Wameua Uhuru wa Vyombo vya Habari, wameua Vyama vya Siasa, wanataka kuua Madhehebu ya Dini na taasisi za Elimu.Tukatae

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,143
Reaction score
56,407
Serikali haitaki ikosolewe wanachotaka ni kusifiwa hata pasipostahili. Wanataka ku paralyze taasisi zote za kiraia kama walivyofanya kwenye taasisi za umma.

Hakuna chombo cha habari kilicho huru main stream zote zina censorship hadi kwenye mitandao ya kijamii, Tik Talk, IG, Facebook.

Wamenunua vyama mamuluki vyote vya siasa na kuua vyama makini ili wabaki wao, wajichague wao wajiapishe wao.

Wameingilia uhuru wa kuabudu hawataki kuona dhehebu linalohubiri haki wanataka kuya control madhehebu yote na viongozi wao. Tukatae.

Wameona hiyo haitoshi wameanza kungia kwenye taasisi za Elimu hawataki wanafunzi waelimike juu ya utawala bora wanawakamata wahadhiri wao.

Hii ni hatari, huu sio uongozi ni udikteta utawala wa kiimra wa kisultani unaotaka kuabudiwa.

Watanzania hatujazoea aina hii ya uongozi, tuukatae ingali mapema.
 
Tena kwa nguvu kubwa
 
Huu utawala hautumii akili kbs ndio maana mtawala mkuu alipata kukiri kufeli matokeo ya form 4!
Ktk dunia ya leo ukiwa kiobgozi kamwe huwezi ukazuia kukosolewa, eti unataka usifiwe tuu...aisee!
Sana sana wanachoambulia ni chuki vifuani mwa raia, wengi wanatamani serikali ya samuya ifeli...au hata afe yeye kbs!!.
 
Serikali haitaki ikosolewe wanachotaka ni kusifiwa hata pasipostahili. Wanataka ku paralyze taasisi zote za kiraia kama walivyofanya kwenye taasisi za umma.

Hakuna chombo cha habari kilicho huru main stream zote zina censorship hadi kwenye mitandao ya kijamii, Tik Talk, IG, Facebook.

Wamenunua vyama mamuluki vyote vya siasa na kuua vyama makini ili wabaki wao, wajichague wao wajiapishe wao.

Wameingilia uhuru wa kuabudu hawataki kuona dhehebu linalohubiri haki wanataka kuya control madhehebu yote na viongozi wao. Tukatae.

Wameona hiyo haitoshi wameanza kungia kwenye taasisi za Elimu hawataki wanafunzi waelimike juu ya utawala bora wanawakamata wahadhiri wao.

Hii ni hatari, huu sio uongozi ni udikteta utawala wa kiimra wa kisultani unaotaka kuabudiwa.

Watanzania hatujazoea aina hii ya uongozi, tuukatae ingali mapema.
VIONGOZI WAISLAMU NI WAPUMBAVU MILELE DAIMA NI KOSA KUBWA SANA KUMPA UONGOZI MUISLAMU....MUISLAMU KUWA MZALENDO NI IMPOSSIBLE
 
Wanamalizana wenyewe maana Mhagama ndio alikuwa witness mkubwa wa yote yaliyotokea 29 Nov in case ICC wangeanza uchunguzi
 
Back
Top Bottom