pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,030
- 15,232
Raisi wangu busara zitangulie!
Hebu tafsiri wewe kisha utumabie !!! usilete ushabikiKwa kuwa chadema mmezowea mapigano na umwagaji damu,basi kauli hii nyinyi mnaitafsiri kwa mujibu wa taratibu zenu.
Alicho sema sawa tu.
Kama vyama vingine vina fanya uhuni na ugaidi ili kuwatusha watu wasipige kura njia nzuri ni kujibu mapigo kwa kuwalinda wakapige kura.
Wakizongea vituo vya kuisabia kura nao ccm wazongee
Fujo za uchaguzi za wengine jawabu ni jino kwa jino
CDM wanahofu, walizoea kuwapiga, kuwatesa hata kuwaua wana CCM. Lkn sasa itakua jino kwa jino. Kauli hiyo imechelewa sana. Swala hapa cdm wajue kua thamani ya mwana ccm mmoja ni sawa na cdm 5. CCM wamejifunza kutoka Arusha kuwa wakipiga mkijibu kwa kipigo cdm wanachanganyikiwa. Sasa ni mbinu za waisrael, ukiua mmoja wanaua watano. Hii itawatia adabu cdm. Wakiua,kujeruhi ccm1, ueni na mjeruhi cdm 5 ukianza na viongozi wao.
Kuhusu ile gari iliyokamatwa na mapanga na nondo ilikuwa kwenye wilaya ya bagamoyo nyumbani kwa Jk mwenyewe sasa hapo tufikirie nini?
unajambajamba tu hapa nenda TUKI
Upo serious? kumbuka Kikwete ni Rais
Ni sawa alivyosema JK
Namuunga mkono kwa 101%
aisee sifuri za sefue nyingi kweli humu JF brain inaweza kuwa cotradited kweli ,umesoma wapi wewe mbumbumbu you must be having an trophied bran simply you cant think mwenyekiti wenu kuwatangazia wananchi wachukue sime katangaza vita kama mulivyozoea kukata watu mashoka kuwakata shingo kwa misumeno yatamrudia mwenyekiti wenu
you are too low!!
your brain is contradicted.....
kutuuwa sasa basi...
kutuchoma nondo sasa basi tumeacha unyonge...
angekuwa amewapa wananchi uhuru wa kujieleza basi wasingepandishwa vyeo akina Kamuhanda kwa kuwauawa akina mwangosi akina ahmad msangi kwa kuwateka akina ulimboa mwigulu nchemba kwa kukatwa misumeno makada wa chadema arumeruKikwete yupo sahihi kabisa, Ukimya wake na kuruhusu majadiliano ya wazi kidemekrasia ndio vilivyotufikisha hapa, watu wamefikia kukosa adabu kabisa, chadema wanafikiri nchi ni yao kufanya vurugu na kusingizia polisi ndio wanawasumbua , sasa mtambue kua demokrasia haiji kwa vitisho na vurugu, leteni hoja zenye kujenga na si siasa za kiushabiki, bandiko la lema jana nimelisoma na ni kati ya mabandiko hovyo kuwahi kutolewa na mwakilishi wa wananchi, Arusha itabidi mjifunze wakati mwingine kuchagua mtu mwenye maono ya kujenga na si vurugu na kukosa heshima kwa mamlaka kubwa kama huyu bwana, wakazi wa arusha tujisahihishe 2015, huyu bwana asirudi bungeni anatuabisha , Arusha hatuna watu wanaokosa busara kama lema..
Kwa kauli hii sioni tofauti kati ya Rais na Nape