Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Nina kipindi kirefu sana sijaona unatoa maneno yenye uhai kwako na kwa members humu ndani, napata shida kuamini kama una ubinadamu yako. Very spoilt mind..
Sina ubinadamu kwa watu wahuni kama wewe na wenzako wote wa aina yako hamuwezi kufanya mambo ya kihuni halafu tuwanyamazie kwani nyie mungu mdogo wenu.
 
Watu wanakula vya kupewa utawaona wanavyopigania mzee wao ili wasife njaa.
 
Kweli kuishabikia ccm, unahitaji akili ya maiti. Wao ndio wanatawala dola iko chini yao, hao polisi wanaotumia kukamqta au kuzuia wapinzani na mambo yao, kweli wameshindwa kuja hata na ushahidi mara moja na kuwatia hatiani hao watu,
 
Huna kazi, njoo nikufuge, uende kule nanga nikuchanganye na maksai wangu labda mtalingana akili, maana una akili ya ng'ombe kabisa
Kama unataka nije kwako uwe tayari kuhudhulia hispitali miezi tisa na mateso mengine mengi kwa mda wote huo wa miezi tisa.
 
Ameyasema hayo wakati wa kikao cha NEC alipokuwa anazungumzia machafuko yanayotokea kwenye chaguzi ndogo especially ile ya kahama.

Amewataka wana CCM kuacha unyonge. Amejihami kwa kusema kwamba hata kama alichokisema kitakuwa ndio habari nzito kwenye vyombo ya habari sawa tu.

Source: News, TBC1

Sijaielewa hii kauli ya kikwete alikuwa anamaanisha nini.

Hapa nimeshindwa kumuelewa; anataka wana CCM wareact vipi? Kwa kuua au?

huyu SLAA ana MVI lakini hazimsaidii.
 
Kama unataka nije kwako uwe tayari kuhudhulia hispitali miezi tisa na mateso mengine mengi kwa mda wote huo wa miezi tisa.
mimba hiyo. tehe teh teh, siku moja tu anapigwa chini anavimba juu? mkuu kweli wewe noma.
 
Kweli kuishabikia ccm, unahitaji akili ya maiti. Wao ndio wanatawala dola iko chini yao, hao polisi wanaotumia kukamqta au kuzuia wapinzani na mambo yao, kweli wameshindwa kuja hata na ushahidi mara moja na kuwatia hatiani hao watu,

POLISi wamekuwa waoga , wasije wakaambiwa kuwa wanapendelea CHAMA tawala. dawa hapa sasa ni kuparuana wenyewe kwa wenyewe. safi sana JK.
 
jaman tukumbuke kauli ya wazil mkuu SASA TUMECHOKA TUWAPIGE TU jk naye wanaccm achen unyonge pambaneni
sas watanzania hatuna viongoz tujilinde wenyewe
 
jaman tukumbuke kauli ya wazil mkuu SASA TUMECHOKA TUWAPIGE TU jk naye wanaccm achen unyonge pambaneni
sas watanzania hatuna viongoz tujilinde wenyewe

Kauli za viongozi na vurugu kipi kinatangulia?
 
inamaana maccm sikuhiz hawaaminiani tena na polisi!
mpaka kuwataka wajilinde wenyewe!!
 
Back
Top Bottom