Tsh. Bilioni 6.7 zatengwa kufadhili Wanafunzi 640 kwa 100%, ambaye hatafikisha GPA 3.8 ufadhili unasitishwa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987
Mwaka wa Fedha wa 2022/2023 Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilianzisha ufadhili kwa wanafunzi wanaohitimu Kidato cha Sita wenye ufaulu wa juu katika tahasusi za sayansi (PCB, PCM, PGM, CBG, CBA, PMC na CBN) waliopata udahili katika fani za Sayansi, Teknolojia, Uhandisi, Hisabati na Tiba kwenye vyuo vya Elimu ya Juu nchini.

Ufadhili huu unajulikana kwa jina la SAMIA SCHOLARSHIP. Lengo la ufadhili huu ni kuhamasisha wanafunzi kusoma masomo ya sayansi ili hatimaye taifa lipate rasilimali watu ya kutosha kwa ajili ya kuchochea maendeleo ya nchi na watu wake.

Akizungumzia hilo Waziri wa Wizara hiyo, Profesa Adolf Mkenda, leo, Julai 27, 2023 amesema wakati huu ambapo wahitimu wa kidato cha sita wakiwa wanajiandaa kwenda katika masomo ya juu kuna fursa hiyo ya kutuma maombi kwa ajili ya kupata ufadhili huo kwa asilimia 100 (100%).
1692346928061.png

Profesa Adolf Mkenda

Amesema Serikali ilitenga Tsh. Bilioni 3 kwa Mwaka wa Fedha 2022/23 na jumla ya Wanafunzi 636 walinufaika na ufadhili huo, Wanawake wakiwa ni 231 (41%) na Wavulana 375 (59%), pia kulikuwa na Wanafunzi 12 wenye mahitaji maalum walifanyiwa tathimini peke yao nao walinufaika.

Ameeleza kuwa katika mwaka huo uliopita walisajiliwa na kudahiliwa katika Vyuo 18 Nchini ikiwepo Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS).
Wanafunzi.JPG

Akizungumzia mchakato mpya katika Mwaka wa 2023/2024, Serikali inatarajiwa kutoa ufadhili kwa wahitimu wa kidato cha sita takribani 640, jumla ya Tsh. Bilioni 6.7 zimetengwa kuwagharamia wanufaika wanaoanza na wanaoendelea na hivyo kufanya jumla ya wanufaika ambao watakuwa vyuoni kuwa 1,276.

Amesema "Ufadhili huu ni kwa masomo ya Shahada ya Kwanza kwa wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika Mitihani ya Kidato cha Sita mwaka 2023 inayoendeshwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) katika tahasusi za Sayansi kama zilivyoainishwa hapo juu.

"SAMIA SCHOLARSHIP inagharamia kwa asilimia mia moja (100%) masomo ya Chuo Kikuu kwa Wanafunzi hao ambao wamepata udahili katika fani za Teknolojia, Uhandisi, Hisabati na Tiba.

“Masharti ya ufadhili kwa wanaoendelea kusoma chini ya Ufadhili wa Samia, wanatakiwa wasishuke ufaulu wa GPA 3.8, watakaoshuka hapo wataondolewa kwenye ufadhili na kuingizwa kwenye mikopo ili waendelee kusoma.

“Tunahimiza wanaopata ufadhili waendelee kuonesha ufaulu wao wa kidato cha sita ulikuwa wa haki.”

Ameongeza kuwa majina ya watakaoteuliwa yatakuwa wazi, ufaulu wao utakuwa wazi pia, vigezo vipo wazi na majina yao yatawekwa kwenye tovuti ya Wizara.

Katika Wanafunzi 640 wapo ambao hawatataka kufanya masomo ya Sayansi watalazimika kuomba mkopo wa kawaida, watakaoenda nje ya nchi kwa sasa ufadhili huo haufiki huko, hivyo kukitokea nafasi watachukuliwa waliochini ya wale walioteuliwa awali.
Vyuo.JPG

Katibu aelezea
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Prof. Carolyne Ignatius Nombo amesema vyuo vilivyonufaika kwa kuwa na Wanafunzi hao ni Vyuo Vikuu vya Serikali ni 13 wakati Vyuo Vikuu visivyo vya Serikali ni vitano.

