Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Ameyasema hayo wakati wa kikao cha NEC alipokuwa anazungumzia machafuko yanayotokea kwenye chaguzi ndogo especially ile ya kahama.

Amewataka wana CCM kuacha unyonge. Amejihami kwa kusema kwamba hata kama alichokisema kitakuwa ndio habari nzito kwenye vyombo ya habari sawa tu.

Source: News, TBC1

Sijaielewa hii kauli ya kikwete alikuwa anamaanisha nini.

Hapa nimeshindwa kumuelewa; anataka wana CCM wareact vipi? Kwa kuua au?

CCM members are above the law. Wanaweza kuvunja sheria kadiri watakavyo bila kutendwa chochote na huto tu mahakama twenu
 
Mimi siogopi mwanadamu, urais ni dhamana tuu amepewa na mungu, anyelinda nchi ni mungu kupitia maombi ya wenye haki...ni wakati wa kuomba mkono wa mungu utawale, iwe kalenga hata katika bunge la katiba. Tusilalamike hata tukasahau kuomba.."we are not orphans we have our heavenly father"
 
Mh Rais kwakweli mujibu wa katiba yetu na sheria zetu za sasa, hukupaswa kutamka kauli ambayo kwa lugha nyepesi watu waki itafasiri wanaweza sema ngoja nikanunue shoka na panga kwa ajili ya mapambano.

Ni lazima ujuwe wewe ndie unae simamia haki yakila mwana nchi kuishi pasipo kujali, dini, kabila ama itikadi ya kivyama, sasa kusema wana ccm wasiwe wanyonge unamanisha wana ccm wamalizie kaz mitaani, yani wachinje wauwe kila anae wabugudhi. Mh Rais badala yakusema vyombo vya dola viwe macho nakuwashughulikia wanao haribu aman ya Nchi pasipo jali chama au kabila unawavika wana ccm jukumu la kuwa police, mahakama na magereza.

Kwa kauli kama hiyo usipo sahìhisha waweza kuli ingiza taifa ktk machafuko mabaya ambayo hayakuwah kutokea.

Taifa hili limejengwa ktk misingi ya haki, usawa na umoja kulitenganisha taifa hili ktk misingi hyo ni sawa na kuutenganisha kichwa nakiwili.

Mh Rais, bwana nape kawaita wapinzani hawana adabu akisahau pia naye hana adabu maana kwa mila na destur za kitanzania huwez muita mzaz wako hana adabu amewatukana
 
Sasa Tanganyika si mahali tena salama kwa kuishi. hizi ndo siasa za majitaka.

Sidhani kama uchaguzi wa 2015 utakua salama kama kauli hii haikufutwa.
 
Sasa Tanganyika si mahali tena salama kwa kuishi. hizi ndo siasa za majitaka.

Sidhani kama uchaguzi wa 2015 utakua salama kama kauli hii haikufutwa.
sasa kama wengine wanauliwa kwa nini wasijihami? watu wakijua tukifanya tutafanyiwa hapo tutaheshimiana. lazima kila mmoja aone mwenzake anahaki ya kuwa hai na salama. NA HIYO NDO AMANI YA KWELI.
 
sasa kama wengine wanauliwa kwa nini wasijihami? watu wakijua tukifanya tutafanyiwa hapo tutaheshimiana. lazima kila mmoja aone mwenzake anahaki ya kuwa hai na salama. NA HIYO NDO AMANI YA KWELI.

Nini kazi ya polisi?Nini kazi ya mahakama?Ni lazima watu wajifunze kuheshimu vyombo hivi la sivyo mbadala wa ulinzi na usalama utakuwa mikononi mwa wanachama wa vyama vya siasa!

Kama mtu unaongoza majeshi ambayo yanaongozwa na serikali ya CCM,wengi wa viongozi wa majeshi hayo walichaguliwa kwa kuwa walimiliki kadi za chama,je kwa kauli kama hizi dhidi ya chama ambacho hakina hata sungusungu,tutegemee nini?

Siyo viongozi wote wanafaa kuwa MARAIS ,wengine wanapaswa wawe ma-MC kwenye sherehe za harusi!
 
