Entuntumuki
Member
- Dec 24, 2011
- 88
- 17
Duh, Pole sana Mkuu! Wana JF wote tuko pamoja na wewe, japo wengine tuko mbali tunaungana na wewe ktk msiba huu mzito!
Nasikitika kuwafahamisha kuwa nimepata msiba leo alfajiri mke wangu kipenzi amenitoka. Kimsingi mazishi yamefanyika leo saa 10 kwenye makaburi ya changanyikeni...wife ameniachia watoto wawili wa kike 11 & 8.
Kaka Sajenti, pole sana na MUNGU awafariji na machungu haya wewe, watoto na familia nzima. Mlimpenda lakini MUNGU alimpenda zaidi.Nasikitika kuwafahamisha kuwa nimepata msiba leo alfajiri mke wangu kipenzi amenitoka. Kimsingi mazishi yamefanyika leo saa 10 kwenye makaburi ya changanyikeni...wife ameniachia watoto wawili wa kike 11 & 8.
nasikitika kuwafahamisha kuwa nimepata msiba leo alfajiri mke wangu kipenzi amenitoka. Kimsingi mazishi yamefanyika leo saa 10 kwenye makaburi ya changanyikeni...wife ameniachia watoto wawili wa kike 11 & 8.