Mkuu, pole sana kwa msiba, najua umeumia sana, lkn nimapenzi ya Mungu wengine watangulie na ss kuwafuata baada yao, ni vigumu sana kusema wapi roho ya mkeo itakuwa lkn Mungu wa kweli na Yesu mwanawe mpendwa wanajua atakuwa wapi, chamsingi vumilia uchungu huo huku tukijiuliza na sisi tupo kwenye foleni yakufuata tutakuwa wapi this time of our death?
Mungu wangu akutie nguvu na amani yakutosha ili uwasaidie wanao wapate elimu yakuwasaidia mbele ya safari ukijua wazi kuwa mama ndiye alikuwa waziri wa elimu na mabo ya ndani ss unachua nafasi zote, usikubali kuutii mwli mpaka nao wamejiweka sawa kwa kujitegemea.
Jipe moyo mkuu Mungu yupo nawe na ss ndugu zako tupo nawe.
Regards
JF member.