Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

Mengine ni kodi zetu, mengine ni wazee wa makafara, mengine ni wazee wa madini mfano sauli, mining nice, ya kaskazin mengi ni kodi zetu na ya kurithi toka KWA wazazi wao waliokuwa wapigaji na wezi wakubwa. East Africa.
Acha visingizio visivyo na msingi bana, ka wamerithi wewe baba yako alikuwa anafanya nini muda huo?
 
Ukitaka pesa ndefu panda miti.
Iko hivi unazaa mtoto unamnunia heka 10 unampandia mit, anavyokua na miti inakuwa akifika miaka 20.
Miti Ina miaka 20 heka 10 hakosi chini ya bilioni moja kwa thamani ya sasa.
Wakati huo atauza miti na atauza viwanja pia kwa kuzikata hizo eka 10, wakati huo sio Shamba tena ni mji.
Kama alifundishwa biashara tangu mtoto mfano baada ya kumaliza darasa la saba, achana na na sekondari labda form 4 mwisho then mtupe garage au shambani aanze kumasta life. Akifika miaka 20 ni mfanyabiashara Mkubwa tu.
Mashamba mengi huchomwa kabla ya kuvunwa kama sio mwenyeji wa eneo husika
 
Inamlipa kwan ukipiga hesabu kwa mwezi kila gari linarejesho la mil 1.43 ,kwa mwezi magari yote anavuna sio chini ya Tshs 420 mil,other factors remain constant,kwa mwaka ana vuna 5bill ,akitoa rejesho na other running costs anaweka 4bill kibindon,biashara ya transportation inalipa tized
Kuna yule tajiri wa Sumry miaka kama kumi nyuma ,alikuwa na mabasi yanaenda mikoa mingi tu nchini....Juzi anahojiwa na milard ayo anasema biashara ya mabasi kaachana nayo sasaivi kajikita kwenye kilimo,anasema biashara ya mabasi ni pasua kichwa ni kheri ya kilimo anaenjoi nacho,biashara ya mabasi ni hasara sana mafanikio ni mmoja kati ya watu 10
 
Hii thread watu nawafuatilia naona wanao patia ni wachache sana kujua wapi watu wanapata pesa za kununua mabus na malori.....

Ukisema mtu ana gari 300 au 1000 ni kwamba hakuanza nazo zote hizo pengine alianza na HIACE yaani enzi hizo mtu ana commutor moja tu barabarani anapiga pesa kinoma yaani huku ana hiace huku ana fuga nguruwe na kule analima mahindi na kule anamashine ya kusaga na kukoboa na huku ana kwingine ana watoto wanasoma na wengine wana vibiashara n.k

akikaa akakusanya vyote akaamua ninue coaster moja tu ndani ya mwaka akiona inamlipa anaongeza nyingine mbili mwaka wa pili hivo amekuwa na costa 3 na hiace ile labda, akijikongoja akakaza anauza costa mbili ananunua basi moja na costa moja bado ipo tena unaeza kuta gari zina share ya family bahati nzuri mimi ni mchagga ndiyo hivo wachagga hufanya wakawa juu, kwa wahindi na wengine sijui wao wanamiliki vipi assets zao mi nimeongea kwa experience ya wachagga.

NB...siyo mafanikio ya siku moja inachukua hata miaka 15+ kuwa na bus 20 au 30+ sasa hapa naona raia wanauliza vipi mtu anakuwa na bus 300
 
🤣 🤣 🤣 story zenu huwa zinafanya nisijue nicheke au niwaonee huruma. You're entire train of thought and reasoning is illogical. I'm 99% certain hizo story zote umesimuliwa tu kama kawaida or else naomba majina ya hao matajiri na magari yao ili nasisi tukajionee wenyewe? Nipe majina tu ya hayo makampuni nitaenda mwenyewe.

Kadhalika magari kurudi nyumbani ni utaratibu na usalama wa mali yako. Hao mandondocha na kukojolea ni imani tu haina uhalisia wowote. Wewe na ndevu zako unaamini mkojo unaleta mali kweli? Kojolea na wewe uone kama utapata kitu. Hao watu wanafanya kazi kwa bidii sema tu wamejazwa ujinga na waganga na wao wamekubali ila mkojo sijui ndondocha has nothing to do with it. Tumieni bongo zenu msiwe kama mlienda shuleni kusomea ujinga nyie watu.
Hapa kuna point hao watu ni wapambanaji isingekua ivyo biashara zingekufa.
 
Uwe na Hiace then after miaka 15 uwe na bus 20? Acha kujidanganya ndugu
 
Tilisho kaanzia chini mdau

Nakumbuka bus yake ya kwanza ilipaswa isajiliwe karatu to tarakea maana huko ana vifuso vinapiga kazi ila baada ya kuona gape pale rombo akapiga uturn na kuisajili dar rombo ikisaidiwa na bus la shule la kiraeni.....kilichotokea ni historia

Alafu naona jamaa ana umri mdogo tu aisee hongera kwake
 
Kuna yule tajiri wa Sumry miaka kama kumi nyuma ,alikuwa na mabasi yanaenda mikoa mingi tu nchini....Juzi anahojiwa na milard ayo anasema biashara ya mabasi kaachana nayo sasaivi kajikita kwenye kilimo,anasema biashara ya mabasi ni pasua kichwa ni kheri ya kilimo anaenjoi nacho,biashara ya mabasi ni hasara sana mafanikio ni mmoja kati ya watu 10
Huyo ndio alisema ukweli sasa. Hawa wengine hata mkae naye anachoongea unakuta hakina uhalisia.
Yaani ataenda sawa kwa 70% halafu kuna sehemu atavuruga utajikuta unafuta hata ukweli alioongea.
 
Kwa kweli Mimi nimepanga kwenda kumuuliza tajiri mmoja yani yeye alifanyaje hadi akaweza kumiliki kuanzia Milioni 500.
Nimeamua nitumie njia yoyote ile kupata hela kwa kweli.
Siyo kumiliki milion 500 mkuu ,Bali ana gari 60 na kila gari moja thamani yake Ni milioni 500.

Kaanze na Mzee Mremi wa Dar Express, ukimkosa dar mfuate pale Marangu Mamba.
 
🤣 🤣 🤣 story zenu huwa zinafanya nisijue nicheke au niwaonee huruma. You're entire train of thought and reasoning is illogical. I'm 99% certain hizo story zote umesimuliwa tu kama kawaida or else naomba majina ya hao matajiri na magari yao ili nasisi tukajionee wenyewe? Nipe majina tu ya hayo makampuni nitaenda mwenyewe.

Kadhalika magari kurudi nyumbani ni utaratibu na usalama wa mali yako. Hao mandondocha na kukojolea ni imani tu haina uhalisia wowote. Wewe na ndevu zako unaamini mkojo unaleta mali kweli? Kojolea na wewe uone kama utapata kitu. Hao watu wanafanya kazi kwa bidii sema tu wamejazwa ujinga na waganga na wao wamekubali ila mkojo sijui ndondocha has nothing to do with it. Tumieni bongo zenu msiwe kama mlienda shuleni kusomea ujinga nyie watu.
Wewe naona unataka kuelekezwa waganga walipo kijanja
 
Kabla hawajawa na hayo mabasi wanamiliki "real estate" za maana sehemu tofauti.

Ukiwa na Plot 1 tu pale k.koo msimbazi, una uwezo wa kukopa Bank hela ya kufata Yutong zako hata 10 na ukapewa.

Matajiri hao, sifa yao kuu ni 1 "wanakopesheka" Muogope mtu anaeweza kukopa 1B na akapewa muogope sana huyo mtu.

Mpaka upewe kuna vigezo vingi taasisi za ukopeshaji huziangalia ikiwemo mali zisizo hamishika.

Wewe unayaona mabus na malori lakini Hizo taasisi wanajua mali za thamani zaidi ya hayo ma bus na malori.

Ungezijua hizo mali wanazomiliki mpaka wakawa na sifa ya kukopesheka hivyo ndio Ungeandika Thread GAZETI na ???????? ungeanza nazo mpka unamaliza nazo.
Uko sahihi kabisa. Kuna watu kwakweli hupati shida kuzielezea hela zake, grassroot yake jamii inaijua.

Kuna Hawa machalii unaamka asubuhi Mara paaaap coaster 4 Mara Yutong 5,Mara kumi , ishirini. Haijulikana hela zimeanzia wapi.

Kuna mtu kataja hela za majini. Zipo na nyingi hasa. Mtu unapeleka milioni kumi Hadi mchakato inakamilika umabeba Hadi bilioni 4.

Zipo, naongea kwa kujiamini. Kuishi Ni kuona mengi. Tembea uone.
 
Back
Top Bottom