Mkopo tu,benki hazina shida kukopesha kama una dhamana ya Mali isiyohamishika mfano wengi wanamiliki majengo ukipiga thamani ya jengo ni 1bilion hapo unaweza kukopa bilion mbili,pili wanamiliki ardhi ya kutosha hekari Kwa hekari ukiwa na hati na ukienda benki utapewa mkopo mzuri tu,tatu sajiri kampuni na utunze kumbukumbu za mahesabu plus hesabu ziwe zinakaguliwa na uwe unalipa Kodi ukienda benki mkopo mzuri,nne unatakiwa uwe katili,ukiwa mpole utamaliza mkopo Kwa kuugawa Kila mwenye tatizo unatoka hapo sahau kumilik milori na mabus na Tano kama ni mwanaume epukana na wanawake wenye makalio makubwa na madogo yaan kiufupi punguza starehe.