Wanafunzi wa Kitanzania wang'ara Marekani

Tina

JF-Expert Member
Jul 9, 2007
571
225
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya kimataifa Feza wakiwa na furaha nchini Marekani baada ta kushinda medali za dhahabu kwenye mashindano ya Genius Olympiad. Kushoto ni Abdulrazak Juma Mkamia wa pili Rashid Jakaya Kikwete na watatu ni Abdalah Rubeya yaliyoshirikisha nchi zaid 63 duniani huko Marekani juzi.

FB_IMG_1497773296451.jpg
FB_IMG_1497773317148.jpg
IMG-20170617-WA0006.jpg
FB_IMG_1497773296451.jpg
FB_IMG_1497773317148.jpg
 

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
7,870
2,000
Kama wanapewa mazingira mazuri kwann wasifanye vzuri.. Cha ajabu walioenda kwenye hayo mashindano hakuna mwanafunzi aliyetoka shule za kata.. Mwisho wa siku tutawaona wao ndo ma genious kumbe kuna magenious wengi tu ambao hawajapewa fursa ya kuonekana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom