Wanafunzi wa Kitanzania wang'ara Marekani

Wanafunzi wa Kitanzania wang'ara Marekani

Kwa maoni yangu hawa ni wanafunzi wenye uwezo wa kawaida...walioandaliwa mazingira mazuri ya kusomea....neno genious sio la mchezo mchezo....hao ni Mungu mwenyewe anawaletaga.....hawatengenezwi na mkono wa binadamu...
 
bahati mbaya sana post ya kwanza ya uzi huu haina details za huo ujiniasi kwa kila mmoja ulionekana kwa kufanya jambo gani. ufafanuzi tafadhali.
 
Good for them,ila ingependeza zaidi tungepata na mmoja wapo kutoka pale LINGUSENGUSE,RUVUMA.
 
Kwa maoni yangu hawa ni wanafunzi wenye uwezo wa kawaida...walioandaliwa mazingira mazuri ya kusomea....neno genious sio la mchezo mchezo....hao ni Mungu mwenyewe anawaletaga.....hawatengenezwi na mkono wa binadamu...

WANGETOKA ST KAYUMBA NDO NINGEAMINI KWELI NI MAGENIUS, GENIUS LINAPASUA KOKOTE KULE
KUNA JAMAA NILIKUWA NASOMA NAYE SEKONDARI ASEH, YULE JAMAA MWALIMU AKIFUNDISHA KILA KITU KINAKAA KICHWANI NA HAANDIKI MINOTES ILA MASWALI ANAFANYA..... NA MTIHANI ANAPASUA KHA...
 
Back
Top Bottom