Mkuu hujatutendea haki au ndo waogopa kutajwa na Musiba.......
Si mchezo mzee baba. Kitu ni konki mpaka wanaandika kilughaJi hela jetu ja kolosho mutwona mavelu
Pesa yetu ya korosho mnatuona was.. e
,,😀😀😀Ji hela jetu ja kolosho mutwona mavelu
Pesa yetu ya korosho mnatuona was.. e
Asante kwa tafsiri mkuu.TAFSIRI YAKE.
Kwanini Hamtupi Pesa Zetu Za Korosho Au Mnatuona Wajinga?.
Mateso Yote Tuliyo Yapata Wakati Wa Kupalilia mikorosho Hamtuonei Huruma?. Wezenu Tunapata Tabu Watoto Njaa. Au Kama Imeshindikana Mutuambie Tuweke Ubani Tumshukuru Mungu Yaishe.