Wanafunzi wa Kitanzania wang'ara Marekani

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya kimataifa Feza wakiwa na furaha nchini Marekani baada ta kushinda medali za dhahabu kwenye mashindano ya Genius Olympiad. Kushoto ni Abdulrazak Juma Mkamia wa pili Rashid Jakaya Kikwete na watatu ni Abdalah Rubeya yaliyoshirikisha nchi zaid 63 duniani huko Marekani juzi.

View attachment 527368View attachment 527369View attachment 527370View attachment 527368View attachment 527369
hawa sio watanzania hawa ni vijana wenye mfano wa watanzania mtanzaania yuko kayumba
 
The chosen one. Hustlers wako kata na ngumu sana kupenya kwenye tundu la kitaifa na kimataifa kwasababu wako katika mazingira unfavourable.

Jua lao, vumbi lao, njaa yao, elimu mbovu yao na msongo wa mawazo juu yao.

Pongezi kwa hao walioandaliwa kushinda shindano hilo, pongezi kuandaliwa kwao kuiongoza nchi baadaye.
 
Hongera sana kwao. Mtoto anasoma Feza anakosaje kuwa vizuri.
Hizo shule tuliambiwa na rais wa Uturuki zinafadhili Ugaidi nchini kwake na akaomba hapa zifungwe na Kule Rwanda zote zimefungwa kwa sababu Uturuki ndio wanaojenga ile reli ya standard,kwa hiyo kama mtoto wa mzee wetu pendwa anasoma hizo shule nijiuliza sipati jibu!!!
 
Mbona washiriki wote ni waafrica,je huko ulaya na asia hakuna maginius
 
haya mashindano yalihusisha waafrika tu au,, huko Marekani na Ulaya hawakutoa washiriki?
 
IMG_3060.JPG
IMG_3059.JPG
IMG_3058.JPG
haya mashindano yalihusisha waafrika tu au,, huko Marekani na Ulaya hawakutoa washiriki?
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom