Wameamua kutoa ya rohoni

Wabunge wao waliwapigania wakaambiwa watapigiwa mashangazi zao.Nachowapendea watu wakusini ni kitu kimoja ukiwaangalia kwa harakaharaka unaweza hisi ni mabwege/wanyonge ila wakiamua kuchachamaa wanachachamaa kwelikweli.Na wana mshikamano.
 
Sasa naanza kuelewa kwanini mkulu amepeleka wasee wa kasi kusinamia manunuzi.Rejea ishu ya gesi na mtiti uliotokea na kina nani waliofanikiwa kuwatuliza wananchi kipindi kile baada ya wengine kushindwa
 
. View attachment 956888
Kwanini Hamtupi Pesa Zetu Za Korosho Au Mnatuona Wajinga?.
Mateso Yote Tuliyo Yapata Wakati Wa Kupalilia mikorosho Hamtuonei Huruma?. Wezenu Tunapata Tabu Watoto Njaa. Au Kama Imeshindikana Mutuambie Tuweke Ubani Tumshukuru Mungu Yaishe.

serekali inawachukulia poa kama mkoa wa kagera,wale si watu wamchezo mchezo kwenye matunguli
 
.
IMG-20181208-WA0342.jpeg
 
Baba mwenye nyumba hapendi dharau, mambo ya kumnywesha mbuzi soda ilkua ni kama matusi kwake, hapa tunafundishwa hata kama ni pesa yako mwenyewe na umeipata kwa jasho lako bado unatakiwa uwe na nidhamu ktk matumizi.
Nnahisi mwaka huu hapa nchini hatutakua na uhaba wa dawa ya kuondoa kutu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom