Asante sana mkuu. Hawa madogo washindwe wenyewe tuHicho ni cha Biology A-Level
Kweli mkuu ngoja tuwarahisishie nina imani tutabarikiwaAsante sana mkuu. Hawa madogo washindwe wenyewe tu
Ndiyo mkuu. Kila tendo jema kamwe huwa halipiti bure!Kweli mkuu ngoja tuwarahisishie nina imani tutabarikiwa
Inbox tena? Si kiwekwe hapa hapa peupe? Ila ingesaidia sana kama ungekitaja jina au mwandishi ili tukitafute.Naomba kitabu chochote kizuri kinachoelezea biashara au uchumi kwa level ya masters na kuendelea(mwenye nacho na mwenye mapenz mema na mimi anaweza kunitumia inbox,Mungu atambariki)
Kiswahili KVIMkuu naomba vitabu vya kidato Cha tano na sita kwa kiswahili na english
Asante mkuu,ukipata Cha kidato Cha tano tupia pia, English hivyo hivyoKiswahili KVI
Kiswahili kidato cha tanoAsante mkuu,ukipata Cha kidato Cha tano tupia pia, English hivyo hivyo
Kiswahili kidato cha tano
Barikiwa Sana mkuuEnglish Form five