joshua siao
Senior Member
- Jun 3, 2017
- 174
- 100
Ao wakimkakati Amna kitu mpaka wanakufa nikulakulala
Kwahiyo kila wanaosoma Ivy Leage Colleges ni bora kuliko waliosoma vyuo vya kawaida? Mtoto wa Kikwete aliyepata Three Olevel ni bora kuliko mtoto aliyepata division one ya shule ya Kata kwa sababu tu Feza ni shule bora kitaifa?
Kweli cha mzungu kitamu sana. Zikianzishwa mada za UDSM ni bora kuliko vyuo vyote na Mzumbe, Ilboru, Tabora na Kibaha ni bora kwa shule za serikali, watu povu zito linawatoka.
Watu wako kimbelembele kusema Chenge kasoma Harvard ndo maana ni mpiga dili maarufu lakin hawasemi alisoma law UDSM first degree na hakuwa best student.
Nabaki na msimamo wangu kuwa sio kila mtu mfupi ana hasira. Sio wazaramo wote wanapenda ngoma
Riz unayemsema amesoma shule na vyuo vya kawaida. Unayoyasema ni maneno ya mtaani ambayo hayana ushahidi. Lakini pia tabia ya mtu haijalishi kasomea wapi au kazaliwa na nani. Acheni kutoa hukumu ya jumla ya kiuokoo au kifamilia maana hiyo ni dhambi mbaya sana katika Taifa lolote na inajenga chuki na visasi. Utanzania wa mtu hauchagui mali au umasikini wake. Huo ni ukweli mchungu. Kuna wenzetu ambao wametokea koo masikini lakini leo ndio hao wanaovuruga nchi lakini wapo watu wema tu kutoka koo za matajiri ama watawala. Unamtaja JK na familia yake kwa sababu za misimamo na hisia za kisiasa na ndio maana hutaji watoto wa Mbowe wanaokula kuku Majuu au watoto wa wakubwa wengine. Nimekua nikikemea watu wanaopost picha za watoto wa Mbowe wakitanua majuu maisha ya gharama na kuwaambia watu hao watoto munawaonea bure acheni wajitegemee muone wataishije. Wengi hugeuka kuwa watu wema na Wazalendo zaidi na masikini wenzetu wakiingia wanakula bila kunawa na bila kusaza. Tubadilike Watanzania tuache HUKUMU ya jumlajumla (mob justice)Tuache unafiki na tukubali ukweli kwamba wakina Jakaya Kikwete ndiyo wameharibu Elimu ya watoto wa mkulima hapa Tanzania kwa maksudi kabisa huku watoto wao wakienda kusoma shule za Kimataifa. (That's just disgusting)
Na wala hakuna mwenye fikra hasi ila utakuwa ni wewe ambaye aidha huelewi hali halisi ya nchi ilivyo:
Au unaelewa lakini umejitia Upofu kwasababu ni moja ya wanufaika wa mfumo wa kifisadi uliotawala hii nchi.
Labda nikuulize maswali madogo tu:
Hivi unategemea huyo Kikwete Jr hapo juu akija kuwa mkubwa atakuwa na tofauti yoyote na kaka yake Ridhiwani?
Unahitaji ushahidi gani kujua kama Jakaya Kikwete na genge lake la Wahuni wamechangia kuharibu Elimu ya mtoto wa Mkulima nchini Tanzania?Riz unayemsema amesoma shule na vyuo vya kawaida. Unayoyasema ni maneno ya mtaani ambayo hayana ushahidi. Lakini pia tabia ya mtu haijalishi kasomea wapi au kazaliwa na nani. Acheni kutoa hukumu ya jumla ya kiuokoo au kifamilia maana hiyo ni dhambi mbaya sana katika Taifa lolote na inajenga chuki na visasi. Utanzania wa mtu hauchagui mali au umasikini wake. Huo ni ukweli mchungu. Kuna wenzetu ambao wametokea koo masikini lakini leo ndio hao wanaovuruga nchi lakini wapo watu wema tu kutoka koo za matajiri ama watawala. Unamtaja JK na familia yake kwa sababu za misimamo na hisia za kisiasa na ndio maana hutaji watoto wa Mbowe wanaokula kuku Majuu au watoto wa wakubwa wengine. Nimekua nikikemea watu wanaopost picha za watoto wa Mbowe wakitanua majuu maisha ya gharama na kuwaambia watu hao watoto munawaonea bure acheni wajitegemee muone wataishije. Wengi hugeuka kuwa watu wema na Wazalendo zaidi na masikini wenzetu wakiingia wanakula bila kunawa na bila kusaza. Tubadilike Watanzania tuache HUKUMU ya jumlajumla (mob justice)
Hakuna Mwislamu Geniuos Katika Hii Dunia......Magenious ni Wakristu .....Hata vyote tunavyotumia vimegunduliwa na Wakristu....!
Ikikuuma Andamana!
ni mtoto wa salma ( wa mwisho)Huyo rashid mbona abafanana na yule mtoto wa kikwete aliyetukana watu kipindi cha uchaguzi mwaka 2015?!![]()
Unamzungumzia JK kama Rais mwenye mfumo wenye watendaji na sio Jakaya kama binadamu lakini sio watoto ambao bado hawajafanya kazi popote. Mada hapa ni watoto wa shule ya Feza akiwamo mtoto wa JK, angalieni sana na nyie muna watoto ama muna ndugu. Tusihukumu watoto kwa makosa ya wazazi wao. Watoto wa wahalifu hawawezi kuwa wahalifu. Acheni kufikiri kwa jazba na jumlajumla. Kabla ya kumsema vibaya mwenzako jitizame wewe na familia yako. Tizama ndani ya familia yako na vizazi vyenu kama hakuna wakosaji na kama makosa yao yanaweza kuwa yenu nyote. Hata hivyo, leo hii ukimtukana JK ww unakua si mtu mwenye macho ya kuona kuwa anayo mema mengi aliyotufanyia kama Taifa ikiwamo hata kutuletea JPM tunayejivunia sasa. Bila JK Lowassa angekua Rais.Unahitaji ushahidi gani kujua kama Jakaya Kikwete na genge lake la Wahuni wamechangia kuharibu Elimu ya mtoto wa Mkulima nchini Tanzania?
Ni mara ngapi Jakaya Kikwete ametuletea mitahala mibovu kabisa ya Elimu?
Umeviona vitabu ambavyo watoto wa Shule za Sekondari wanavisomea? Umesoma kilichoandikwa humo ndani?
Tangu lini mtoto anafika Kidato cha Kwanza bila kujua kusoma na kuandika?
Then came The Big Results now.
And the list goes on.
Unataka ushahidi gani zaidi ya huu?
Au unahisi kwamba Jakaya Kikwete anaonewa kwasababu za Kisiasa?
Disgusting!
Acheni kufikiri kwa jazba na jumlajumla. Kabla ya kumsema vibaya mwenzako jitizame wewe na familia yako. Tizama ndani ya familia yako na vizazi vyenu kama hakuna wakosaji na kama makosa yao yanaweza kuwa yenu nyote.
Hata hivyo, leo hii ukimtukana JK ww unakua si mtu mwenye macho ya kuona kuwa anayo mema mengi aliyotufanyia kama Taifa ikiwamo hata kutuletea JPM tunayejivunia sasa. Bila JK Lowassa angekua Rais.