Mazingira
JF-Expert Member
- May 31, 2009
- 1,833
- 298
Earversdroping kama sijakosea,ni kinyume cha sheria unless otherwise justified by National security purposes....Na kwasababu National Security ni yenyewe inahusisha kuwalinda wenye kuhodhi madaraka,bila kujali udikteta ama ufisadi wao,then udikteta/ufisadi unakuwa ndo National security concerns zenyewe za watawala na wazalendo ndo wanakuwa target,ndo ukweli wenyewe huo,we'll wait and see for sure,lakini mfano wangu ni kwamba,hata usalama wa Taifa wa serikali ya kidikteta,ni kulinda usalama wa dikteta na kufacilitate udikteta,same with ufisadi etc,inategemeana na sera za watawala...Sasa hapo jazia.
Mushi,
Yaani hii nchi yetu ni ajabu sana. Yaani mhalifu ndo yuko salama na raia mwema ndo amegeuzwa kuwa mhalifu wa kuwindwa kisa anaingilia ulaji wa mafisadi. Ooooooh, MUNGU atusaidie.