Wana-jf nimefiwa na mke wangu!!

Wana-jf nimefiwa na mke wangu!!

pole sana mkuu mungu ailaze roho ya marehemu peponi
 
Pole sana Mkuu...keep your faith.. Ni mapenzi ya Mungu.
 
pole sana afande,Mungu alitoa na ametwaa jina lake lihimidiwe..amen
 
Nasikitika kuwafahamisha kuwa nimepata msiba leo alfajiri mke wangu kipenzi amenitoka. Kimsingi mazishi yamefanyika leo saa 10 kwenye makaburi ya changanyikeni...wife ameniachia watoto wawili wa kike 11 & 8.

Pole sana ndungu yangu kazi ya Mungu haina makosa.
 
Nasikitika kuwafahamisha kuwa nimepata msiba leo alfajiri mke wangu kipenzi amenitoka. Kimsingi mazishi yamefanyika leo saa 10 kwenye makaburi ya changanyikeni...wife ameniachia watoto wawili wa kike 11 & 8.

Pole mkuu. Inna Lillahi waina Illaihi Rajjiuna
 
Nasikitika kuwafahamisha kuwa nimepata msiba leo alfajiri mke wangu kipenzi amenitoka. Kimsingi mazishi yamefanyika leo saa 10 kwenye makaburi ya changanyikeni...wife ameniachia watoto wawili wa kike 11 & 8.

Pole sana Mkuu, ametutangulia, nasi tunaelekea huko, pole sana pamoja na familia.
 
Pole sana..Mungu akulinde, akutie nguvu na kukufadhili ktk kipindi hiki kigumu. Mwanga wa milele ukapate kumuangazia. Amen
 
The almighty GOD who took your dear wife away from you will do something to ease your pains,be strong and calm,yatakwisha mkuu!
 
Dah Mkuu pole sana, tuko pamoja nawe.........
 
Pole sana mpendwa,Mungu akutie nguvu katika wakati huu mgumu,soma haya maneno mpendwa.

  1. Bwana, U sehemu yangu,
    Rafiki yangu Wewe,
    Katika safari yangu
    Tatembea na Wewe,
    Pamoja na Wewe,
    Katika safari yangu,
    Tatembea na Wewe.
  2. Mali hapa sikutaka,
    Ili niheshimiwe,
    Na yanikute mashaka,
    Sasawa na Wewe,
    Pamoja na Wewe,
    Pamoja na Wewe,
    Heri nikute mateso,
    Sawasawa na Wewe.
  3. Niongoze safarini,
    Mbele unichukue,
    Mlangoni kwa Mbinguni,
    Niingie na Wewe,
    Pamoja na Wewe,
    Pamoja na Wewe,
    Mlangoni kwa Mbinguni,
    Niingie na Wewe.

mkuu pole sana!Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu!
 
pole sana sajenti...Mwenyezi Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom