Wanafunzi wa Kitanzania wang'ara Marekani

Wanafunzi wa Kitanzania wang'ara Marekani


WANGETOKA ST KAYUMBA NDO NINGEAMINI KWELI NI MAGENIUS, GENIUS LINAPASUA KOKOTE KULE
KUNA JAMAA NILIKUWA NASOMA NAYE SEKONDARI ASEH, YULE JAMAA MWALIMU AKIFUNDISHA KILA KITU KINAKAA KICHWANI NA HAANDIKI MINOTES ILA MASWALI ANAFANYA..... NA MTIHANI ANAPASUA KHA...
Uko sahihi sana......

Hao ni spoon fed..
 
27 Yohana akajibu, akasema, Hawezi mtu kupokea neno lo lote isipokuwa amepewa kutoka mbinguni.

Yohana 3 :27

Wanastahili pongezi
 
Watakuwa wametengeneza ndege......

Any way Hongera zaooo

OvA
 
Hawa wanastahili pongezi maana inaonekana kuna kitu wamefanya mpaka wakatunukiwa. Sio mtu aje hapa atuambie X anastahili sifa kwa sababu ni mtanzania mdogo zaidi kuwahi kumaliza Harvard! Ni upuuzi.
We vp havard unaichukulia poa cyo..
 
We vp havard unaichukulia poa cyo..
Kumbe na wewe ni wale wale? Siamini ktk sifa za kundi. Ni sawa na kusema watu wafupi wana hasira, hivyo ukimuona mtu mfupi unajua ana hasira.
 
Kumbe na wewe ni wale wale? Siamini ktk sifa za kundi. Ni sawa na kusema watu wafupi wana hasira, hivyo ukimuona mtu mfupi unajua ana hasira.
Ndo nn sasa ! hv wengine mnafikiri kwa kutumia matako na si ubongo
 
Makonda inabidi ampongeze Afisa Elimu Kinondoni kwa juhudi zake za kutoa Watoto wakali wilayani kwake asiwe tu anawafokea Maafisa Elimu Watoto wakifeli
 
Back
Top Bottom