Vyuo vilivyokuwa na idadi kubwa ya wanufaika ni MUHAS walikuwa na Wanafunzi 233 ambayo ni 36% huku UDSM wanufaika wakiwa ni 311 (48%).

Amesema “Ufadhili huo unazingatia Ada ya Mafunzo, Posho ya chakula na malazi, Posho ya Vitabu na Viandikwa, Mahitaji Maalum ya Vitivo, Mafunzo kwa Vitendo, Utafiti, Vifaa saidizi kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu na Bima ya Afya."

Maombi ya Samia Scholarship yatawasilishwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kwa njia ya mtandao https://olas.heslb.go.tz kuanzia Jumatatu, Septemba 25, 2023. Hii inatokana na ukweli kwamba katika kipindi hicho kila mwanafunzi atakuwa amepata udahili katika chuo cha Elimu ya Juu nchini.

"Wizara inahamasisha Wanafunzi wote nchini kuendelea kupenda na kujiimarisha katika masomo ya Sayansi na hatimae kujiunga na Elimu ya Juu katika programu za Sayansi, Teknolojia Uhandisi na Hisabati (STEM) ambapo watanufaika na mpango huu mahsusi," amesema.
 
Mwaka wa Fedha 2022/23, Serikali ilianzisha ufadhili wa masomo kwa Wanafunzi watakaohitimu Kidato cha Sita na kufanya vizuri katika masomo ya Sayansi ambao unajulikana kwa jina la Samia Scholarship lengo likiwa ni kuhamasisha usomaji wa masomo hayo.

Akizungumzia hilo Waziri wa Wizara hiyo, Profesa Adolf Mkenda, leo, Julai 27, 2023 amesema wakati huu ambapo wahitimu wa kidato cha sita wakiwa wanajiandaa kwenda katika masomo ya juu kuna fursa hiyo ya kutuma maombi kwa ajili ya kupata ufadhili huo kwa asilimia 100 (100%).
View attachment 2700473
Profesa Adolf Mkenda

Amesema Serikali ilitenga Tsh. Bilioni 3 kwa Mwaka wa Fedha 2022/23 na jumla ya Wanafunzi 636 walinufaika na ufadhili huo, Wanawake wakiwa ni 231 (41%) na Wavulana 375 (59%), pia kulikuwa na Wanafunzi 12 wenye mahitaji maalum walifanyiwa tathimini peke yao nao walinufaika.

Ameeleza kuwa katika mwaka huo uliopita walisajiliwa na kudahiliwa katika Vyuo 18 Nchini ikiwepo Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS).

Akizungumzia mchakato mpya katika Mwaka wa 2023/2024, Serikali inatarajiwa kutoa ufadhili kwa wahitimu wa kidato cha sita takribani 640, jumla ya Tsh. Bilioni 6.7 zimetengwa kuwagharamia wanufaika wanaoanza na wanaoendelea na hivyo kufanya jumla ya wanufaika ambao watakuwa vyuoni kuwa 1,276.

Amesema “Nasisitiza ufadhili huu ni kwa Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza waliopata ufaulu wa juu, pia hakuna njia nyingine ya kupata ufadhili huo zaidi ya kufanya vizuri katika masomo ya Sayansi, umechagua kusomea, Sayansi, Hisabati, Teknolojia na Uandisi na Elimu Tiba.

“Masharti ya ufadhili kwa wanaoendelea kusoma chini ya Ufadhili wa Samia, wanatakiwa wasishuke ufaulu wa GPA 3.8, watakaoshuka hapo wataondolewa kwenye ufadhili na kuingizwa kwenye mikopo ili waendelee kusoma.

“Tunahimiza wanaopata ufadhili waendelee kuonesha ufaulu wao wa kidato cha sita ulikuwa wa haki.”

Ameongeza kuwa majina ya watakaoteuliwa yatakuwa wazi, ufaulu wao utakuwa wazi pia, vigezo vipo wazi na majina yao yatawekwa kwenye tovuti ya Wizara.

