au ni mitandao yote. Mwanakijiji tafadhali tunaomba maelezo zaidi.
It is too late now but not too late enough.. kama uko kwenye mapambano dhidi ya ufisadi na hauko tayari kusalimu amri, nakushauri kuachilia namba za simu za Vodacom ASAP. As a matter of fact, hamia "kwingine" within the next 72 hours (beginning Monday). Do it or be ready to live with the consequences.
Nilikuwepo.
M.M.
Uzuri nina line zote 3 ie voda,tigo na zain when it comes to unreliability VODA baada ya kuingiza mambo ya cheka ni issue nimereport several times wananiambia tutashugulikia.
Wanabahati voda ni ya kiofisi otherwise ningeliitupilia mbali kabsaaa kwa sababu mbili moja ikiwa unreliability na ya pili gharama za kupiga to other networks.
Niko confortable zaidi na TIGO NA ZAIN kuliko VODA tena ukiangalia nimepunguza matumizi kutoka laki 7 kwa mwezi mpaka 250,000tshs kwa mwezi zingine nahamishia TIGO NA ZAIN.
I only retain voda bse of my customers otherwise it would have been in a recycle bin