Seawhale
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,164
- 1,169
Naomba kitabu cha 'major events in world history', kimeandikwa na Nyambari.Nina vitabu vingi sana mkuu anayetaka ataje tu jina la kitabu chochote kile nitakiweka hapa
Naomba kitabu cha 'major events in world history', kimeandikwa na Nyambari.Nina vitabu vingi sana mkuu anayetaka ataje tu jina la kitabu chochote kile nitakiweka hapa
Mkuu msaada kitabu Cha hesabu ordinary level kilichoandikwa na BM MSEMWANimepiga kambi.
Chukua hiki ni kizuri zaidiNaomba kitabu cha 'major events in world history', kimeandikwa na Nyambari.
O' Level?? Kidato cha ngapi mkuu?Mkuu msaada kitabu Cha hesabu ordinary level kilichoandikwa na BM MSEMWA
Nadhani vipo nyuma mkuuHabari I za muda huu, Nimependa Sana Uzi huu, nami ombi langu Kama Kuna mtu Mwenye soft copy ya vitabu vya darasa la pili vyote, Aweke
Asante I
Vidato vyote yaan 1 2 3 na 4O' Level?? Kidato cha ngapi mkuu?
Naomba kitabu cha pharmaceutical calculations pst4Nitakuwa naweka hapa vitabu vinavyotumiwa katika mataifa mbalimbali kuanzia elimu ya sekondari mpaka Chuo Kikuu. Jisikieni huru pia kuweka vitabu vyo vyote vile vinavyotumika mashuleni na vyuoni kutoka mahali po pote duniani
Naanza na kitabu hiki chenye fomyula muhimu 1,300 za somo la Hisabati
Hkiki kitabu sijawahi kukisoma lakini "title" yake tu inaonyesha hakina kitu cha maana sana. Watu tunajua kuwa tuliibiwa, huwezi tena kuanza kutueleza namna ambavyo tuliibiwa, hilo halina maana kwetu kwa sasa. La maana ni kwamba mtu anatakiwa atueleze mbinu za kujikwamua kutoka hapa tulipo, baada ya kuwa tumeibiwa. Hicho ndicho cha maana alichotakiwa kufanya mwandishi wa kitabu hikiKitabu cha Historia kwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano - Sita
How Europe Underdeveloped Africa - Walter Rodney
View attachment 1879226
Hata hiki kitakufaa ...Naomba kitabu cha pharmaceutical calculations pst4
Kitabu hujakisoma lakini unakikandia? We ulisikia wapi?Hkiki kitabu sijawahi kukisoma lakini "title" yake tu inaonyesha hakina kitu cha maana sana. Watu tunajua kuwa tuliibiwa, huwezi tena kuanza kutueleza namna ambavyo tuliibiwa, hilo halina maana kwetu kwa sasa. La maana ni kwamba mtu anatakiwa atueleze mbinu za kujikwamua kutoka hapa tulipo, baada ya kuwa tumeibiwa. Hicho ndicho cha maana alichotakiwa kufanya mwandishi wa kitabu hiki
Darasa la piliHabari I za muda huu, Nimependa Sana Uzi huu, nami ombi langu Kama Kuna mtu Mwenye soft copy ya vitabu vya darasa la pili vyote, Aweke
Asante I
Mkuu, kama unavyo vya form 6 Kemia na Jiografia msaada wako puliziHata hiki kitakufaa ...
Pitia uzi wote. Kuna cha Hesabu kilishawekwa nadhani.Naomb kitabu cha mathematics back house 1 & 2
Be blessedHata hiki kitakufaa ...
Asante mkuuVitabu mbalimbali vya kingereza