Katika Wanafunzi 640 wapo ambao hawatataka kufanya masomo ya Sayansi watalazimika kuomba mkopo wa kawaida, watakaoenda nje ya nchi kwa sasa ufadhili huo haufiki huko, hivyo kukitokea nafasi watachukuliwa waliochini ya wale walioteuliwa awali.

Katibu aelezea
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Prof. Carolyne Ignatius Nombo amesema vyuo vilivyonufaika kwa kuwa na Wanafunzi hao ni Vyuo Vikuu vya Serikali ni 13 wakati Vyuo Vikuu visivyo vya Serikali ni vitano.

Vyuo vilivyokuwa na idadi kubwa ya wanufaika ni MUHAS walikuwa na Wanafunzi 233 ambayo ni 36% huku UDSM wanufaika wakiwa ni 311 (48%).

Amesema “Ufadhili huo unazingatia Ada ya mafunzo, Posho ya chakula na malazi (Tsh. 10,000 kwa siku), posho ya vitabu na viandikia, mahitaji maalum ya vitivo, mafunzo kwa vitendo, utafiti, vifaa visaidizi kwa wenye mahitaji maalum na Bima ya Afya.”
Hebu toa mwongozo wa namna ya kutuma hayo maombi.
 
Badala mtoe ufadhili watu waende Marekani na Ulaya ili tupate watu wa kuleta ushindani Duniani huko mnatoa ufadhili wasome vyuo vyetu hivi hohe hahe.

Alafu kesho mnasema tunawasomi wa hovyo.
Mimi nashangaa kwani ufadhili huu una tofauti gani na wabodi ya mikopo? Kwanini hizi fedha zisiongezwe kwenye bodi ya mikopo watu wengi zaidi wakakopeshwa kwa kuzingatia masharti ya mikopo? Hizi si ni pesa za Umma kama zile za bodi?au hizi ni pesa za mtu binafsi?
 
Mwaka wa Fedha wa 2022/2023 Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilianzisha ufadhili kwa wanafunzi wanaohitimu Kidato cha Sita wenye ufaulu wa juu katika tahasusi za sayansi (PCB, PCM, PGM, CBG, CBA, PMC na CBN) waliopata udahili katika fani za Sayansi, Teknolojia, Uhandisi, Hisabati na Tiba kwenye vyuo vya Elimu ya Juu nchini.

Ufadhili huu unajulikana kwa jina la SAMIA SCHOLARSHIP. Lengo la ufadhili huu ni kuhamasisha wanafunzi kusoma masomo ya sayansi ili hatimaye taifa lipate rasilimali watu ya kutosha kwa ajili ya kuchochea maendeleo ya nchi na watu wake.

Akizungumzia hilo Waziri wa Wizara hiyo, Profesa Adolf Mkenda, leo, Julai 27, 2023 amesema wakati huu ambapo wahitimu wa kidato cha sita wakiwa wanajiandaa kwenda katika masomo ya juu kuna fursa hiyo ya kutuma maombi kwa ajili ya kupata ufadhili huo kwa asilimia 100 (100%).
View attachment 2700473
Profesa Adolf Mkenda

Amesema Serikali ilitenga Tsh. Bilioni 3 kwa Mwaka wa Fedha 2022/23 na jumla ya Wanafunzi 636 walinufaika na ufadhili huo, Wanawake wakiwa ni 231 (41%) na Wavulana 375 (59%), pia kulikuwa na Wanafunzi 12 wenye mahitaji maalum walifanyiwa tathimini peke yao nao walinufaika.

Ameeleza kuwa katika mwaka huo uliopita walisajiliwa na kudahiliwa katika Vyuo 18 Nchini ikiwepo Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS).
View attachment 2700490
Akizungumzia mchakato mpya katika Mwaka wa 2023/2024, Serikali inatarajiwa kutoa ufadhili kwa wahitimu wa kidato cha sita takribani 640, jumla ya Tsh. Bilioni 6.7 zimetengwa kuwagharamia wanufaika wanaoanza na wanaoendelea na hivyo kufanya jumla ya wanufaika ambao watakuwa vyuoni kuwa 1,276.

Amesema "Ufadhili huu ni kwa masomo ya Shahada ya Kwanza kwa wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika Mitihani ya Kidato cha Sita mwaka 2023 inayoendeshwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) katika tahasusi za Sayansi kama zilivyoainishwa hapo juu.

