Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Kwa kuwa chadema mmezowea mapigano na umwagaji damu,basi kauli hii nyinyi mnaitafsiri kwa mujibu wa taratibu zenu.

Hatuzungumzii kuhusu CDM auCCM Hapa tunazungumza kuhusu kauli yenye ukakas kutolewa na kiongozi mkuu wa nchi ime nisikitisha sana
 
CDM wanahofu, walizoea kuwapiga, kuwatesa hata kuwaua wana CCM. Lkn sasa itakua jino kwa jino. Kauli hiyo imechelewa sana. Swala hapa cdm wajue kua thamani ya mwana ccm mmoja ni sawa na cdm 5. CCM wamejifunza kutoka Arusha kuwa wakipiga mkijibu kwa kipigo cdm wanachanganyikiwa. Sasa ni mbinu za waisrael, ukiua mmoja wanaua watano. Hii itawatia adabu cdm. Wakiua,kujeruhi ccm1, ueni na mjeruhi cdm 5 ukianza na viongozi wao.
 

Kama cdm wataua nao wajue watauawa. Huelewi nini! Mnatoboa watu macho kwanini yenu yasitobolewe?
 
Mnaoshabikia kauli ya JK nina wasiwasi na upeo wenu wa kufikiri. Mkiuana ndio mnapata faida gani. Upuuzi mtupu
 
Peter Kibatala anaandaa kukamilisha mashtaka na anakwenda Mahakama kuu kufunguwa kesi ya kikatiba dhidi ya huyo Vasco da Gama.

Hizi pumba zako subili uende ukawajibu majaji kesi ikishaaiva

Ndio nini hicho?
 
He he he 😀 Dada FaizaFoxy Vifua mbele kwa Tanzania hii yenye matatizo kila kukicha..!!!

kwani hujui unyonge wenu unatokana na nini..?

Ukiwa dhaifu tegemea kuwa mnyonge...

Kila nchi duniani ina matatizo yake, ngoja uende peponi ndio hakuna matatizo.
 
Chadema tunakupongeza sana JK kwa kujitahidi kutekeleza ahadi yako ya kuiua CCM kabla ya 2015, tulidhani unatania kumbe uko serious. .kwa style hii ya kauli ya kuhakikisha CCM unawapoteza njia nimeikubali, makubwa jinga ya CCM yatakuja kwa raia kupiga piga ovyo alafu wananchi wakose nao imani kuyapa uongozi na huo ndio utakua mwisho wao..nimeipenda hii mbinu mkuu...
 
Tulitaka aseme CCM mkipigwa mbele mtoe na 0713 we mwehu kwani sheria hakuna,tatizo lako unawaza kupitia 0713
sasa leo magwanda hasira na matusi ni ya nini ?
Mtu kaongea na Wanachama wake, mbona alipotoa ruksa hiyo 2012 pale Kizota kuwa tusisubiri mpaka Mwenyekiti wenu ajibu pambaneni nao hukohuko hamkupiga kelele?
sasa ni Jino kwa jino
Kikwete: Unyonge CCM basi - Kitaifa - mwananchi.co.tz


 
mbona wameibiwa kata ishirini na tatu wametuli kwa hauli hiyo watanyooka
 
Lazima atengue kauli yake, hawezi kuwa juu ya sheria hata kama ni raisi na pia tupo nchi ya kidemokrasia sio ya kidikteta ya mtu kuamka tu na kuamuru anachotaka. Nchi ina sheria na wasimamizi na watekelezani wa sheria wapo. Kama anafikiri wanaccm wametobolewa macho na wapinzani vyombo vya sheria vipo kwanini asiamuru wahusika wote wafikishwe mbele ya sheri, na badala yake anatangaza kuchukua sheria mkononi, anataka kutuambia nini mifumo ya sheria iliyopo imekufa na hata yeye mwenyewe haiamini kama inaweza kuwasaka wahalifu? Kama jibu ni ndiyo kwanini asichukue juhudi za makusudi kufufua mifumo hiyo. Je endapo wananchi wakachukua sheria mkononi kama alivyoruhusu na kuleta maafa makubwa atakuwa na ubavu wa kukemea au ataacha mambo yaende mpaka wote tukimbie nchi. Binasfsi nadhani anataka nchi iingie kwenye machafuko ili yeye na wenzake wa huko duniani waje kupora gesi yetu na madini yetu. Watanzania tuamke tusiwe wajinga tusikubali mheshimiwa atuvuruge tukatae. Hizo ni njama kutoka huko kwa wenzetu ili pale tunapochapana wenyewe wanapora mali yetu. Si mnaona DRC Congo? Ndo hicho wanataka. Tuungane wote kumpinga na tusipumbazike tuseme alikolalia yeye sisi ndo tumeamkia. Funguka mtanzania usikubali hapa hapigani mtu , tunachunga mali zetu tupo macho.
 
Mungi umemaliza kila kitu hapa
lakini wasijisahau kuwa kuna watu walirekodi hiyo kauli tofauti na TBC
JK hapa hana pa kutokea, kahalalisha kaul ya Pinda na kahalalisha mauaji rasmi
The hague hiyo inamsubiri. akimaliza ngwe yake kwa damu kumwagika hata pona.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…