Kama unasikia ina maana umeambiwa, kama umeambiwa na umeshindwa kuchukua hatua basi wewe ni dhaifu kuliko dhaifu!
viongozi wa chadema wanapenda sana kwenda jela wakafanyiwe kale kamchezo na wafungwa,ndio maana tunawapotezea
Kama unasikia ina maana umeambiwa, kama umeambiwa na umeshindwa kuchukua hatua basi wewe ni dhaifu kuliko dhaifu!
Hii ndio kauli ya kiume kuliko zote zilizopata kutolewa kwenye uzi huu. Polisi watuache wenye tufundishane adabu.
Toa ushahidi wa mwana ccm mmoja aliye uawa na wana Chadema na Chadema ikupe idadi ya maccm mlioua. Usiandike kufurahisha utashi wako. Hii nchi ni yetu wote, na tunataka utawala wa sheria sio maagizo ya rais aliye filisika ki mawazo.utanitukana sana lakini huo ndiyo ukweli, mimi siongei kama CCM wala chama chochote cha siasa, wewe sikushangai kwa vile matusi yenyewe yanakuelezea wewe ni CHADEMA. Najua vita haichagui, lakini siamini kuwa itachagua CCM tu ndo wafe, tunajidanganya sana, madamu mlishalianzisha na REDBRIGADE yenu hamna budi kuikubali hali halisi kwa vile CCM nao wanaonekana kuchoka.
Hakuna kutumia bunduki, panga au silaha ya aina yoyote, ni ngumi mtindo mmoja.
Aombe radhi kwa lipi? Mta acha kufanya ujinga wenu?
Huyo Slaa ni raisi wa nchi gani? usiongee kama uko ndani ya chupakauli moja tu mmewehuka je hiz za slaa 1.nchi haitawalika 2.tutapambana mpaka kieleweke.hakuna kuomba radh
Ameyasema hayo wakati wa kikao cha NEC alipokuwa anazungumzia machafuko yanayotokea kwenye chaguzi ndogo especially ile ya kahama.
Amewataka wana CCM kuacha unyonge. Amejihami kwa kusema kwamba hata kama alichokisema kitakuwa ndio habari nzito kwenye vyombo ya habari sawa tu.
Source: News, TBC1
Sijaielewa hii kauli ya kikwete alikuwa anamaanisha nini.
Hapa nimeshindwa kumuelewa; anataka wana CCM wareact vipi? Kwa kuua au?
Uongozi wa TBC ulishatoa taarifa serikalini kuwa mitambo yao ina tabia ya kubadirisha kauli za watu hasa viongozi wa juu, na kuwafanya wasikike tofauti na walivyoongea.hiyo sio kauli ya kutolewa na mkuu wa nchi, yeye hakuchaguliwa na wana CCM peke yao
kajisahu kapigiwa kura na watanzania wengi na anapaswa kuwatumika watanzania kwa umoja wao
labda atuambie kaka yeye ni rais wa CCM na sio rais wa Tanzania.
nadiriki kusema shame upon his words> aombe msamaha kwa watanzania
Kabla ya kulekwa The Hague lazima mfanye haraka kumpa huduma ya kwanza kwani mwezi wake wa kuanguka si ndio huu!!halafu bahati mbaya na Daktari wake amelazwa milembe,kichaa kimepanda,hvyo basi ni vyema na haki nae akfikishwa hapo Mirembe akisha pata ahueni moja kwa moja The hague.Hatutaki Rais TAAHIRA.Huu ni uchochezi ulio dhahiri! Rais amevunja katiba, Rais amekiuka kiapo cha kuwalinda raia na mali zao! Kama Pinda ameshtakiwa kwa kutaka raia wapingwe kutetea haki zao, Rais afanywe nini?! Kwa hali tuliyofikia JK anapaswa kupelekwa The Hague!
Hii ni aibu kubwa kwa mkuu wa nchi kutamka maneno ya namna hii.
Anapaswa kuomba radhi mara moja.
Uongozi wa TBC ulishatoa taarifa serikalini kuwa mitambo yao ina tabia ya kubadirisha kauli za watu hasa viongozi wa juu, na kuwafanya wasikike tofauti na walivyoongea.
Hivyo basi tunapenda kuwahakikishia watanzania kuwa, rais hakupata kuongea kauli hiyo mahala popote, ni bahati maya kuwa tatizo hilo la kiufundi, safari hii limeathiri kauli ya rais.
Wizara imeshaongea na makandarasi kutoka China na Madagascar ambao wataingia muda wowote kuanzia mwezi October kwa ajili ya kushughulikia tatuzo hilo.
Tunawaomba radhi wananchi kwa usumbufu uliojitokeza baada ya kauli na maelezo ya rais kuharibiwa na mitambo.
Imetolewa na Kurugenzi ya mawasiliano hapa kwenye Magogo.
Mkurugenzi wa hayo mawasiliano.
Saa ya silva Rey na Mamuu.
CC: Yericko Nyerere, Mohamedi Mtoi, Crashwise, MSALANI, Ritz, Pasco, Simiyu Yetu, Chabruma
haina haja ya kutunga ujinga
JK alisema wazi waandishi waandike aliyosema tena bila woga
hakuna atakaerudi nyuma wala msihangaike kufikiri labda kuna MTU anajuta ndani ya CCM kwa kauli ile
angetaka msisikie asingeongea pale
tumewavumilia sana na tumekoma...
unyonge basi.
Hii ni aibu kubwa kwa mkuu wa nchi kutamka maneno ya namna hii.
Anapaswa kuomba radhi mara moja.
Sio sirii watz tunatakiwa tumuombe Mungu sana ili atupatie viongozi wenye busara, hekima na pia hofu ya Mungu coz MAJANGA kama haya mhhhhhhhh!!!!!!!hiii itakuwa REMIX ya mtoto wa mkulima!!!!!So amebariki mapigano kati ya MaCCM NA WAFUASI wengine wa Vyama vya Upinzani!!!!!!!!!!pls read that article View attachment HBRwhatmakesleader.pdfAmeyasema hayo wakati wa kikao cha NEC alipokuwa anazungumzia machafuko yanayotokea kwenye chaguzi ndogo especially ile ya kahama.
Amewataka wana CCM kuacha unyonge. Amejihami kwa kusema kwamba hata kama alichokisema kitakuwa ndio habari nzito kwenye vyombo ya habari sawa tu.
Source: News, TBC1
Sijaielewa hii kauli ya kikwete alikuwa anamaanisha nini.
Hapa nimeshindwa kumuelewa; anataka wana CCM wareact vipi? Kwa kuua au?