Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Natamani tuanze hata kesho kutwa kwenye ubunge wa Iringa mimi nitachoma moto ofisi zote za serikali na CCM na kwa vile tunawajua viongozi wetu wote CCM nitahakikisha wote wamekufa kwa moto pamoja na familia zao mpaka wahame nchi,

Sisi tulianzia hapa Mtwara kwa sasa tuko likizo ya mwaka mmoja.
 
Case study nzuri ni issue ya Rwanda 1994, waandishi wa Radio RTLM wao walikuwa wanachochea mauaji kwa kuhimiza Wahutu wabebe mapanga kuwaua Cockroaches, nadhani kama umefuatilia wote wametiwa hatiani kuhusika na mauaji. Kama JK kachemka wewe usifuate ujinga wake. Tupendane wa Tz vyama hivi vitatupotezea Amani ya nchi yetu.

Nakubaliana nawe mkuu. Mawazo yenye busara.
 
Tukichochewa na kuanza kuraruana Kagame atatupiga kirahisi. Huyo JK na familia yake watakwea ndege kwenda kuishi ughaibuni. Watanzania wangapi wanaweza kuishi ughaibuni achilia mbali kuwa na hati za kusafiria. Watanzania na nyie wana-CCM tusiwe madodoki ya kufyonza kila uchafu.

Bora tutoane macho kwanza ndo heshima itarejea
 
yehuuuu....alianza pinda naona yeye kamalizia...kitakachofuata ni actions tu...ee Mungu mrehemu maana hajui alinenalo!
 
kama hichi kituko kimekaa ikulu kwa miaka kumi bila kutumia akili kubwa yoyote,lusinde hashindwi kuwa rais,rais wa pili au wanne kutangaza vita ya wenyewe kwa wenyewe nchini mwake akiwa kama rais!mi naamini huyu mtu ana ugonjwa mkubwa ndio maana anajisahaulisha na safari zisizoisha na kucheki afya..sio mzima hata kidogo huyu.
 
Kila Raia hapa lazima atembee na siraha yake kujihami na Tangazo la Mkulu wa kaya,sasa tutashuhudia maiti zikizagaa na hazina wazikaji,bila ya huyu mtu kubadilisha kauli yake mauaji ya kimbari lazima yapige hodi Tanzania.

Heri wakurya walishazoea kutembea na silaha, kazi kwetu wa Tanga.
 
Wewe ulitaka asemeje? Awaambie CCM mkipigwa kuweni wanyonge tu na kubalini kupigwa

alitakiwa awaambie wakipigwa waende polisi,huo ndio utawala wa sheria,yeye akiwa kama kamanda mkuu kauli yake ni kama ametangaza vita..huitaji kuwa na elimu kubwa kama yangu kuona hili.
 
Naludia kusema amani ya taifa letu tutailinda sisi raia wakawaida.ila tukiwaachia wanasiasa wawe wanaongea mawazo yao na kusema nsio mawazo ya wananchi wengi itatugharimu watanzania.nchi ni yetu na tudumishe Amani
 
Unyonge unyonge... sijajua ni unyonge wa kutokukinga kukinga ngumi!?
 
Ushuzi mtupu... Amesahau kwamba ccm ndio wanaoanzisha vurugu na kuua wananchi wasio na hatia?
 
Tusaidiane jamani hivi ni nani walimuua kijana Masudi kwenye uchaguzi mdogo Igunga na Mbwambo kule Arumeru ? Kikwete hajui hilo ? .
 
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amewataka wanachama wake kuacha unyonge na kujibu mapigo ya wapinzani hasa wale ambao wanaendesha siasa za vurugu katika kampeni za chaguzi mbalimbali nchini.


cc1_1.jpg

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) katika jengo la White House mjini Dodoma leo, akiwa meza kuu na Makamu wa Rais wa CCM visiwani na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. (picha: Ikulu)


Rais Kikwete amesema kuwa uvumilivu una ukomo, na kwamba sasa wanachama wa CCM hawana budi kuacha unyonge, kutokana na siasa hizo za vurugu zinazoendeshwa na vyama vya upinzani.


Aliyasema hayo jana mjini hapa wakati akifungua kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM kitakachokutana kwa siku mbili chini ya uenyekiti wake, ambacho ajenda kuu ni kuzungumzia Bunge Maalumu la Katiba.


“Tumelizungumzia hili katika Kamati Kuu, tumekubaliana kuacha unyonge (makofi). Ndiyo watu wamelisema hili katika Kamati Kuu, tumesema jamani tumekubaliana kuacha unyonge,” “Wacha wakaseme (waandishi wa habari), ndio tumekubaliana kuacha unyonge. Kabisa. Hata kama leo katika taarifa za habari, zisiwekwe habari nyingine, msikike ninyi tu.


Uvumilivu una ukomo wake.”


alisema Rais Kikwete ambaye wakati anafungua kikao hicho waandishi wa habari walikuwamo. Mwenyekiti huyo wa CCM alisema wamefikia hatua hiyo kwa sababu yanayotokea yanasikitisha sana na akatoa mfano wa matukio kadhaa ya uvunjifu wa amani katika kampeni katika maeneo ya Igunga mkoani Tabora na Kahama mkoani Shinyanga.


“Maana tunashindana na wenzetu wagomvi maana wao ugomvi ndio sehemu ya mwongozo wa kufanya kazi ya siasa. Maana pale Kahama kijana wamemtoa macho kwa bisibisi. Acheni unyonge (makofi).



“Nasema kwa kweli kwa sababu yanayotokea yanasikitisha. Pale Igunga kijana yule wamemmwagia tindikali, pale Kahama kijana wamemtoa macho kwa bisibisi. Tuache unyonge,” alisisitiza Rais Kikwete huku akishinikizwa kwa shangwe za CCM Oyee, Mapinduzi Daima.


Ingawa Rais Kikwete hakutaja chama, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekuwa kikihusishwa na vurugu za uchaguzi katika maeneo mbalimbali yakiwamo ya Igunga na Kahama katika uchaguzi mdogo wa madiwani uliofanyika hivi karibuni na pia katika chaguzi ndogo za ubunge.


Akizungumzia uchaguzi mdogo wa kata 27 zilizofanyika hivi karibuni na CCM kuzoa kata 23, Rais Kikwete aliwapongeza wanaCCM kwa ushindi huo, lakini akawapa changamoto ya kuhakikisha wanarejesha kata hizo nne zilizokwenda kwa vyama vya upinzani.


“Huu ni ushindi mkubwa sana, ushindi mnono. Ni vizuri kutumia nafasi hii kujipongeza na kuwapongeza wenzetu kwa kazi nzuri, kazi nzuri waliyoifanya ya kujenga chama,” “Lakini tukumbushane kwamba kata nne hatukuzipata, hivyo tuna kazi ya kuzikomboa, sisi wakati wote nia yetu ni kushinda, kushindwa haiwezekani.” alisema Mwenyekiti huyo wa CCM na Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete.


Aidha, alizungumzia uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga mkoani Iringa, akisema hadi sasa hali ni shwari, hakuna migawanyiko wala misukosuko kama ilivyokuwa kwa Jimbo la Arumeru Mashariki ambalo alisema tangu mwanzo hadi mwisho, hali haikuwa shwari.


Alisema hadi sasa wana uhakika wa ushindi katika jimbo hilo, lakini akawataka wanaCCM kujiandaa vyema kwa kila hali na kuhakikisha ushindi unapatikana katika jimbo lililoachwa wazi kutokana na kifo cha aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa. Mwanawe Geoffrey ndiye mgombea wa CCM.


Pia aliwataka wanachama na viongozi wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani, nao kujiandaa kwa uchaguzi mdogo kwa sababu tayari Spika wa Bunge, ametoa taarifa serikalini kuhusu kuwa wazi kwa jimbo hilo kutokana na kifo cha mbunge wake, Said Bwanamdogo.


“Msikae tu kusubiri na kuendelea kuomboleza, kwa sababu Serikali haiombolezi, wao wanachotaka ni uchaguzi ujazwe, shughuli ziendelee. Maana watu wanaweza kusema hata orobaini bado. Kule Arumeru tuliambiwa tumbo bado halijapasuka. Kwani kwa Mgimwa orobaini tayari, mbona mchakato umeanza.
“Ninyi fanyeni mchakato, orobaini yetu mnaweza kufanya wakati mambo mengine yakiendelea.


Tujiandae mapema ili kuhakikisha tunashinda,” alisema Mwenyekiti huyo wa CCM na kuwapongeza viongozi wa mkoa na wilaya waliofanikisha ushindi katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki ambako mgombea wao, Mahmoud Thabit Kombo alishinda.


Alisema CCM ilibidi kumtosa aliyekuwa mbunge wao, Mansour Yussuf Himid, kwa sababu alikuwa akivaa magwanda ya chama hicho, lakini alikuwa akipinga sera na taratibu za chama hicho tawala.
“Kila akifungua mdomo wake anaitukana CCM, kila akifungua mdomo anapingana na sera za CCM. Tukasema inatosha, bora kuwa na mpinzani huko nje kuliko huyu, ndio maana niliwahi kusema katika NEC moja hapa kuwa sijui mtu anasema nitahama CCM, nikasema nendeni sasa hivi,”
alisema Kikwete
 
Naona tusifanye mchezo na kauli hizi bunge la katiba liboreshe rasmu ya katiba mpya kwa kuingiza kipengele cha hawa watawala kushitakiwa wawapo madarakani au nje ya madaraka wanapofanya makosa kama haya na pia mahakama ya kimataifa iwe na kipengele cha kunyonga
 
kumbe rais ana maana nyingine kabisa!

rais na akili za kuvukia barabara. si aliulizwa na mwandishi mmoja kuwa anataka kuacha legacy gani tanzania akajibu 'nataka nikimaliza muda wangu watanzania wajione nimewatoa sehemu moja na kuwapeleka sehemu nyingine nzuri'. a year before he steps anaongea utumbo eti ccm waue. dah!
 
Hiyo comment msiifanyie mzaha,inabidi hiyo speech ihifadhiwe kwani kunasiku itatumika ICC pindi watanzania mkichinjana.
 
Ivi kweli ccm ni wanyonge?! Dola wanashika wao, polisi ni wao, sijui unyonge gani Aliokuwa anauzungumzia!
 
Jana kuna mahali nilichangia ktk uzi mwingine tofauti kabisa na huu:-

Ni bayana kuwa kwa upande wa maendeleo miaka hii 10 ya Kikwete tumerudi nyuma hatua kadhaa kama Taifa.

Kama haitoshi, na mbaya zaidi vitu kama udini, rushwa, ujangili, sembe na mauaji ya raia wasio na hati viliongezeka mara dufu.

Kama raia tunawajibika kwa madudu haya, na ni budi tuoneshe kujifunza toka katika kosa la kumchagua Kikwete 2005.

Never and never, ever again; as a collective nation and as individuals, should we repeat such a calamitous sin.
 
Back
Top Bottom