"SAMIA SCHOLARSHIP inagharamia kwa asilimia mia moja (100%) masomo ya Chuo Kikuu kwa Wanafunzi hao ambao wamepata udahili katika fani za Teknolojia, Uhandisi, Hisabati na Tiba.

“Masharti ya ufadhili kwa wanaoendelea kusoma chini ya Ufadhili wa Samia, wanatakiwa wasishuke ufaulu wa GPA 3.8, watakaoshuka hapo wataondolewa kwenye ufadhili na kuingizwa kwenye mikopo ili waendelee kusoma.

“Tunahimiza wanaopata ufadhili waendelee kuonesha ufaulu wao wa kidato cha sita ulikuwa wa haki.”

Ameongeza kuwa majina ya watakaoteuliwa yatakuwa wazi, ufaulu wao utakuwa wazi pia, vigezo vipo wazi na majina yao yatawekwa kwenye tovuti ya Wizara.

Katika Wanafunzi 640 wapo ambao hawatataka kufanya masomo ya Sayansi watalazimika kuomba mkopo wa kawaida, watakaoenda nje ya nchi kwa sasa ufadhili huo haufiki huko, hivyo kukitokea nafasi watachukuliwa waliochini ya wale walioteuliwa awali.
View attachment 2700489
Katibu aelezea
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Prof. Carolyne Ignatius Nombo amesema vyuo vilivyonufaika kwa kuwa na Wanafunzi hao ni Vyuo Vikuu vya Serikali ni 13 wakati Vyuo Vikuu visivyo vya Serikali ni vitano.

Vyuo vilivyokuwa na idadi kubwa ya wanufaika ni MUHAS walikuwa na Wanafunzi 233 ambayo ni 36% huku UDSM wanufaika wakiwa ni 311 (48%).

Amesema “Ufadhili huo unazingatia Ada ya Mafunzo, Posho ya chakula na malazi, Posho ya Vitabu na Viandikwa, Mahitaji Maalum ya Vitivo, Mafunzo kwa Vitendo, Utafiti, Vifaa saidizi kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu na Bima ya Afya."

Maombi ya Samia Scholarship yatawasilishwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kwa njia ya mtandao https://olas.heslb.go.tz kuanzia Jumatatu, Septemba 25, 2023. Hii inatokana na ukweli kwamba katika kipindi hicho kila mwanafunzi atakuwa amepata udahili katika chuo cha Elimu ya Juu nchini.

"Wizara inahamasisha Wanafunzi wote nchini kuendelea kupenda na kujiimarisha katika masomo ya Sayansi na hatimae kujiunga na Elimu ya Juu katika programu za Sayansi, Teknolojia Uhandisi na Hisabati (STEM) ambapo watanufaika na mpango huu mahsusi," amesema.
This is slavery. Anaweza asifikie kwa kwa changamoto mbali mbali. Unless wanajengewa shule zao na kupewa walimu wao special
 
Badala mtoe ufadhili watu waende Marekani na Ulaya ili tupate watu wa kuleta ushindani Duniani huko mnatoa ufadhili wasome vyuo vyetu hivi hohe hahe.

Alafu kesho mnasema tunawasomi wa hovyo.
Halafu kusomesha wanafunzi idadi hiyo India au Scandinavian countries unaweza kukuta gharama zake hazitofautiani kabisa
 
Mwaka wa Fedha wa 2022/2023 Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilianzisha ufadhili kwa wanafunzi wanaohitimu Kidato cha Sita wenye ufaulu wa juu katika tahasusi za sayansi (PCB, PCM, PGM, CBG, CBA, PMC na CBN) waliopata udahili katika fani za Sayansi, Teknolojia, Uhandisi, Hisabati na Tiba kwenye vyuo vya Elimu ya Juu nchini.

Ufadhili huu unajulikana kwa jina la SAMIA SCHOLARSHIP. Lengo la ufadhili huu ni kuhamasisha wanafunzi kusoma masomo ya sayansi ili hatimaye taifa lipate rasilimali watu ya kutosha kwa ajili ya kuchochea maendeleo ya nchi na watu wake.

