Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,205
- 1,077,389
- Thread starter
- #61
Iki nini?Nakipataje iki
Iki nini?Nakipataje iki
Hata mm nlkuwa naomba ichoo advNakuletea hard copy ana kwa ana
Mm naomba somo la history & geography a levelNitakuwa naweka hapa vitabu vinavyotumiwa katika mataifa mbalimbali kuanzia elimu ya sekondari mpaka Chuo Kikuu. Jisikieni huru pia kuweka vitabu vyo vyote vile vinavyotumika mashuleni na vyuoni kutoka mahali po pote duniani
Naanza na kitabu hiki chenye fomyula muhimu 1,300 za somo la Hisabati
Hicho ni cha Biology A-Level
Asante sana mkuuMaendeleo ya Kiswahili-O Level
Tumia kompyutaMbona kwangu havifunguki naombeni msaada.
Theory of literatureView attachment 1871538
Ilikuwa haijawekwa mkuu. Asante sana aisee. Mavitabu haya ni ghali sana. Ngoja tuwawekee hapa madogo washindwe wenyewe tu. Wengine tulisoma kitabu kimoja mnashea wanafunzi hata 20 dah!Safi Sana Mkuu
Naunga mkono juhudi...
Hii Advance Physics ya Nelkon kama bado haijawekwa
Ushapata?Naombeni geography 1&2 for A level