Kifupi kwa kwamba:
Kikwete waliokuwa karibu naye hawakumtahadharisha kwamba anachotamka kinadakwa na wanahabari, alifikiri tu yupo ndani ya kikao cha wanaCCM wenzake bila uwepo wa vyombo vya habari. Alipokuwa analeta msisitiho huo na kushtukia vyombo vya habari vipo vikimkodolea macho, hakuna naziada ila kuonyesha jeuri yakiburi kwamba hajali yatakayotokea kwanye vyombo vya habari na kuwaambia waende wakaandike. Ndio maana hata gazeti linalowapgia miluzi Habari leo ikawa ndio habari kuu. Huku si kuteleza ulimi, ni uamuzi waliweka. Mazoea hujenga tabia ndiho hayo sasa si ya ndani tena ni kumwaga mchele kwenye kuku wengi hatimaye yanafikishwa Mahakama ya Kimataifa ni fedheha. Tamko lile la Kikwete siyo makosa kulitafsiri kama uchochozi kwa uvunjaji wa amani maana yeye akiwa kiongozi mkuu wanamwaga ----- huo na wali chini yake nini nitaendelea katika utekelezaji?
 
sasa kama wengine wanauliwa kwa nini wasijihami? watu wakijua tukifanya tutafanyiwa hapo tutaheshimiana. lazima kila mmoja aone mwenzake anahaki ya kuwa hai na salama. NA HIYO NDO AMANI YA KWELI.

Hiki ulichokiandika ndio kilichazipata nchi zilizokumbwa na machafuko. Kama kweli tunaangalia uhalisia CDM ndio waliotakiwa kutamka kuwa waachane na unyonge kwani wamekumbwa na matukio mengi yaliyoua na kuwaacha wengine vilema lakini wamekuwa wavumilivu hadi sasa.
 
Ameyasema hayo wakati wa kikao cha NEC alipokuwa anazungumzia machafuko yanayotokea kwenye chaguzi ndogo especially ile ya kahama. Amewataka wana CCM kuacha unyonge. Amejihami kwa kusema kwamba hata kama alichokisema kitakuwa ndio habari nzito kwenye vyombo ya habari sawa tu. Source: News, TBC1 Sijaielewa hii kauli ya kikwete alikuwa anamaanisha nini. Hapa nimeshindwa kumuelewa; anataka wana CCM wareact vipi? Kwa kuua au?
alikuwa ana MAANISHA KAMA NOMA NA IWE NOMA
 
Hiki ulichokiandika ndio kilichazipata nchi zilizokumbwa na machafuko. Kama kweli tunaangalia uhalisia CDM ndio waliotakiwa kutamka kuwa waachane na unyonge kwani wamekumbwa na matukio mengi yaliyoua na kuwaacha wengine vilema lakini wamekuwa wavumilivu hadi sasa.
statement yangu haikutaja chama. its two tailed.
 
kwenye mchango wangu sijaspecify. its two tailed. ni kwamba kila mmoja aone mwezake anahaki ya kuwa hai na salama kama atakavyo kwake. lakini pia niweke wazi, nikiacha mapungufu madogomadogo ya JK na hasa woga, kwangu mimi ndo the best presdaa wa nchi hii tangu uhuru. kwa heri.

Nini kazi ya polisi?Nini kazi ya mahakama?Ni lazima watu wajifunze kuheshimu vyombo hivi la sivyo mbadala wa ulinzi na usalama utakuwa mikononi mwa wanachama wa vyama vya siasa!

Kama mtu unaongoza majeshi ambayo yanaongozwa na serikali ya CCM,wengi wa viongozi wa majeshi hayo walichaguliwa kwa kuwa walimiliki kadi za chama,je kwa kauli kama hizi dhidi ya chama ambacho hakina hata sungusungu,tutegemee nini?

Siyo viongozi wote wanafaa kuwa MARAIS ,wengine wanapaswa wawe ma-MC kwenye sherehe za harusi!
 
Naomba mhe Rais wangu kikwete uirudie hii kauli kabla hujamaliza vikao vya chama Dodoma.

Ni ukweli usiopingika kuwa kwa hali ya siasa ilivyo hivi sasa nchini, wanachama wengi wa chama chetu cha CCM wamekuwa wakisononeka, wakikata tamaa, hawajielewi, na kwa kifupi ni kama wanachanganyikiwa hivi.

Hiyo yote ni kutokana na wanachama wenzetu hasa viongozi kusikika kuwa wanahamia ukawa. Hivyo hofu imewajaa. Naomba tena kwa unyenyekevu mkubwa uwakumbushe wanachama na viongozi wa chama kuacha unyonge kwasababu chama bado ni imara na hakitetereki. Walioondoka ni matone tu ya maji ndani ya bahari.

Nakutakia heri kwa kila jambo lenye kuleta umoja na uimara ndani ya chama chetu
 
Kiti kimeishiwa busara na hekima.. WanaCCM wameishiwa kauli...
Tunategemea mengi zaid ya hilo.

Kitu muhimu kuongeza sala kw ajili ya Taifa letu Tanzania na kuhimizana kuzitunza cards zetu ifikapo 25th October tuimalize kazi.
 
Back
Top Bottom