Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 13,827
- 20,241
General study form fiveNaomba kitabu cha General study,,,advance
General study form fiveNaomba kitabu cha General study,,,advance
Bado mkuuUshapata?
Geography Form FiveBado mkuu
Ngoja nikuangalizie cha D.T.Msabila kama nitapataBado mkuu
Ahsante sana, ubarikiwe.Ngoja nikuangalizie cha D.T.Msabila kama nitapata
AminaAhsante sana, ubarikiwe.
Wabeja sana....Ilikuwa haijawekwa mkuu. Asante sana aisee. Mavitabu haya ni ghali sana. Ngoja tuwawekee hapa madogo washindwe wenyewe tu. Wengine tulisoma kitabu kimoja mnashea wanafunzi hata 20 dah!
Wale wenye vitabu vya Shaban Robert na wengineo kama hao naviomba.
Asante sana mkuuWabeja sana....
Mimi niliachiwa vitabu na makaka na madada zangu mpaka kinafika kwangu kurasa kibao zimefungiwa vitumbua...
Kwa kweli washindwe wenyewe tu, pia nadhani wanahitaji kupanua akili na kufuata njia zingine mbadala sio tu kufuata vitabu vinavyojulikana kwa majina,
Chemistry, Physics, Biology, Maths, au Geography ni ile ile tu.
Kazi iendelee...
Chemistry books A level
Nitumie mkuu,Mavitabu ya Anatomy kwa Wanafunzi wa Utabibu Haya Hapa
Mavitabu mengine ni makubwa sana hayakubali kuwekwa hapa kama attachment.
Anayehitaji aseme nimtumie moja kwa moja kwa email
Kuna Snell, Netter, Grant nad Gray.
Nitakutumiaje sasa?Nitumie mkuu,
Naomba kitabu cha Mathematics form three
Nina vitabu vingi sana mkuu anayetaka ataje tu jina la kitabu chochote kile nitakiweka hapaAsante sana mkuu Shadow7. Naomba tuuendeleze uzi huu. Nimegundua kuna watu wanafaidika nao. Nakusanya kusanya vitabu zaidi kwa kadri ninavyopata. Wewe pia kama unavyo endelea tu kuviweka hapa. Asante sana