Akizungumzia hilo Waziri wa Wizara hiyo, Profesa Adolf Mkenda, leo, Julai 27, 2023 amesema wakati huu ambapo wahitimu wa kidato cha sita wakiwa wanajiandaa kwenda katika masomo ya juu kuna fursa hiyo ya kutuma maombi kwa ajili ya kupata ufadhili huo kwa asilimia 100 (100%).
View attachment 2700473
Profesa Adolf Mkenda

Amesema Serikali ilitenga Tsh. Bilioni 3 kwa Mwaka wa Fedha 2022/23 na jumla ya Wanafunzi 636 walinufaika na ufadhili huo, Wanawake wakiwa ni 231 (41%) na Wavulana 375 (59%), pia kulikuwa na Wanafunzi 12 wenye mahitaji maalum walifanyiwa tathimini peke yao nao walinufaika.

Ameeleza kuwa katika mwaka huo uliopita walisajiliwa na kudahiliwa katika Vyuo 18 Nchini ikiwepo Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS).
View attachment 2700490
Akizungumzia mchakato mpya katika Mwaka wa 2023/2024, Serikali inatarajiwa kutoa ufadhili kwa wahitimu wa kidato cha sita takribani 640, jumla ya Tsh. Bilioni 6.7 zimetengwa kuwagharamia wanufaika wanaoanza na wanaoendelea na hivyo kufanya jumla ya wanufaika ambao watakuwa vyuoni kuwa 1,276.

Amesema "Ufadhili huu ni kwa masomo ya Shahada ya Kwanza kwa wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika Mitihani ya Kidato cha Sita mwaka 2023 inayoendeshwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) katika tahasusi za Sayansi kama zilivyoainishwa hapo juu.

"SAMIA SCHOLARSHIP inagharamia kwa asilimia mia moja (100%) masomo ya Chuo Kikuu kwa Wanafunzi hao ambao wamepata udahili katika fani za Teknolojia, Uhandisi, Hisabati na Tiba.

“Masharti ya ufadhili kwa wanaoendelea kusoma chini ya Ufadhili wa Samia, wanatakiwa wasishuke ufaulu wa GPA 3.8, watakaoshuka hapo wataondolewa kwenye ufadhili na kuingizwa kwenye mikopo ili waendelee kusoma.

“Tunahimiza wanaopata ufadhili waendelee kuonesha ufaulu wao wa kidato cha sita ulikuwa wa haki.”

Ameongeza kuwa majina ya watakaoteuliwa yatakuwa wazi, ufaulu wao utakuwa wazi pia, vigezo vipo wazi na majina yao yatawekwa kwenye tovuti ya Wizara.

Katika Wanafunzi 640 wapo ambao hawatataka kufanya masomo ya Sayansi watalazimika kuomba mkopo wa kawaida, watakaoenda nje ya nchi kwa sasa ufadhili huo haufiki huko, hivyo kukitokea nafasi watachukuliwa waliochini ya wale walioteuliwa awali.
View attachment 2700489
Katibu aelezea
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Prof. Carolyne Ignatius Nombo amesema vyuo vilivyonufaika kwa kuwa na Wanafunzi hao ni Vyuo Vikuu vya Serikali ni 13 wakati Vyuo Vikuu visivyo vya Serikali ni vitano.

Vyuo vilivyokuwa na idadi kubwa ya wanufaika ni MUHAS walikuwa na Wanafunzi 233 ambayo ni 36% huku UDSM wanufaika wakiwa ni 311 (48%).

Amesema “Ufadhili huo unazingatia Ada ya Mafunzo, Posho ya chakula na malazi, Posho ya Vitabu na Viandikwa, Mahitaji Maalum ya Vitivo, Mafunzo kwa Vitendo, Utafiti, Vifaa saidizi kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu na Bima ya Afya."

Maombi ya Samia Scholarship yatawasilishwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kwa njia ya mtandao https://olas.heslb.go.tz kuanzia Jumatatu, Septemba 25, 2023. Hii inatokana na ukweli kwamba katika kipindi hicho kila mwanafunzi atakuwa amepata udahili katika chuo cha Elimu ya Juu nchini.

