Cumudia
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 510
- 862
Umemjibu vizuri sometimes watu wanaongea wasivyo vijuaBenki kuu haikopeshi mtu binafsi na wala hakuna akaunti ya mtu binafsi. Naongea kutokana na uzoefu wa kupata mafunzo fulani hapohapo BOT.
Umemjibu vizuri sometimes watu wanaongea wasivyo vijuaBenki kuu haikopeshi mtu binafsi na wala hakuna akaunti ya mtu binafsi. Naongea kutokana na uzoefu wa kupata mafunzo fulani hapohapo BOT.
Shirika ambalo haliwezi kumhudumia bakhresa peke yake ndiyo lihujumiwe na cabinet ya wamiliki wa malori?Yawezekana wanatafuta vikundi vya kuteka makontena au kuharibu reli ili locomotive idondoke watu wafurahie
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Malori 1000 unayachukuliaje mkuu?Kuna kampuni inaitwa inaitwa SPECIALIZED ina ma lorry zaidi ya 1,000 yanabeba makaa ya mawe kutoka Mkoa wa Ruvuma...
.
Naskia kashusha kashusha Gari nyingine 500 bandarini...
.
Watu wana pesa aisee.
Kwa hiyo unakataa hakuna kampuni yenye gari 1000?Malori 1000 unayachukuliaje mkuu?
Huko kitai kwenye kupakia wangekuwa ni wao tu na huko wanakoyapeleka wangezagaa wao!
Barabarani wangetawala wao tu..
Hapana sijakataa!Kwa hiyo unakataa hakuna kampuni yenye gari 1000?
Ni kweli hao aliowataja hawana fleet na wakinunua mabari kwa pamoja si zaidi ya gari 20Hapana sijakataa!
Ila hao aliowataja hawana hizo gari..
Achana na hayo mawazo fikir zaid kuhusu MUNGU pesa ni muhimu ila usifikie kwene hali ya kutaka kufanya lolote ili uipate kikubwa weka juhud na iman kwa MUNGU utapataKwa kweli Mimi nimepanga kwenda kumuuliza tajiri mmoja yani yeye alifanyaje hadi akaweza kumiliki kuanzia Milioni 500.
Nimeamua nitumie njia yoyote ile kupata hela kwa kweli.
Upo sahihi mkuuPambana,Pambana anza na kujenga uaminifu kwa waliokuzunguka.
Baba yangu hakunipa mtaji (pesa) wa maisha zaidi ya ELIMU.
na kingine siku 1 aliniambia,Unaenda huko duniani Mtaji wako mkubwa ili ufanikiwe ni UAMINIFU kwa waliokuzunguka.
KUWA MWAMINIFU hata kama huna kitu sasa,epuka kuchukua cha mtu fanya kazi kwa bidiii ukipewa 10,000 ukatumwa kitu cha 1000 ukaenda ukakuta kile kitu kinauzwa 500 usibanie ile 500 rudisha chenchi 9500 kisha mwambie aliekutuma Bidhaaa imeshuka bei chenchi hii hapa.
Kweli yako iwe Kweli na Hapana yako iwe Hapana.
Ukiaminika na waliokuzunguka, ni sifa namba 1 ya kutoka kimaisha huitaji kuwa na kipande cha Ardhi, huitaji kuwa na Pesa.
UKIAMINIKA wewe ni Tajiri hata kama unajiona huna kitu sasa lakini kama kuna mtu akiwaza kumtuma mtu kitu mahali akili yake inakufikiria wewe ndie mtu sahihi (Umemaliza mwaisa).
Sababu Bakhresa hajawahi takaShirika ambalo haliwezi kumhudumia bakhresa peke yake ndiyo lihujumiwe na cabinet ya wamiliki wa malori?
Nakataa kabisa mkuu wangu!!
Kweli kabisa..yaani tungeweza kutunza pesa tunazopata hata robo yake..tungefika mbali saanaMara nyingi mchawi ni matumizi, sio kwamba watu hatupati pesa!
Mfano mimi nikiangalia hela zilizopita mikononi mwangu ni zaidi ya mil 300...ila mali ninazomiliki hata mil 50 hazifiki [emoji3]
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Wanatoa CRDB na hati zao Za nyumba zimejaa huko
Bandiko Bora sana.Pambana,Pambana anza na kujenga uaminifu kwa waliokuzunguka.
Baba yangu hakunipa mtaji (pesa) wa maisha zaidi ya ELIMU.
na kingine siku 1 aliniambia,Unaenda huko duniani Mtaji wako mkubwa ili ufanikiwe ni UAMINIFU kwa waliokuzunguka.
KUWA MWAMINIFU hata kama huna kitu sasa,epuka kuchukua cha mtu fanya kazi kwa bidiii ukipewa 10,000 ukatumwa kitu cha 1000 ukaenda ukakuta kile kitu kinauzwa 500 usibanie ile 500 rudisha chenchi 9500 kisha mwambie aliekutuma Bidhaaa imeshuka bei chenchi hii hapa.
Kweli yako iwe Kweli na Hapana yako iwe Hapana.
Ukiaminika na waliokuzunguka, ni sifa namba 1 ya kutoka kimaisha huitaji kuwa na kipande cha Ardhi, huitaji kuwa na Pesa.
UKIAMINIKA wewe ni Tajiri hata kama unajiona huna kitu sasa lakini kama kuna mtu akiwaza kumtuma mtu kitu mahali akili yake inakufikiria wewe ndie mtu sahihi (Umemaliza mwaisa).
etc maana yake nini? Si ameandika hapo!Bila Kisbo uzi huu batili.
Thibitisha hapa wewe zwazwaZwazwa ni we we usijua kwamba zipo, tunaishi na tajiri wa kinyatunzu kunasiku mwaka juzi walisahau kufunga chumba anachofugia joka lake linalompa utajiri, Bonge la joka likatoka likaingia mtaani watu wakataka kuliua alipopata taarifa alipiga Sim polisi wakaja kuzuia lisiuawe naye akaja akaanza kulipigia makofi na miluzi joka likamfuata akalibeba akaliingiza kwenye cruiser lake akalipeleka nyumbani, aliwaambia watu mnashangaa nn? Hawajawahi Ku on a nyoka? Kuna tajiri mwingine Ana MTO to tahira kina Siku alitoroka akapotea ilibidi atangaze dau la lakitano kwa atakaye muona chapu tu ndani ya nusu saa wahuni wakamleta wakala pesa toka siku hyo nyumbni kwake ndani ya fence kuna gate zingine tatu just in case get I moja likisahaulika mengine yawe yamefungwa manake huyo dogo ndagu inayompa pesa na anazo kwerikweri
Popular ni biashara ya mabus tangu zamani ni WA kaskaziniKanda ya ziwa n chunya
Hawa Ndio wanamiliki bus za gharama.
Mfano bus aina ya G7
Mkuu kwani mfano usangu logistics unahisi wana lori chini ya 700?Malori 1000 unayachukuliaje mkuu?
Huko kitai kwenye kupakia wangekuwa ni wao tu na huko wanakoyapeleka wangezagaa wao!
Barabarani wangetawala wao tu..
Kwny michango ya harus hapo ukenena, ukipata kaz ya mshahara wa laki 5 kadi znakuja km.8 hv na ukiwanyima wananunaTutafanya yote ila usipokuwa katili na roho ngumu sahau kuwa tajiri. Hapa Afrika ukishaanza tu kuzinusa hela utaona unaletewa bills za ndugu, jamaa na marafiki bila kusahau viongozi wa kiroho. Tena kwa sisi wakristo kiongozi wa kiroho atakuambia jiwekee hazina yako mbinguni sio hapa duniani. Kadi za Michango ya harusi zitakuwa kibao. Bado kuna viumbe uliowaajiri watataka kukupiga kwenye biashara zako. Ukitaka ufike mbali lazima ulaumiwe na wajinga wajinga. Hata mafisadi hutakatisha pesa zao kwa watu smart. Hawezi fuatwa maskini kwenye michongo kama hiyo.
Naomba namba zake hahahaKuna jamaa yangu ana mabasi ya mkoa 42, arejesha milion 60 kwa mwezi CRDB
How about tractorsNew combines can cost anywhere between $330,000 and $500,000 without add-ons (Source). For this reason, many farmers opt to purchase a used combine to save money. Just like buying a used car, a used combine can be just as reliable and useful as a new combine, depending on what you buy.