Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 798
Utaifa kwanza jk baadae
Hahahaaaa mbavu zangu jamani Poleni wanachi wa Tanzania kila mnapoambiwa achaneni na CCM mmeshupaza shingo kama pila la MSALANI sasa mnaona huyo mliempa Urais anakowapeleka?Niliwaambia watakaoleta vita Tanzania ni CCM watu wakabisha haya sasa vita imeshatangazwa na huyo msera inya,ni mpinzani gani aliyetangaza vita? Tena nakumbuka kuna Bwana mmoja alisema humuhumu Rais wangu ananilazimisha kupigana vita,wenye akili kama za msera inya wakamtukana mtu wa watu,eti ee msera inya ni mtu wa watu,leo kaamua kuwakana hadharani kwamba yeye si mtu wa watu,na wanaomtangazia hivyo ni waganga njaa tu.Aisee me mwenyewe mpaka mda huu najiona nipo ndotoni.
Nimejaribu hata kujifinya, lakini akili haikubali kwamba nimemwona akiyatamka hayo kwenye taarifa ya habari.
amesema wana CCM tusiwe wanyonge...
kukinukisha mmekinukisha nyie hivi inakuingia rohoni kumchoma mwenzio nondo ya jicho?
inakupendeza kumkata mtu na panga?
unyonge ni kama laana..
hatutakuwa wanyonge tena haki zetu kama binadamu zinapopokwa na wahuni...
kauli hiyo ya mkuu inamaanisha kwamba tayari kimenuka , tunachosubiri ni kipyenga tu .
Unasubili kipyenga kipi wakati kipyenga kimeshapulizwa? mimi sasa hivi natembea na Beretta yangu kiunoni shotgun ndio inakaa nyumbani, uknikanyaga tu nakunyoosha.
Tukichochewa na kuanza kuraruana Kagame atatupiga kirahisi. Huyo JK na familia yake watakwea ndege kwenda kuishi ughaibuni. Watanzania wangapi wanaweza kuishi ughaibuni achilia mbali kuwa na hati za kusafiria. Watanzania na nyie wana-CCM tusiwe madodoki ya kufyonza kila uchafu.
Unasubili kipyenga kipi wakati kipyenga kimeshapulizwa? mimi sasa hivi natembea na Beretta yangu kiunoni shotgun ndio inakaa nyumbani, uknikanyaga tu nakunyoosha.
Wewe ulitaka asemeje? Awaambie CCM mkipigwa kuweni wanyonge tu na kubalini kupigwaNadhani ni maneno ya watu tu mitaani, inawezekana kweli rais wetu Mh. Jakaya Kikwete kuwa ametoa agizo kuwa wana ccm waache unyonge na wajibu mapigo pale wanaposhambuliwa. eti watumie silaha yeyote iliyokaribu kama bunduki, panga, kisu, tindikali, meno au kucha? nasema siamini kwakuwa kauli hii angeitoa Knana, Nape au Mwigulu ningeipuuza kwa kuwa najua hawa ni wendawazimu, lakini kinachonipa shida kauli hii imetolewa na kiongozi mkuu wa nchi, kwa maana nyingine kauli yake ni sheria,hivi ni kweli nchi yetu ndio hatua iliyofikia hii ya kuwa na ombwe la uongozi? hapana hakusema hivyo labda alisema kuwa vyombo vya dola viwashughulikie kwa mujibu wa sheria wote wanaojaribu kufanya uharifu kwa kisingizio cha siasa, labda wamemnukuu vibaya, inakuwaje mtu mwenye kauli juu ya vyombo vya dola kutoa kauli hiyo? sawa hivi kama ccm watatii kauli hii ya rais na mwenyekiti wao na wakaanza kuwaumiza wapinzani ni polisi gani anayeweza kuwazuia wakati amri hii katoa amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, Sasa nataka kuwambia wafuasi na wanachama wa upinzani kujiandaa kupambana na si kutegemea polisi, polisi tayari washafungwa mikono kwa kauli hii ya rais, pia napenda niwatoe hofu wapinzani kuwa ccm ni wachache na waoga hawawezi mbilinge, na kwa kuwa kiongozi wao ameshawamuru kuwapiga, kuwajeruhi na kuwaua wapinzani nasi hatuna mtetezi tupambane mpaka mataifa ya nje yaje kuamulia, kote tunaposikia machafuko ndivyo walivyoanza kwa kuwa kuwa na viongozi walevi
Wewe ulitaka asemeje? Awaambie CCM mkipigwa kuweni wanyonge tu na kubalini kupigwa
Dunia nzima inajua Tanzania hawana rais,ndie huyu Pk anamwinda kwa udi na uvumba...
Cjapata ona rais mbovu kama huyu,hivi yeye ni rais wa ccm au tanzania hata busara hana..
Vita imetangazwa wewe unataka tupendane, sisi tunasaka sumu za mishale, wewe endelea kupendana na mkeo kaka.Case study nzuri ni issue ya Rwanda 1994, waandishi wa Radio RTLM wao walikuwa wanachochea mauaji kwa kuhimiza Wahutu wabebe mapanga kuwaua Cockroaches, nadhani kama umefuatilia wote wametiwa hatiani kuhusika na mauaji. Kama JK kachemka wewe usifuate ujinga wake. Tupendane wa Tz vyama hivi vitatupotezea Amani ya nchi yetu.