"Wizara inahamasisha Wanafunzi wote nchini kuendelea kupenda na kujiimarisha katika masomo ya Sayansi na hatimae kujiunga na Elimu ya Juu katika programu za Sayansi, Teknolojia Uhandisi na Hisabati (STEM) ambapo watanufaika na mpango huu mahsusi," amesema.
Waaache kujisahulisha maana mtaani wamejaa hao waliohitimu hizo fani tajwa hapo juu wakiwa wamejikatia tamaa ya maisha
 
Mimi nashangaa kwani ufadhili huu una tofauti gani na wabodi ya mikopo? Kwanini hizi fedha zisiongezwe kwenye bodi ya mikopo watu wengi zaidi wakakopeshwa kwa kuzingatia masharti ya mikopo? Hizi si ni pesa za Umma kama zile za bodi?au hizi ni pesa za mtu binafsi?
Tofauti ya hizi na bodi ya mikopo ni kua
1) Hizi ni bure hukopeshwi wakati za HESLB unakopeshwa.

2) Hizi ni kwa wanafunzi wa sayansi tu wakati HESLB ni kada karibu zote.

3) Hizi ni waliofaulu vizuri tu wakati HESLB inaangalia zaidi ukiwa selected.

4) Hizi unatakiwa ukiingia chuo upiganie usishuke GPA ya 3.8 kila mwaka. HESLB haina haya masharti.

Kwanini Sasa hazikuchanganywa kule HELSB ni sababu wana encourage watu kusoma masomo ya sayansi.

Ni za umma au mtu binafsi hapo mkuu sina uhakika.
 
Mwaka wa Fedha wa 2022/2023 Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilianzisha ufadhili kwa wanafunzi wanaohitimu Kidato cha Sita wenye ufaulu wa juu katika tahasusi za sayansi (PCB, PCM, PGM, CBG, CBA, PMC na CBN) waliopata udahili katika fani za Sayansi, Teknolojia, Uhandisi, Hisabati na Tiba kwenye vyuo vya Elimu ya Juu nchini.

Ufadhili huu unajulikana kwa jina la SAMIA SCHOLARSHIP. Lengo la ufadhili huu ni kuhamasisha wanafunzi kusoma masomo ya sayansi ili hatimaye taifa lipate rasilimali watu ya kutosha kwa ajili ya kuchochea maendeleo ya nchi na watu wake.

Akizungumzia hilo Waziri wa Wizara hiyo, Profesa Adolf Mkenda, leo, Julai 27, 2023 amesema wakati huu ambapo wahitimu wa kidato cha sita wakiwa wanajiandaa kwenda katika masomo ya juu kuna fursa hiyo ya kutuma maombi kwa ajili ya kupata ufadhili huo kwa asilimia 100 (100%).
View attachment 2700473
Profesa Adolf Mkenda

Amesema Serikali ilitenga Tsh. Bilioni 3 kwa Mwaka wa Fedha 2022/23 na jumla ya Wanafunzi 636 walinufaika na ufadhili huo, Wanawake wakiwa ni 231 (41%) na Wavulana 375 (59%), pia kulikuwa na Wanafunzi 12 wenye mahitaji maalum walifanyiwa tathimini peke yao nao walinufaika.

Ameeleza kuwa katika mwaka huo uliopita walisajiliwa na kudahiliwa katika Vyuo 18 Nchini ikiwepo Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS).
View attachment 2700490
Akizungumzia mchakato mpya katika Mwaka wa 2023/2024, Serikali inatarajiwa kutoa ufadhili kwa wahitimu wa kidato cha sita takribani 640, jumla ya Tsh. Bilioni 6.7 zimetengwa kuwagharamia wanufaika wanaoanza na wanaoendelea na hivyo kufanya jumla ya wanufaika ambao watakuwa vyuoni kuwa 1,276.

Amesema "Ufadhili huu ni kwa masomo ya Shahada ya Kwanza kwa wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika Mitihani ya Kidato cha Sita mwaka 2023 inayoendeshwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) katika tahasusi za Sayansi kama zilivyoainishwa hapo juu.

"SAMIA SCHOLARSHIP inagharamia kwa asilimia mia moja (100%) masomo ya Chuo Kikuu kwa Wanafunzi hao ambao wamepata udahili katika fani za Teknolojia, Uhandisi, Hisabati na Tiba.

“Masharti ya ufadhili kwa wanaoendelea kusoma chini ya Ufadhili wa Samia, wanatakiwa wasishuke ufaulu wa GPA 3.8, watakaoshuka hapo wataondolewa kwenye ufadhili na kuingizwa kwenye mikopo ili waendelee kusoma.

“Tunahimiza wanaopata ufadhili waendelee kuonesha ufaulu wao wa kidato cha sita ulikuwa wa haki.”

Ameongeza kuwa majina ya watakaoteuliwa yatakuwa wazi, ufaulu wao utakuwa wazi pia, vigezo vipo wazi na majina yao yatawekwa kwenye tovuti ya Wizara.

Katika Wanafunzi 640 wapo ambao hawatataka kufanya masomo ya Sayansi watalazimika kuomba mkopo wa kawaida, watakaoenda nje ya nchi kwa sasa ufadhili huo haufiki huko, hivyo kukitokea nafasi watachukuliwa waliochini ya wale walioteuliwa awali.
View attachment 2700489
Katibu aelezea
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Prof. Carolyne Ignatius Nombo amesema vyuo vilivyonufaika kwa kuwa na Wanafunzi hao ni Vyuo Vikuu vya Serikali ni 13 wakati Vyuo Vikuu visivyo vya Serikali ni vitano.

Vyuo vilivyokuwa na idadi kubwa ya wanufaika ni MUHAS walikuwa na Wanafunzi 233 ambayo ni 36% huku UDSM wanufaika wakiwa ni 311 (48%).

Amesema “Ufadhili huo unazingatia Ada ya Mafunzo, Posho ya chakula na malazi, Posho ya Vitabu na Viandikwa, Mahitaji Maalum ya Vitivo, Mafunzo kwa Vitendo, Utafiti, Vifaa saidizi kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu na Bima ya Afya."

Maombi ya Samia Scholarship yatawasilishwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kwa njia ya mtandao https://olas.heslb.go.tz kuanzia Jumatatu, Septemba 25, 2023. Hii inatokana na ukweli kwamba katika kipindi hicho kila mwanafunzi atakuwa amepata udahili katika chuo cha Elimu ya Juu nchini.

"Wizara inahamasisha Wanafunzi wote nchini kuendelea kupenda na kujiimarisha katika masomo ya Sayansi na hatimae kujiunga na Elimu ya Juu katika programu za Sayansi, Teknolojia Uhandisi na Hisabati (STEM) ambapo watanufaika na mpango huu mahsusi," amesema.
Hili tangazo lina tofauti ya miaka (misimu) na hili hapa chini?

Wanaosoma kwa mikopo hizo fani wakimaliza hakuna ajira, hizo pesa kaanzisheni kiwanda cha tooth pick, kina tija zaidi
 
Kimsingi sipingi kuhusu scholarship hii ila najiuliza maswali yafuatayo
1.Wakimaliza ajira watapatia wapi?
2.Wenzangu mimi wale sababu wamepangiwa kupata GPA3.8 watatumia kila mbinu kuipata piga ua nadhani nimeeleweka hapa.
3.Serikali yenyewe kuhamasisha watu wasome sayansi je yenyewe imejipangaje kwenye hiyo hiyo sayansi maana mitaani kuna wanasayansi wana hadi masters hawana ajira.zaidi ya yote wanasayansi wetu wa Africa hata chanjo ya COVID hawakutengeneza ila kwenye majukwaa walikuwa wanamwaga theory za nguvu

WAZO
Hizi hela zingetupwa HELSB watoto wote wapate maana ukweli GPA sio kigezo cha umahiri kwenye maisha wako ninaowaona walipata GPA kubwa mitaani lakini ni vibaka wala kuwa na wanasayansi nguli hasa kwa nchi zetu za Africa.Hadi sasa hatuna kiwanda cha kutengeneza sindano japo cha nondo kipo kwa kuyeyusha vyuma chakavu vinavyookotwa mitaani.
Ikumbukwe pia hizi hela hazitoki mkononi mwa raisi bali ni kodi za wananchi ambao watoto wao wako chini kidogo ya hiyo GPA.
 
Back
Top Bottom