Wanafunzi wa Kitanzania wang'ara Marekani

Wanafunzi wa Kitanzania wang'ara Marekani

Rashidi Jakaya Kikwete,kuna haja Ikulu kuwa na taarifa kamili za watoto wa maraisi,maana tuliambiwaga mkuu ana watoto 8!!!!
Kwani ikulu iliwahi kutoa idadi ya watoto wa marais? Ebu weka hiyo orodha toka ikulu.
 
Kwa sababu Ya majina yao ndio sababu hawakupongezwa na taifa
 
Hawa ndivyo walivyo chuki imedhihili vifuani mwao wanayo yaficha ni makubwa mno kuliko wanacho kisema hawapemdi kuona waislam wamefanya vizuri na ndio maaNa hata vyombo vya habari viko kimya
 
Lini walikabidhiwa bendera au huwa ni baada ya kushinda? Afu wale wanaokabidhiwa bendera, huwa sioni siku wakirudisha... Mwenye ufahamu katika hili!
 
Tuwe na fikra chanya kuhusu watoto hawa. Kama kuna siasa hasi dhidi ya wazazi wao si vyema kuzibebesha watoto ambao hawana makosa na kwa kweli wangefeli ama kuzurura huko mtaani mungecheka

Tuache unafiki na tukubali ukweli kwamba wakina Jakaya Kikwete ndiyo wameharibu Elimu ya watoto wa mkulima hapa Tanzania kwa maksudi kabisa huku watoto wao wakienda kusoma shule za Kimataifa. (That's just disgusting)

Na wala hakuna mwenye fikra hasi ila utakuwa ni wewe ambaye aidha huelewi hali halisi ya nchi ilivyo:
Au unaelewa lakini umejitia Upofu kwasababu ni moja ya wanufaika wa mfumo wa kifisadi uliotawala hii nchi.

Labda nikuulize maswali madogo tu:
Hivi unategemea huyo Kikwete Jr hapo juu akija kuwa mkubwa atakuwa na tofauti yoyote na kaka yake Ridhiwani?
 
Hawa wanastahili pongezi maana inaonekana kuna kitu wamefanya mpaka wakatunukiwa. Sio mtu aje hapa atuambie X anastahili sifa kwa sababu ni mtanzania mdogo zaidi kuwahi kumaliza Harvard! Ni upuuzi.

Hivi unadhani kusoma vyuo vya Ivy League na kutunukiwa digrii zao ni kazi rahisi kihivyo ?
 
Some 2017 Facts:

The country that submitted the most projects was Kyrgyzstan: 81 projects out of 1,187 projects
The number of projects submitted from United States was 351 (30% of all projects) (this number will increase with affiliated regional fairs)
The high school which submitted the most projects is Bishkek Aichurok high School, Kyrgyzstan (32 Projects), Yorktown High School, USA (26 projects), Feza Girls High School, Tanzania (25 projects)
The number of countries from which projects were submitted: 69
The number of US States from which projects were submitted: 37
 
Hivi unadhani kusoma vyuo vya Ivy League na kutunukiwa digrii zao ni kazi rahisi kihivyo ?
Kwahiyo kila wanaosoma Ivy Leage Colleges ni bora kuliko waliosoma vyuo vya kawaida? Mtoto wa Kikwete aliyepata Three Olevel ni bora kuliko mtoto aliyepata division one ya shule ya Kata kwa sababu tu Feza ni shule bora kitaifa?

Kweli cha mzungu kitamu sana. Zikianzishwa mada za UDSM ni bora kuliko vyuo vyote na Mzumbe, Ilboru, Tabora na Kibaha ni bora kwa shule za serikali, watu povu zito linawatoka. Watu wako kimbelembele kusema Chenge kasoma Harvard ndo maana ni mpiga dili maarufu lakin hawasemi alisoma law UDSM first degree na hakuwa best student.

Nabaki na msimamo wangu kuwa sio kila mtu mfupi ana hasira. Sio wazaramo wote wanapenda ngoma.
 
Screenshot_2017-06-21-10-21-55.png
 
safi. acha wale walikuwa wanajigamba na mi Lamborghini
 
Back
Top Bottom