Wanafunzi wa Kitanzania wang'ara Marekani

Humu jf,kuna wengi ambao,wanataka yatokee mabaya kuhusu waislamu,wakiona mazuri ya waislamu,roho zinauma sana.Wataka waone "vijana wa kiislamu,wamejilipuwa", au wameuwa au wameuwawa.Uko Uzi wa mafisadi,toka jana kufikishwa Mahakamani,katika orodha ya mgao wa pesa wamo viongozi wa dini wasio waislamu,laiti katika mgao huo,angekuwako hata mwenye jina linalofanana na muislamu,ungeona jinsi uislamu,ungeshambuliwa,lakini mpaka waliogawana kwa sandarusi ni wao kwa wao.Lakini dini zao,wala viongozi wao wq dini hawakushtumiwa.Msio waislamu wajifunze,jinsi waislamu walivyo na upeo mkubwa,wa kuchambua mambo,kama kosa kafanya mtu,asihusishwe na dini yake,kabila yake wala rangi yake.
Mkuu hata kama hauna PhD basi ujue umeelimika vya kutosha.
 
Ujinga ulionao ukifa nao basi utakuwa umekufa kifo kibaya kupata kutokea Duniani. Na pole sana kwa UJINGA level ya PhD.
Sijakuzidi wewe unaenitabiria Kifo....Ndio Tabia yenu waislamu Kupenda Kutabiri Vifo Ushindwe na Ulegee Popote ulipo kwa Jina la yesu!
 
Roho yangu inayo Amani ya Bwana Kabisa wala Haiumi!
Roho itakuwa inauma,wewe na wenzako,mwapenda na mwafurahi mpate habari ya waislamu wayamewatokea mabaya tu.Wawe wanajilipuwa,magaidi,wameuwawa.Lakini matukio kama haya yenye manufaa hamtaki kabisa.Mbona hili hamuwajumlishi waislamu wote wa Tanzania na duniani kuwa wako juu katika mafanikio.Lakini ingekuwa ni tukio la uhalifu,mngetoa maneno ya kejeli kwa waislamu,Mtume wao,kitabu chao,Mungu wao,kila kejeli.
Kama anavyosifiwa mtu kwa kufanya zuri,bila kuhusisha dini,kabila yake,rangi yake,pia akifanya uhalifu asihusishwe na dini yake,kabila lake,,rangi yake.
 
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya kimataifa Feza wakiwa na furaha nchini Marekani baada ta kushinda medali za dhahabu kwenye mashindano ya Genius Olympiad. Kushoto ni Abdulrazak Juma Mkamia wa pili Rashid Jakaya Kikwete na watatu ni Abdalah Rubeya yaliyoshirikisha nchi zaid 63 duniani huko Marekani juzi.

View attachment 527368View attachment 527369View attachment 527370View attachment 527368View attachment 527369

Ninachojua Mimi tu ni kwamba Kizazi cha Geniuses duniani alikimalizia Hayati Baba wa Taifa Nyerere na kilichobaki ni cha zenye IQ za Kubahatisha tupu plus Ungumbaru mwingi. Nadhani iko haja Watu / Watanzania tuelemishwe zaidi nini maana ya Genius kwani nahisi tunakoelekea yawezekana pia pakawa na Mashindano ya Majiniasi ( Geniuses ) wa Kujua Kulenga vizuri mashimo ya Vyoo wakati wanakunya.
 
Roho itakuwa inauma,wewe na wenzako,mwapenda na mwafurahi mpate habari ya waislamu wayamewatokea mabaya tu.Wawe wanajilipuwa,magaidi,wameuwawa.Lakini matukio kama haya yenye manufaa hamtaki kabisa.Mbona hili hamuwajumlishi waislamu wote wa Tanzania na duniani kuwa wako juu katika mafanikio.Lakini ingekuwa ni tukio la uhalifu,mngetoa maneno ya kejeli kwa waislamu,Mtume wao,kitabu chao,Mungu wao,kila kejeli.
Kama anavyosifiwa mtu kwa kufanya zuri,bila kuhusisha dini,kabila yake,rangi yake,pia akifanya uhalifu asihusishwe na dini yake,kabila lake,,rangi yake.
wewe ni Muislamu kweli? Mbona una Maneno ya Busara kuliko wenzio?
 
Hizo shule tuliambiwa na rais wa Uturuki zinafadhili Ugaidi nchini kwake na akaomba hapa zifungwe na Kule Rwanda zote zimefungwa kwa sababu Uturuki ndio wanaojenga ile reli ya standard,kwa hiyo kama mtoto wa mzee wetu pendwa anasoma hizo shule nijiuliza sipati jibu!!!
Dr. Mahiga si alisema wanafanya uchunguzi? Umeishaje?
 
wewe ni Muislamu kweli? Mbona una Maneno ya Busara kuliko wenzio?
Jambo la kwanza aliloambiwa Mtume Muhammad,katika kuwafikishia watu Ujumbe wa Allah,aliambiwa afikishe Ujumbe kwa HIKIMA NA MAWAIDHA MEMA,angalia kwanza aliambiwa atumie HIKIMA,halafu MAWAIDHA MEMA.Na ndivyo alivyofikisha Ujumbe,ukiona mtu anafanya kinyume cha hiyo ujuwe huyo ana maslahi yake binafsi,anataka kuyaingiza kupitia mgongo wa uislamu.
 
3979.jpg

Hii Avatar hunifikirisha sana, sipati picha ya anayewakilishwa nyuma yake! yukoje?
 
Back
Top Bottom