Wanafunzi wa Kitanzania wang'ara Marekani

Wanafunzi wa Kitanzania wang'ara Marekani

Hapo ukute public schools hamna ata moja iliyoshiriki!!!
 
Hawa wanastahili pongezi maana inaonekana kuna kitu wamefanya mpaka wakatunukiwa. Sio mtu aje hapa atuambie X anastahili sifa kwa sababu ni mtanzania mdogo zaidi kuwahi kumaliza Harvard! Ni upuuzi.
 
Hivi maskini ndio wenye hati miliki ya hii nchi ???? ..
mbona watu mnakuwa na mawazo ya kimaskini hiviiii ????..

Yaani watanzania kuwa maskini ni ufahari fulani na ndio maana hatuendelei yaani tunaamini maskini akifanya kitu ndio wa kupongezwa kwa kuwa hakutarajiwa lakini vipi kwa mashindano ya nchi nyingi napo tunataka kuweka hii mitazamo ya kipuuzi

Yaani kwa sababu ni watoto wa matajiri bhasi hawatakiwi kushangiliwa kwa kuibeba bendera ya Taifa lao... Huu ni upunguwani
 
MI nilijua ni wa hii shule Ninayo fundisha kumbe ushuani oooh! Asante kwa taarifa
 
Kwa hiyo ni mtoto wa mbunge Juma Nkamia na mzee wetu JK!
 
Hivi maskini ndio wenye hati miliki ya hii nchi ???? ..
mbona watu mnakuwa na mawazo ya kimaskini hiviiii ????..

Yaani watanzania kuwa maskini ni ufahari fulani na ndio maana hatuendelei yaani tunaamini maskini akifanya kitu ndio wa kupongezwa kwa kuwa hakutarajiwa lakini vipi kwa mashindano ya nchi nyingi napo tunataka kuweka hii mitazamo ya kipuuzi

Yaani kwa sababu ni watoto wa matajiri bhasi hawatakiwi kushangiliwa kwa kuibeba bendera ya Taifa lao... Huu ni upunguwani
Na ndiyo maana waafrika huongoza kulalamika kubaguliwa.
 
Roho imekuuma kuona majina ya WAISLAM.

Genius Olmpiad siyo event ya Waislam.
Humu jf,kuna wengi ambao,wanataka yatokee mabaya kuhusu waislamu,wakiona mazuri ya waislamu,roho zinauma sana.Wataka waone "vijana wa kiislamu,wamejilipuwa", au wameuwa au wameuwawa.Uko Uzi wa mafisadi,toka jana kufikishwa Mahakamani,katika orodha ya mgao wa pesa wamo viongozi wa dini wasio waislamu,laiti katika mgao huo,angekuwako hata mwenye jina linalofanana na muislamu,ungeona jinsi uislamu,ungeshambuliwa,lakini mpaka waliogawana kwa sandarusi ni wao kwa wao.Lakini dini zao,wala viongozi wao wq dini hawakushtumiwa.Msio waislamu wajifunze,jinsi waislamu walivyo na upeo mkubwa,wa kuchambua mambo,kama kosa kafanya mtu,asihusishwe na dini yake,kabila yake wala rangi yake.
 
Hizo shule tuliambiwa na rais wa Uturuki zinafadhili Ugaidi nchini kwake na akaomba hapa zifungwe na Kule Rwanda zote zimefungwa kwa sababu Uturuki ndio wanaojenga ile reli ya standard,kwa hiyo kama mtoto wa mzee wetu pendwa anasoma hizo shule nijiuliza sipati jibu!!!
Wameambiwa mpaka Marekani wapeleke ushahidi kama zina husika na ugaidi,mpaka leo Uturuki hawajapeleka ushahidi,na wamebaki kimya.Wapeleke ushahidi ili wakabidhiwe mmiliki wa shule,mwaka umekwisha hakuna,ushahidi wowote.
 
Hizo shule tuliambiwa na rais wa Uturuki zinafadhili Ugaidi nchini kwake na akaomba hapa zifungwe na Kule Rwanda zote zimefungwa kwa sababu Uturuki ndio wanaojenga ile reli ya standard,kwa hiyo kama mtoto wa mzee wetu pendwa anasoma hizo shule nijiuliza sipati jibu!!!
Acha siasa mkuu kwenye mambo ya msingi na ukiwa hivyo utakufa masikini cha msingi mind your own business.
 
Back
Top Bottom